Elections 2015 Sasa naanza kupata picha kwamba Apson Mwang'onda yupo kwa Lowassa kikazi zaidi...

Elections 2015 Sasa naanza kupata picha kwamba Apson Mwang'onda yupo kwa Lowassa kikazi zaidi...

Apson na lowasa wote ni majasusi na walisoma Tabora boys...Vijana wa Nyerere. Mzee Kingunge ni maslahi zaidi
Nimeanza kuunganisha dots na kwa mbaali naiona picha kuwa kitendo cha Jasusi mkuu mstaafu wa nchi yetu kujiunga na kambi ya Lowasa kilikua ni cha kimkakati zaidi. Kwa wanaomfajamu Apson na utendaji wake tulijiuliza sana lakini tulikosa majibu.

Leo hii mara baada ya Edward kumaliza kufanya kampeni (Ninasisitiza kuwa ni kampeni na si kutangaza nia) yake pale uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha ndipo nikazinduka na kutambua kuwa Apson alikua 'under cover' akiwa na jukumu maalum la kumdhoofisha Edward and Kingunge nailed it. Hili suala la magenge ya wasaka madaraka yaliyumbisha sana idara yetu ya usalama wa taifa kitu kilichopelekea idara hii kushutumiwa sana mitandaoni pia na makundi mbalimbali ya kijamii.

Ilikua si kazi rahisi kulimudu hili genge maana lilishajijenga vya kutosha na namna pekee ya kulisimamisha ilikua ni lazima the big man aingie in the war front and to begin with ilibidi ku step down then kujipenyeza ndani ya kambi hii ambapo na ku gain trust. Seems lengo la yeye kwenda front ilikua ni kulinda nguvu kazi ambazo idara hii ilikua ikizipoteza mara tu magenge haya yalipoona maslahi yao yanahatarishwa, (kujua zaidi unaweza ukarejea kingo za sakafu za mzee Kapinga na Daudi Mwakawago and others of a like zilipoishia).

Kwa kuwa magenge haya yanawakilisha maslahi mapana zaidi ya mataifa ya kigeni yanayoangalia namna ya kubena rasilimali zetu na yenye mitandao ya nguvu ya kijasusi, seems yali smell something fishy with Apson na hapo ndipo tukatangaziwa the return of The Kingmaker ambapo tukasikia kuwa Apson anawekwa kando (thou it was too late) kimtindo and the Kingmaker took over.

Kwa speech ya Edward na kila kitu kilichoendelea pale na kinachoendelea ndani ya kambi yake I can draw the conclusion kwamba the Game is Over. Ninaanza kupata hisia kuwa kutakuwa na transition kubwa zaidi mwaka huu.

Tanzania inarudi katika ubora wake, this is my country, I belong here. Hakika moyo wangu una furaha sana kuliko wakati wowote ndani ya miaka hii kumi. Si jambo dogo kuachia nafasi kubwa kama ile katika ofisi nyeti wakati muda ukiwa unamruhusu na kuamua kwenda under cover, hakika napata hisia idara yetu bado ingaki hai na nguvu na makali yake.

NB: Hizi ni hisia zangu baada ya kuunganisha dots kadhaa. Hazina uhusiano na taarifa yoyote rasmi. Unaweza ukawaza tofauti na kuwasilisha au kuchangia kwa namna yako mimi sitakuwa na cha kuongeza wala kupunguza.
 
Mkuu nasikitika kuwa siasa za CCM hujazijua vizuri. Makongoro kwa kumponda Lowassa walimuadhibu kwa kumvua uenyekiti CCM mkoa wa Mara. Mwakyembe ni fisadi wa mabehewa ya treni, Sitta wananchi wamemchoka alilazimisha katiba hela ikapotea na hata kura ya maoni hakuna et al.

