Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Upendo bila kipato uliona wapiHakuna cha zaidi ya upendo, oa mwanamke unayempenda nae akupende.
Kila kitu kinawezekana mkipendana kwa dhati.
Kila la heri bro. Ila epuka mwanamke aliyekwisha zalishwa na wengine.
Epuka wanawake wa kimakonde hata awe na elimu gani. Epuka Muha. Epuka mrangi hata awe na elimu.
Utanishukuru baadae.
Labda kijijini mzee.Kama hauna pesa mjini achana na hio habari mwanamke ni pesa na pesa ni mwanamke labda ukaoe wa kupiga nae jembe kijijini
Amna kitu kama icho.Upendo bila kipato uliona wapi
Huyo dronedrake mwenyewe chama kishamshinda anakikimbia famchezo!
Mwenyekit bado tunamuamin.
Bado hamjatubu
Af kuna wenzako wengi tu kule wanajifanya team drone drake
Wengine wajeuri balaa
Ila iko siku tu 🤣 watakaa na kuona kitanda peke yao ni kama kulala juu ya paa
Labda ukanunue robot la Elon muskNimeamua kuingia kwenye ndoa ya kikiristo baada ya kuishi umri mrefu bila ndoa. Natimiza rasmi miaka 40 nikiwa sijaandaa mtu wa kufunga nae ndoa.
Najua kuna wakubwa zangu na wadogo zangu umu waliooa na kuolewa wanaweza nipa ushauri namna gani ya kupata mke sahihi wa kuoa.
Haswa ukizingatia mimi ni mtu mwenye kipato kidogo sana naishi kwa kubangaiza japo nna elimu ya masters na nilishawai fanya kazi ofisi kubwa hapo nyuma ila sasa ni jobless najitafuta upya.
Moja ya sababu ya kuchelewa kuoa ni hali ya kipato nimeishi muda mrefu bila kazi ya uhakika hapa DSM. Nataka huu mwaka usigeuke sijaoa na kupata mtoto ikitokea nimekosea basi ni mipango ya Mungu.
Nipeni madini namna ya kupata mtu sahihi maana kwa akili yangu naona bado naumiza kichwa sana.
dronedrake umetajwa kama sijakoseaBado hamjatubu
Af kuna wenzako wengi tu kule wanajifanya team drone drake
Wengine wajeuri balaa
Ila iko siku tu 🤣 watakaa na kuona kitanda peke yao ni kama kulala juu ya paa
Wazazi wakutafutie kabinti hapo kijijini uoeNimeamua kuingia kwenye ndoa ya kikiristo baada ya kuishi umri mrefu bila ndoa. Natimiza rasmi miaka 40 nikiwa sijaandaa mtu wa kufunga nae ndoa.
Najua kuna wakubwa zangu na wadogo zangu umu waliooa na kuolewa wanaweza nipa ushauri namna gani ya kupata mke sahihi wa kuoa.
Haswa ukizingatia mimi ni mtu mwenye kipato kidogo sana naishi kwa kubangaiza japo nna elimu ya masters na nilishawai fanya kazi ofisi kubwa hapo nyuma ila sasa ni jobless najitafuta upya.
Moja ya sababu ya kuchelewa kuoa ni hali ya kipato nimeishi muda mrefu bila kazi ya uhakika hapa DSM. Nataka huu mwaka usigeuke sijaoa na kupata mtoto ikitokea nimekosea basi ni mipango ya Mungu.
Nipeni madini namna ya kupata mtu sahihi maana kwa akili yangu naona bado naumiza kichwa sana.
Nimeamua kuingia kwenye ndoa ya kikiristo baada ya kuishi umri mrefu bila ndoa. Natimiza rasmi miaka 40 nikiwa sijaandaa mtu wa kufunga nae ndoa.
Najua kuna wakubwa zangu na wadogo zangu umu waliooa na kuolewa wanaweza nipa ushauri namna gani ya kupata mke sahihi wa kuoa.
Haswa ukizingatia mimi ni mtu mwenye kipato kidogo sana naishi kwa kubangaiza japo nna elimu ya masters na nilishawai fanya kazi ofisi kubwa hapo nyuma ila sasa ni jobless najitafuta upya.
Moja ya sababu ya kuchelewa kuoa ni hali ya kipato nimeishi muda mrefu bila kazi ya uhakika hapa DSM. Nataka huu mwaka usigeuke sijaoa na kupata mtoto ikitokea nimekosea basi ni mipango ya Mungu.
Nipeni madini namna ya kupata mtu sahihi maana kwa akili yangu naona bado naumiza kichwa sana.
napata cha asubuhi mda huu kisha narudidronedrake umetajwa kama sijakosea
Uislam ndio ulikuja futa ujinga wenu wakuabudu Masanamu pale Makkah Al Mukarama, walikuwepo wajinga kama nyie, mnavyo liabudu like sanamu lakizungu eti Yesu, toka lini Yesu alikuwa vile lile sanamu limekaa kishoga shoga.Inachekesha sana kuambiwa hivi na mtu anayeabudu dini iliyoanzishwa na Vatican kwa kutumia moja ya miungu ya palepale Mecca kutoka kweny kabila la Muddy, Naamanisha Allah the moon goddess aliyekuwa anabudiwa kama mungu mwezi kabla hata Muddy hajapigwa roba na wakatoliki kule pangoni.
WHEN THERE IS NO ALLAH TO SEE.
WHEN THERE IS NO JIBRIL TO SEE.
WHEN THE BLACK STONE IS THE ONLY THING THEY SEE TO BE REAL IN THEIR LIVES, THIS IS WHAT SUNNI AND SHIA MUSLIMS DO TO BE FORGIVEN OF THEIR ATROCITIES.
STONE IS WHAT THEY ARE FIGHTING OVER YET THEY CLAIM THEY ARE NOT IDOL KISSERS! hahahaha😅😅
IDOL WORSHIPPERS!
View attachment 2857892
View attachment 2857893
View attachment 2857894
Marry above 30 utakuja kunishukuru baadaeNimeamua kuingia kwenye ndoa ya kikiristo baada ya kuishi umri mrefu bila ndoa. Natimiza rasmi miaka 40 nikiwa sijaandaa mtu wa kufunga nae ndoa.