Sasa nahitaji ndoa kuliko kitu kingine chochote. Siwezi tena kusubiri

Duh,
Aisee mapambano yenu ni makali Sana!
Mods walete mapanga muanze jihad!

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Ngoja nimuite mpwa dronedrake atoe ushauri
 
Mulizaji kauliza kuwa anataka kuowa ndoa ya kikristo, yeye ndiye kaleta udini sio mimi.
Hakukuwa na udini,ila alieleza dini yake.
Ili ushauri uzingatie hilo. Mtu angeweza kumwambia aende kwa kiongozi kama shehe apewe muongozo na kupendekezewa mchumba wa kuoa.

Mijadala ya dini ina topic zake, wewe ulikuja kwa kejeli uliposema "wakristo wana ndoa".

Usiwe mdini, ishike dini yako ikupeleke unapoamini kuwa unataka kwenda. Mataifa ya kiislamu kwanini yapo UN ambako kuna mnaowaita makafiri? Kwanini wasijitoe tu watengeneze kitu kama hicho cha waislamu tu.

We ni kakitu, sio hata kamtu katika huu ulimwengu, walishapita majabali wakapigana na mwisho wakakubaliana juu ya hayo mambo ya dini na kuheshimiana,akiwemo Prophet Muhammad kuna sehemu watu waliukataa uislam,wakawa wanalipa kodi tu "jizya" na hakuweza kuwalazimisha zaidi.

Wewe utakufa haujafanya chochote katika hayo, cha msingi kuwa mpole swali,jiwekee thawabu,ufe ujue huko mbele kwa mbele😀😀. Ukristo hautakufa,uislamu hautakufa...lakini siku wakuu wakiamua new script, watakuwa wachache na kwa mtu wa ku catch feelings kama wewe utaacha.

Imagine umebanwa kila siku unapewa chakula kidogo,kipigo kizito,matibabu...jioni mafirauni yanapewa viagra yanakupasulia yai. Unaambiwa utaachiwa siku ukienda kinyume na kiapo cha dini yako😀😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…