Queen Kan
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 5,226
- 8,961
Asogeze mbele tuAfunge mwezi mzima
wakati jeshi anasema mwaka hautakiwi upinduke bila ndoa?
Na mwaka unaisha kesho
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asogeze mbele tuAfunge mwezi mzima
wakati jeshi anasema mwaka hautakiwi upinduke bila ndoa?
Na mwaka unaisha kesho
Bora aoe anaempenda kuliko anavyompenda yeyeHakuna cha zaidi ya upendo, oa mwanamke unayempenda nae akupende.
Kila kitu kinawezekana mkipendana kwa dhati.
Watu wamekuvuruga akili kumbe sio maamuzi yakoYani nimewekwa kitimoto leo nimejikuta kichwa haipo sawa
Mkuu huu mwaka unaisha kesho au labda umekosea?
Kila la heri.
Anza na cycle yako labda kuna anaekufaa...
Shauri yako kua makini mkuuNimeamua kuingia kwenye ndoa ya kikiristo baada ya kuishi umri mrefu bila ndoa. Natimiza rasmi miaka 40 nikiwa sijaandaa mtu wa kufunga nae ndoa.
Najua kuna wakubwa zangu na wadogo zangu umu waliooa na kuolewa wanaweza nipa ushauri namna gani ya kupata mke sahihi wa kuoa.
Haswa ukizingatia mimi ni mtu mwenye kipato kidogo sana naishi kwa kubangaiza japo nna elimu ya masters na nilishawai fanya kazi ofisi kubwa hapo nyuma ila sasa ni jobless najitafuta upya.
Moja ya sababu ya kuchelewa kuoa ni hali ya kipato nimeishi muda mrefu bila kazi ya uhakika hapa DSM. Nataka huu mwaka usigeuke sijaoa na kupata mtoto ikitokea nimekosea basi ni mipango ya Mungu.
Nipeni madini namna ya kupata mtu sahihi maana kwa akili yangu naona bado naumiza kichwa sana.
Bwana mdogo kwa umri huo Tena jobless na kibunda huna achana na mawazo ya ndoa au nenda morogoro ndanindani kwa wazee wa kiruguru wakuonzeshe demu alotoka kuchezwaNimeamua kuingia kwenye ndoa ya kikiristo baada ya kuishi umri mrefu bila ndoa. Natimiza rasmi miaka 40 nikiwa sijaandaa mtu wa kufunga nae ndoa.
Najua kuna wakubwa zangu na wadogo zangu umu waliooa na kuolewa wanaweza nipa ushauri namna gani ya kupata mke sahihi wa kuoa.
Haswa ukizingatia mimi ni mtu mwenye kipato kidogo sana naishi kwa kubangaiza japo nna elimu ya masters na nilishawai fanya kazi ofisi kubwa hapo nyuma ila sasa ni jobless najitafuta upya.
Moja ya sababu ya kuchelewa kuoa ni hali ya kipato nimeishi muda mrefu bila kazi ya uhakika hapa DSM. Nataka huu mwaka usigeuke sijaoa na kupata mtoto ikitokea nimekosea basi ni mipango ya Mungu.
Nipeni madini namna ya kupata mtu sahihi maana kwa akili yangu naona bado naumiza kichwa sana.
Huyu yuko serious we mpe Moja kwa MojaMkwe upo serious nikupe koneksheni tule pilau kabla ya kwaresma?!
Kuna mdau ana niambia huyo ni penseli😂🤣, ana kusanya data zake 😂😄🤔Mkuu huu mwaka unaisha kesho au labda umekosea?
Kila la heri.
Anza na cycle yako labda kuna anaekufaa...
Huu ndio ushauri bora kabisa kwenye uzi huu…..Mambo mazuri hayataki haraka.Naomba usome huu mstari,Methali(Mithali)24:27 "Tayarisha kazi yako ya nje,na utayarishe Kila kitu shambani,Kisha uijenge nyumba yako". Mm nakukumbusha uwe na shughuli ya kuingiza kipato Cha kulea hiyo familia ndio mengine yafwate.
Yani nimewekwa kitimoto leo nimejikuta kichwa haipo sawa
Watu muna expectations za ajabu kwa Mungu!!!Mtihani ni kumpata wa kukupenda kwa dhati without conditions. Naamini Mungu ataniletea.
Kwahio ukikaa Kati ya wanaume inatakiwa kusema shida Ni nini Mkuu?Kuna mtu ka comment kuhusu expectation.
Huwezi kukaa kati Kati ya wanaume ukasema shida ni kipato.
Sema sikuwa tayari kuwa responsible.
kuna vijana wanauza matunda kwenye mikokoteni na wana familia, kuna vijana wanauza kacholi na Leeds wana familia, kuna vijana wanachoma kuku buguruni wana Mke na watoto.
mkuu miaka40? Ujaoa sababu kipato?
Atafute sababu nyingine labda aseme hakuamua na hakuwa tayari kuwa committed kwenye familia.
Inabid useme hivi mimi sikuwa tayari kubeba majukumu, maana wapo vijana wanatembeza mitumba wana Mke na watoto, wapo waha wanafanya kazi ya kukopesha wana Mke na watoto.Kwahio ukikaa Kati ya wanaume inatakiwa kusema shida Ni nini Mkuu?
Muombe MunguNimeamua kuingia kwenye ndoa ya kikiristo baada ya kuishi umri mrefu bila ndoa. Natimiza rasmi miaka 40 nikiwa sijaandaa mtu wa kufunga nae ndoa.
Najua kuna wakubwa zangu na wadogo zangu umu waliooa na kuolewa wanaweza nipa ushauri namna gani ya kupata mke sahihi wa kuoa.
Haswa ukizingatia mimi ni mtu mwenye kipato kidogo sana naishi kwa kubangaiza japo nna elimu ya masters na nilishawai fanya kazi ofisi kubwa hapo nyuma ila sasa ni jobless najitafuta upya.
Moja ya sababu ya kuchelewa kuoa ni hali ya kipato nimeishi muda mrefu bila kazi ya uhakika hapa DSM. Nataka huu mwaka usigeuke sijaoa na kupata mtoto ikitokea nimekosea basi ni mipango ya Mungu.
Nipeni madini namna ya kupata mtu sahihi maana kwa akili yangu naona bado naumiza kichwa sana.
Na ambao ndio hao watoto wao wanalilia elimu bure sio?Inabid useme hivi mimi sikuwa tayari kubeba majukumu, maana wapo vijana wanatembeza mitumba wana Mke na watoto, wapo waha wanafanya kazi ya kukopesha wana Mke na watoto.
sema hivi ndugu zangu mimi sikuwa tayari kubeba majukumu full stop.
Kama watu wanaponda Kokoto na wana familia, kama kijana anauzwa pweza na kacholi na ana Mke na mtoto unataka kusema nini wewe?