Siasa za CCM ni maslahi zaidi na kufuata mkumbo na fedha. Bandwagon and money politics. JK is now a past ndani ya CCM, ukimshabikia hakuna future kabakiza miezi minne. Lowassa amesomea sanaa, jana kadhihirisha, kauli ya JK wameimanipulate. Kingunge jana kasema EL anakubalika ndani na nje ya chama. Umati wa jana ulimaanisha anakubalika ndani na nje ya chama. Kuna ile kauli aliirudia jana mara tano EL "Mapinduzi Daima" ilikuwa maalum kwa wanev wa Zenji

Unachanganya ku-manipulate NEC na ku-manipulate CC. hivyo ni vitu viwili tofauti. Kwenye CC hakuna njaa za NEC, watu wako pale kulinda heshima zao na legacy zao.Lahaula UKAWA wameshinda, wao ndio watabeba lawama zoote za kuiua CCM. Hakuna mtu anayekumbuka majina ya wanachama wa NEC ever.

U-unpopular wa Kina Sitta na Mwakyembe sio nje ya CCM, unaendelea kuchanganya madawa. huyo wasira ameshinda Kamati kuu kwa kura nyingi kuliko wengine wote umesahau mara hii?mbaya zaidi, sijaona mwanasiasa yeyote wa kanda ya ziwa anayemsapoti Lowassa mwenye weight yake CCM. Hakuna, kwani wengi wametangaza nia zao separate. Hao kina mwenyekiti wa CCM na kkina ngeleja ni political prostitutes wasio na legacy yoyote CCM

Wazanzibari sio wapuuzi kiasi cha kurubuniwa na kauli za mapinduzi daima, please respect them.They have proved way more self aware than the other side of Tanzania.

Kumhusu Makongoro, he is actually the only Candidate i see that may single handedly take care of Lowassa problem should CC decide to ditch him.they have a clear case with Makongoro as a clean slate, or whatever jargon they can come up with
 
Apson na lowasa wote ni majasusi na walisoma Tabora boys...Vijana wa Nyerere. Mzee Kingunge ni maslahi zaidi

DUH!! makubwa.., mara hii Lowassa kawa kijana wa Nyerere. Huyu si ndie alivurumushwa 1995?au ndio mmeanza kuwadanganya under 20 waliozaliwa 1996 kuwa Lowassa alikuwa kijana wa Nyerere?

kweli hizi siasa za majitaka. huyu Lowassa aliyeambiwa hadharani na Mwalimu kuwa hafai, leo hii unamwita kijana wa Nyerere? Please respect Nyerere, he was much wiser than endorse this disaster.
 
Nimeanza kuunganisha dots na kwa mbaali naiona picha kuwa kitendo cha Jasusi mkuu mstaafu wa nchi yetu kujiunga na kambi ya Lowasa kilikua ni cha kimkakati zaidi. Kwa wanaomfajamu Apson na utendaji wake tulijiuliza sana lakini tulikosa majibu.

Leo hii mara baada ya Edward kumaliza kufanya kampeni (Ninasisitiza kuwa ni kampeni na si kutangaza nia) yake pale uwanja wa Sheikh Amri Abeid jijini Arusha ndipo nikazinduka na kutambua kuwa Apson alikua 'under cover' akiwa na jukumu maalum la kumdhoofisha Edward and Kingunge nailed it. Hili suala la magenge ya wasaka madaraka yaliyumbisha sana idara yetu ya usalama wa taifa kitu kilichopelekea idara hii kushutumiwa sana mitandaoni pia na makundi mbalimbali ya kijamii.

Ilikua si kazi rahisi kulimudu hili genge maana lilishajijenga vya kutosha na namna pekee ya kulisimamisha ilikua ni lazima the big man aingie in the war front and to begin with ilibidi ku step down then kujipenyeza ndani ya kambi hii ambapo na ku gain trust. Seems lengo la yeye kwenda front ilikua ni kulinda nguvu kazi ambazo idara hii ilikua ikizipoteza mara tu magenge haya yalipoona maslahi yao yanahatarishwa, (kujua zaidi unaweza ukarejea kingo za sakafu za mzee Kapinga na Daudi Mwakawago and others of a like zilipoishia).

