Elections 2015 Sasa naanza kupata picha kwamba Apson Mwang'onda yupo kwa Lowassa kikazi zaidi...

Apson na lowasa wote ni majasusi na walisoma Tabora boys...Vijana wa Nyerere. Mzee Kingunge ni maslahi zaidi
 

Unachanganya ku-manipulate NEC na ku-manipulate CC. hivyo ni vitu viwili tofauti. Kwenye CC hakuna njaa za NEC, watu wako pale kulinda heshima zao na legacy zao.Lahaula UKAWA wameshinda, wao ndio watabeba lawama zoote za kuiua CCM. Hakuna mtu anayekumbuka majina ya wanachama wa NEC ever.

U-unpopular wa Kina Sitta na Mwakyembe sio nje ya CCM, unaendelea kuchanganya madawa. huyo wasira ameshinda Kamati kuu kwa kura nyingi kuliko wengine wote umesahau mara hii?mbaya zaidi, sijaona mwanasiasa yeyote wa kanda ya ziwa anayemsapoti Lowassa mwenye weight yake CCM. Hakuna, kwani wengi wametangaza nia zao separate. Hao kina mwenyekiti wa CCM na kkina ngeleja ni political prostitutes wasio na legacy yoyote CCM

Wazanzibari sio wapuuzi kiasi cha kurubuniwa na kauli za mapinduzi daima, please respect them.They have proved way more self aware than the other side of Tanzania.

Kumhusu Makongoro, he is actually the only Candidate i see that may single handedly take care of Lowassa problem should CC decide to ditch him.they have a clear case with Makongoro as a clean slate, or whatever jargon they can come up with
 
Apson na lowasa wote ni majasusi na walisoma Tabora boys...Vijana wa Nyerere. Mzee Kingunge ni maslahi zaidi


DUH!! makubwa.., mara hii Lowassa kawa kijana wa Nyerere. Huyu si ndie alivurumushwa 1995?au ndio mmeanza kuwadanganya under 20 waliozaliwa 1996 kuwa Lowassa alikuwa kijana wa Nyerere?

kweli hizi siasa za majitaka. huyu Lowassa aliyeambiwa hadharani na Mwalimu kuwa hafai, leo hii unamwita kijana wa Nyerere? Please respect Nyerere, he was much wiser than endorse this disaster.
 

THES STORM IS OVER NOW, HOTUBA YAKE YAONGEA YOTE


Kwa hotuba yake yote hiyo ujumbe umebebwa kwenye sentesi zenye maneno hayo red colour unaweza kusoma alama za nyakati...alikopaswa kutumia Mimi akaweka nafsi ya tatu ILIPOTAKIWA KUSEMA MIMI ANASEMA INAHITAJI.Mfano kama ningeisoma mimi hotuba ile nami kuchukua nafasi yake yake kutoka ''Kwa maoni yangu ili kuifanya kazi hiyo na kuzikabili changamoto nilizozieleza, nchi yetu inahitaji uongozi wenye sifa zifuatazo:''

Kwenda kuwa '''Kwangu mimi ili kuifanya kazi hiyo na kuzikabili changamoto nilizozieleza, nchi yetu nitakuwa na uongozi wenye sifa zifuatazo:''

KUKOSEKANA KWA NENO UFISADI AU FISADI:


Nini Rekodi ya Lowasa kwenye kipengere hiki na haswa kutokutumika kwa neno FISADI au UFISADI ndani ya kifungu hiki ambacho kimeonekana kuzungumzia Rushwa, Uzarendo n Uadilifu.Hivi kweli kwa hotuba hii mwanzo mwisho kusiwe na neno FISADI au UFISADI mtu aseme ATAKA KUPEWA NCHI na watu makini ndani ya TAIFA wseme YES tuna msupport.

Ni Mtanzania gani asiyejua neno FISADI au UFISADI...leo hii maneno hayo AYAWEZEKANIKI KUTAMKIKA kwenye kamusi ya ubongo wa Mgombea LOWASA na TEAM yake.Ndio kusema haya yote yanayoendelea dhidi ya UFISADI hayana IMPACT kwake na kuwa UFISADI ni kijijambo kidogo sana kisichokuwa na japo nafasi ya spelling sita ua saba [FISADI au UFISADI] katika hotuba yake.

Sasa Rais anaetegemewa kuja Tanzania baada ya Kikwete ni Rais ambae UFISADI, RUSHWA,UADILIFU na UZARENDO na mengineyo yamegharimu sana TAIFA kwa kipindi kilefu mno na kufanya maendeleo ya TAIFA yasue sue.Na mbaya ni viongozi wetu kuwa washiriki wa MATENDO YA KIFISADI , RUSHWA NA KUKOSA UADILIFU...kiasi kuwa USALAMA WA TAIFA wamekuwa na SHIDA kubwa kusimamia USALAMA wa NCHI...kwa gharama ya VIONGOZI wa kisiasa na UTENDAJI.

