Sasa msipojenga hizi ramani nitamuuzia nani? (Bei mtelezo, Room 2 hadi 7)

Youbettersleep

JF-Expert Member
Joined
May 3, 2019
Posts
955
Reaction score
1,672
Kama unahitaji ramani ya ujenzi na hesabu za makadirio ya ujenzi usisite kunipigia simu

KAMA UNAHITAJI.
Ramani
Hesabu ya ujenzi (BOQ)
Garden design
Fence na aina zake zote ninatengeneza.

Namba : 0621 622 070/0744 767 175
Njoo DM tuongee kisha nifanye kazi yako.

Ninatengeneza kila aina ya ramani unayohitaji ma makadirio yake kwa rate zote za mikoa ya Tanzania
 
Weka bei!Tutakimbilia tukijua mtelezo kumbe!Mimi nataka 4 rooms viwili master.
 
Kufanya kazi kwa namna hii ni kujichelewesha sana kiongozi, niamini mimi.
 
Mna bei sana
Mngeuza ramani hata 20k kwa kuprint kwenye karatasi ya A4 tungenunua nanyi mngeuza sana
 
Unapatikana wapi? Bei zikoje kwa nyumba ya vyumba 7?
 
Kibali cha Nini mkuu? Kibali muachie mwenye kununua ramani labda kama atataka hiyo huduma ndo umpe
Hahahaha wazee wa "Skwata" mnajijua tu au zile za fundi anakuja na ramani yake kichwani anakujengea Public toilet inakuwa saw na jiko au dinning 🤣
 
Ma architects wanazaraulika sana kupitia watu kama nyinyi
 
Ma architects wanazaraulika sana kupitia watu kama nyinyi
Usichokijua mimi ni Archtect. Kuweka matangazo yangu hapa kuna shida? Nikiweka Instagram ni sahihi sio? Mzee tulia tu dunia ilishatoka huko kuficha professional yako kisa ni architect.....bila kujitangaza wataju vipi kazi zako?
 
AQRB hairuhusu kujitangaza kama unauza nyanya ,miradi yako itakutangaza,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…