Kwa kuwa magenge haya yanawakilisha maslahi mapana zaidi ya mataifa ya kigeni yanayoangalia namna ya kubena rasilimali zetu na yenye mitandao ya nguvu ya kijasusi, seems yali smell something fishy with Apson na hapo ndipo tukatangaziwa the return of The Kingmaker ambapo tukasikia kuwa Apson anawekwa kando (thou it was too late) kimtindo and the Kingmaker took over.

Kwa speech ya Edward na kila kitu kilichoendelea pale na kinachoendelea ndani ya kambi yake I can draw the conclusion kwamba the Game is Over. Ninaanza kupata hisia kuwa kutakuwa na transition kubwa zaidi mwaka huu.

Tanzania inarudi katika ubora wake, this is my country, I belong here. Hakika moyo wangu una furaha sana kuliko wakati wowote ndani ya miaka hii kumi. Si jambo dogo kuachia nafasi kubwa kama ile katika ofisi nyeti wakati muda ukiwa unamruhusu na kuamua kwenda under cover, hakika napata hisia idara yetu bado ingaki hai na nguvu na makali yake.

NB: Hizi ni hisia zangu baada ya kuunganisha dots kadhaa. Hazina uhusiano na taarifa yoyote rasmi. Unaweza ukawaza tofauti na kuwasilisha au kuchangia kwa namna yako mimi sitakuwa na cha kuongeza wala kupunguza.

THES STORM IS OVER NOW, HOTUBA YAKE YAONGEA YOTE

[B said:
suzan lema[/B] ;1] HOTUBA YA MHESHIMIWA EDWARD LOWASSA KWENYE MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI KWA AJILI YA KUTANGAZA NIA YA KUOMBA KUTEULIWA KUWA MGOMBEA WA CHAMA CHA MAPINDUZI (CCM) KWA NAFASI YA URAIS WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

UTANGULIZI:
Ndugu zangu-wana-CCM na Watanzania wenzangu,......................................

Kwa maoni yangu ili kuifanya kazi hiyo na kuzikabili changamoto nilizozieleza, nchi yetu inahitaji uongozi wenye sifa zifuatazo:
-----Uongozi wenye uthubutu, usioogopa kufanya kufanya maamuzi magumu;
-----Uongozi thabiti na usioyumba;
-----Uongozi makini na mahiri;
-----Uongozi-wenye ubunifu na wenye upeo mkubwa;
-----Uongozi utakaozikabili changamoto kifua mbele na siyo kuzikimbia;
-----Uongozi unaoamini katika mfumo shirikishi katika ujenzi wa Taifa;
-----Uongozi unaozingatia muda katika kutekeleza majukumu yake.

Naamini pia kwamba wananchi wanataka Rais ajaye wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania awe na sifa kuu zifuatazo:
-----Aweze kuwaunganisha Watanzania (kukabiliana na viashiria vya migawanyiko-ya aina mbali mbali-inayoinyemelea Tanzania);
-----Aweze kuja na sera na mikakati-ya kuinua uchumi wa Tanzania na kukuza pato la Mtanzania;ikiwemo kupunguza tofauti ya kipato kati ya aliyekuwanacho na wasiokuwanacho;
------Aweze kuja na sera na mikakati ya kuzalisha ajira kwa vijana wetu;
------Aweze kutokomeza mianya ya rushwa kwa vitendo;
-----Aweze kuwa mfano wa kuchapa kazi na kuwajibika;
------Asimamie nidhamu ya matumizi ndani ya Serikali;
------Aweze kusimamia ukusanyaji wa mapato ya Serikali;
------Aweze kutumia fursa yetu ya kijiografia kibiashara

Kwa hotuba yake yote hiyo ujumbe umebebwa kwenye sentesi zenye maneno hayo red colour unaweza kusoma alama za nyakati...alikopaswa kutumia Mimi akaweka nafsi ya tatu ILIPOTAKIWA KUSEMA MIMI ANASEMA INAHITAJI.Mfano kama ningeisoma mimi hotuba ile nami kuchukua nafasi yake yake kutoka ''Kwa maoni yangu ili kuifanya kazi hiyo na kuzikabili changamoto nilizozieleza, nchi yetu inahitaji uongozi wenye sifa zifuatazo:''