Aksante Consigliere ila usitegemee wengi kukuelewa na pengine si vyema wakuelewe.Ulichofanya ni kushare na Watz wenzio wenye ufahamu na msaada kuunganisha dot kama wenzio wanavyounganisha dot..manake kuwaengua watu hao KUNA WATU IMEWAGHALIMU UHAI KABISA ....usicheze na madini na maliasili, bahati mbaya ukiwa na watu wasio na utu mioyoni mwao, wako tayari kuweka rehan TAIFA kwa wageni, Wahindi, Waarabu na Wazungu ili wapate kujirimbikizia Mali kwa ajili ya familia zao huku wakiacha wageni wakichota mabilioni na kuondoka nayo kisha wanawacheka Watanzania wengine na kuita tumekuwa OMBA OMBA .

Hakika inauma sana.Ilikuwa safari ndefu sana hatimae yakaribia ukingoni...UKISIKIA WATU WANATUKANA WALINZI WA TAIFA HUMU unasema HAWAJUI kinachoendelea kwa kuwa wakati sie tunatukana wenyewe wako kazini wana risk maisha yao kwa faida ya furaha zetu.
 

Ni kweli mkuu. Nimeangalia watu wengi walookua siti za nyuma ya Lowasa karibia wote walijeruhiwa kisiasa hapo nyuma,sasa sijui ina maana gani. Naona kama wanaweza kumchafulia zaidi. Sijui lakini.
 
Kwa fitina za wanausalama hasa ukisoma kwenye vyombo vya nchi zilizoendelea,uzi huu unaweza ukawa ni mujarabu.Pia kauli ya mgombea binafsi ni dhahiri EL na watu wake hawana uhakika wa kutosha kuwa watafika magogoni.Nafikiri wengi wangetamani yaliyoandikwa kwenye Uzi huu uwe ndio ukweli.
 
Reactions: DSN
Kilichoongelewa Dodoma hakuna record yeyote, ni maneno ya watu tuu, kwamba hata Kikwete alikuwa bado kijana...na mkapa ni Mzee..
 

Hebu orodhesha majina ya wajumbe wa NEC waliohudhuria huo mkutano wa fisadi mkuu.
 

Mmh kwani Pengo akipiga picha na jamaa ndio nini?,,,Hata angepiga na Vicar mwenyewe bado ingekuwa bado..
 
Acheni kuzungumza kwa mafumbo. Sio wote tulioiona hiyo picha ya Pengo na huyo mnayeogopa kumtaja. Kwani sura yake si ipo kwenye picha, sasa ugumu wa kumtaja unatoka wapi?

Tiba

mkuu anazungumzia Membe alipiga picha na Pengo.
 
Kilichoongelewa Dodoma hakuna record yeyote, ni maneno ya watu tuu, kwamba hata Kikwete alikuwa bado kijana...na mkapa ni Mzee..

Kama ndio wamekubaliana na spinning za style hii kweli hamna jinsi ya kumsafisha huyu bwana.kazi wanayo kwani pesa za Lowassa wanazitaka na jamaa ndio fisadi ndani nje.
 
Hii thread ni nzuri ,,Lakini kama Upson alitolewa na ukasema Kingmaker amerudi why sasa team iliendelea kutumia speech ya Upson? Mie nadhani speech writings haikuwa mbaya bali udhaifu wa kiafya wa bwana mamvii ndio uliifanya speech iwe boring and kutohamasisha,jamaa alikuwa anashindwa hata kusisitizia na body language hata sauti inapunguapungua.Halafu kuhusu Upson kuonekana au kutooonekana sio issue ,,hata kingmaker hatukumuona. Mzee kingunge kaja off course kimaslahi zaidi,,,sema kwenye speech yake unaona kabisa kuna kakitu alikosana na baadhi ya CcM kingpins...lakini kwa teamEl ilikuwa ni wazo la kinguvu kumleta huyu mzee.
 
mie nimemwelewa hivi apson alijipenyeza au alitumwa kukabiliana na kundi au genge hili kwa usalama wa taifa. kama alivyojipenyeza mtu urusi hadi kuwa rais na akaimaliza.
 

Mkuu, huoni kuwa jitihada zake za kukwepa kutumia maneno uliyoyapendekeza ni harakati za kuukwepa mtego wa kuwa amefanya kampeni?
 
Kwa maana rahisi ni kumuua au kumdhoofisha Lowassa kiafya otherwise bado chama kitapata misukosuko mikubwa sana.
 

Endelea kujifariji kuwa CC ina nguvu kuliko NEC then tukutane baada ya mwezi hapahapa JF. Watanzania makini wote hatumtaki Lowassa lakini ndio hivyo ameishatuzidi ujanja
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…