Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 48,444
- 194,235
Sio shida.Haswa ukizingatia mimi ni mtu mwenye kipato kidogo sana naishi kwa kubangaiza japo nna elimu ya masters na nilishawai fanya kazi ofisi kubwa hapo nyuma ila sasa ni jobless najitafuta upya
Mungu akuonekanie’ mwaka upya ujao baraka zake ziwe juu yako.
After hapo anza kudate basi, kweli upo mfululu singo? Basi anza