Kwenda kuwa '''Kwangu mimi ili kuifanya kazi hiyo na kuzikabili changamoto nilizozieleza, nchi yetu nitakuwa na uongozi wenye sifa zifuatazo:''

KUKOSEKANA KWA NENO UFISADI AU FISADI:

[B said:
suzan lema[/B] ;1]

3.-Kujenga uzalendo, uadilifu ikiwa ni pamoja na kuimarisha uwazi katika shughuli zote-za serikali na kupambana na rushwa.Watanzania tumepoteza uzalendo kwa kiasi-kikubwa.-Kuna vitendo vinavyoashiria kuwa hatuipendi tena nchi yetu. Tunashabikia wizi na-rushwa. Inabidi turejee kwenye misingi ya taifa letu-misingi-ya uadilifu na-uzalendo.-Tukumbuke kuwa hatuwezi kujenga uchumi wa kisasa kama tutaruhusu rushwa ishamiri.-Wawekezaji hawataleta mitaji yao kwa wingi kama rushwa itaendelea kutawala katika-huduma serikali-na wananchi hawawezi kupata huduma bora kama rushwa itaendelea kutawala.-Ni lazima-tuipinge rushwa kwa vitendo sio maneno.
Nini Rekodi ya Lowasa kwenye kipengere hiki na haswa kutokutumika kwa neno FISADI au UFISADI ndani ya kifungu hiki ambacho kimeonekana kuzungumzia Rushwa, Uzarendo n Uadilifu.Hivi kweli kwa hotuba hii mwanzo mwisho kusiwe na neno FISADI au UFISADI mtu aseme ATAKA KUPEWA NCHI na watu makini ndani ya TAIFA wseme YES tuna msupport.

Ni Mtanzania gani asiyejua neno FISADI au UFISADI...leo hii maneno hayo AYAWEZEKANIKI KUTAMKIKA kwenye kamusi ya ubongo wa Mgombea LOWASA na TEAM yake.Ndio kusema haya yote yanayoendelea dhidi ya UFISADI hayana IMPACT kwake na kuwa UFISADI ni kijijambo kidogo sana kisichokuwa na japo nafasi ya spelling sita ua saba [FISADI au UFISADI] katika hotuba yake.

Sasa Rais anaetegemewa kuja Tanzania baada ya Kikwete ni Rais ambae UFISADI, RUSHWA,UADILIFU na UZARENDO na mengineyo yamegharimu sana TAIFA kwa kipindi kilefu mno na kufanya maendeleo ya TAIFA yasue sue.Na mbaya ni viongozi wetu kuwa washiriki wa MATENDO YA KIFISADI , RUSHWA NA KUKOSA UADILIFU...kiasi kuwa USALAMA WA TAIFA wamekuwa na SHIDA kubwa kusimamia USALAMA wa NCHI...kwa gharama ya VIONGOZI wa kisiasa na UTENDAJI.

Aksante Consigliere ila usitegemee wengi kukuelewa na pengine si vyema wakuelewe.Ulichofanya ni kushare na Watz wenzio wenye ufahamu na msaada kuunganisha dot kama wenzio wanavyounganisha dot..manake kuwaengua watu hao KUNA WATU IMEWAGHALIMU UHAI KABISA ....usicheze na madini na maliasili, bahati mbaya ukiwa na watu wasio na utu mioyoni mwao, wako tayari kuweka rehan TAIFA kwa wageni, Wahindi, Waarabu na Wazungu ili wapate kujirimbikizia Mali kwa ajili ya familia zao huku wakiacha wageni wakichota mabilioni na kuondoka nayo kisha wanawacheka Watanzania wengine na kuita tumekuwa OMBA OMBA .

Hakika inauma sana.Ilikuwa safari ndefu sana hatimae yakaribia ukingoni...UKISIKIA WATU WANATUKANA WALINZI WA TAIFA HUMU unasema HAWAJUI kinachoendelea kwa kuwa wakati sie tunatukana wenyewe wako kazini wana risk maisha yao kwa faida ya furaha zetu.
 
Mkuu nimekuelewa sana,binafsi nimejiuliza ila sikupata majbu murua kwamba ukilinganisha gharama ya maandalizi ya mkutano mbona haiendani na kinachotokea mkutanoni? relevance haikuwepo A-Z,na impact ya hili italicost kundi la Lowassa.Hata suala la kumu reveal mama Tibaijuka pale stejini halikuwa na credit za kuendelea kumharibia jamaa,watu ambao jamii inawatuhumu kwa maovu wewe ndo marafiki zako,tena mchana kweupe? EL is down

Ni kweli mkuu. Nimeangalia watu wengi walookua siti za nyuma ya Lowasa karibia wote walijeruhiwa kisiasa hapo nyuma,sasa sijui ina maana gani. Naona kama wanaweza kumchafulia zaidi. Sijui lakini.
 
Kwa fitina za wanausalama hasa ukisoma kwenye vyombo vya nchi zilizoendelea,uzi huu unaweza ukawa ni mujarabu.Pia kauli ya mgombea binafsi ni dhahiri EL na watu wake hawana uhakika wa kutosha kuwa watafika magogoni.Nafikiri wengi wangetamani yaliyoandikwa kwenye Uzi huu uwe ndio ukweli.
 
  • Thanks
Reactions: DSN
Kilichoongelewa Dodoma hakuna record yeyote, ni maneno ya watu tuu, kwamba hata Kikwete alikuwa bado kijana...na mkapa ni Mzee..
DUH!! makubwa.., mara hii Lowassa kawa kijana wa Nyerere. Huyu si ndie alivurumushwa 1995?au ndio mmeanza kuwadanganya under 20 waliozaliwa 1996 kuwa Lowassa alikuwa kijana wa Nyerere?

kweli hizi siasa za majitaka. huyu Lowassa aliyeambiwa hadharani na Mwalimu kuwa hafai, leo hii unamwita kijana wa Nyerere? Please respect Nyerere, he was much wiser than endorse this disaster.
 
Mi naona kila siku watu wanatafuna maneno yao wenyewe lakini Laigwanan anachanja mbuga. Kwa vile sehemu kubwa ya NEC ya CCM ilikuwa Arusha jana sioni uwezekano wa kutopitishwa kwa kuwa wanaCCM ni watu wa kuangalia upepo wa mafanikio ulipo na wanaenda huko. Kwa jeuri ya fedha aliyonayo EL na desturi ya CCM ilivyo, EL is now unstoppable. Only UKAWA to stop him

Hebu orodhesha majina ya wajumbe wa NEC waliohudhuria huo mkutano wa fisadi mkuu.
 
Kwa wanaoelewa jinsi "kampuni " (ninyi mnaita usalama) inavyofanya kazi zake ukweli uko wazi kuwa alikuwa kwenye safari asiyoijua. Kazi imeshaisha na siku rais wa nchi anaapishwa kazi ya ku-groom mtu atakayemrithi itaanza rasmi. Hebu unganisheni dots hizi:
1. Kwa nini sura zenye kuhitaji kusafishwa na dodoki ndio zinamzunguka EL? JK kishasema hawahitaji mtu mwenye makando kando!
2. Pengo juzi wakati wa sherehe za pasaka alipiga picha na jamaa mmoja mbele ya Lango kuu la Mt. Joseph. Mnadhani ilikuwa ajali?
3. Jamaa huyo kasema juzi atasema nia yake akiwa kwao. Kule alikoanzia safari ya kwenda sekondari na baadaye Kujiunga na kampuni. Mnadhani alitamka jina kampuni kwa bahati mbaya?

Mmh kwani Pengo akipiga picha na jamaa ndio nini?,,,Hata angepiga na Vicar mwenyewe bado ingekuwa bado..
 
Acheni kuzungumza kwa mafumbo. Sio wote tulioiona hiyo picha ya Pengo na huyo mnayeogopa kumtaja. Kwani sura yake si ipo kwenye picha, sasa ugumu wa kumtaja unatoka wapi?

Tiba

mkuu anazungumzia Membe alipiga picha na Pengo.
 
Kilichoongelewa Dodoma hakuna record yeyote, ni maneno ya watu tuu, kwamba hata Kikwete alikuwa bado kijana...na mkapa ni Mzee..

Kama ndio wamekubaliana na spinning za style hii kweli hamna jinsi ya kumsafisha huyu bwana.kazi wanayo kwani pesa za Lowassa wanazitaka na jamaa ndio fisadi ndani nje.
 
Hii thread ni nzuri ,,Lakini kama Upson alitolewa na ukasema Kingmaker amerudi why sasa team iliendelea kutumia speech ya Upson? Mie nadhani speech writings haikuwa mbaya bali udhaifu wa kiafya wa bwana mamvii ndio uliifanya speech iwe boring and kutohamasisha,jamaa alikuwa anashindwa hata kusisitizia na body language hata sauti inapunguapungua.Halafu kuhusu Upson kuonekana au kutooonekana sio issue ,,hata kingmaker hatukumuona. Mzee kingunge kaja off course kimaslahi zaidi,,,sema kwenye speech yake unaona kabisa kuna kakitu alikosana na baadhi ya CcM kingpins...lakini kwa teamEl ilikuwa ni wazo la kinguvu kumleta huyu mzee.
 
mie nimemwelewa hivi apson alijipenyeza au alitumwa kukabiliana na kundi au genge hili kwa usalama wa taifa. kama alivyojipenyeza mtu urusi hadi kuwa rais na akaimaliza.
 
ILIPOTAKIWA KUSEMA MIMI ANASEMA INAHITAJI.Mfano kama ningeisoma mimi hotuba ile nami kuchukua nafasi yake yake kutoka ''Kwa maoni yangu ili kuifanya kazi hiyo na kuzikabili changamoto nilizozieleza, nchi yetu inahitaji uongozi wenye sifa zifuatazo:''

Kwenda kuwa '''Kwangu mimi ili kuifanya kazi hiyo na kuzikabili changamoto nilizozieleza, nchi yetu nitakuwa na uongozi wenye sifa zifuatazo:''

Mkuu, huoni kuwa jitihada zake za kukwepa kutumia maneno uliyoyapendekeza ni harakati za kuukwepa mtego wa kuwa amefanya kampeni?
 
Kwa maana rahisi ni kumuua au kumdhoofisha Lowassa kiafya otherwise bado chama kitapata misukosuko mikubwa sana.
 
Unachanganya ku-manipulate NEC na ku-manipulate CC. hivyo ni vitu viwili tofauti. Kwenye CC hakuna njaa za NEC, watu wako pale kulinda heshima zao na legacy zao.Lahaula UKAWA wameshinda, wao ndio watabeba lawama zoote za kuiua CCM. Hakuna mtu anayekumbuka majina ya wanachama wa NEC ever.

U-unpopular wa Kina Sitta na Mwakyembe sio nje ya CCM, unaendelea kuchanganya madawa. huyo wasira ameshinda Kamati kuu kwa kura nyingi kuliko wengine wote umesahau mara hii?mbaya zaidi, sijaona mwanasiasa yeyote wa kanda ya ziwa anayemsapoti Lowassa mwenye weight yake CCM. Hakuna, kwani wengi wametangaza nia zao separate. Hao kina mwenyekiti wa CCM na kkina ngeleja ni political prostitutes wasio na legacy yoyote CCM

Wazanzibari sio wapuuzi kiasi cha kurubuniwa na kauli za mapinduzi daima, please respect them.They have proved way more self aware than the other side of Tanzania.

Kumhusu Makongoro, he is actually the only Candidate i see that may single handedly take care of Lowassa problem should CC decide to ditch him.they have a clear case with Makongoro as a clean slate, or whatever jargon they can come up with

Endelea kujifariji kuwa CC ina nguvu kuliko NEC then tukutane baada ya mwezi hapahapa JF. Watanzania makini wote hatumtaki Lowassa lakini ndio hivyo ameishatuzidi ujanja
 
Back
Top Bottom