The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 3,418
- 5,028
Kutokana na elimu yako ya mastaz mtu sahihi wakuoa ni yupi,
Usikute ulijaza vitini kichwani kuliko maarifa

Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama kweli upo serious mtafute mwanamama ambaye ndugu/rafiki yako ambaye anajiheshimu na mwenye tabia nzuri. Mwambie nahitaji mke mwenye tabia nzuri, njia hii nzuri kwani hawa watu ndio watakusaidia kwenye vetting ya kupata mke sahihi, japo hapa probability wa kupata mwenye mwonekano utakao ni ndogo sana.Nimeamua kuingia kwenye ndoa ya kikiristo baada ya kuishi umri mrefu bila ndoa. Natimiza rasmi miaka 40 nikiwa sijaandaa mtu wa kufunga nae ndoa.
Najua kuna wakubwa zangu na wadogo zangu umu waliooa na kuolewa wanaweza nipa ushauri namna gani ya kupata mke sahihi wa kuoa.
Haswa ukizingatia mimi ni mtu mwenye kipato kidogo sana naishi kwa kubangaiza japo nna elimu ya masters na nilishawai fanya kazi ofisi kubwa hapo nyuma ila sasa ni jobless najitafuta upya.
Moja ya sababu ya kuchelewa kuoa ni hali ya kipato nimeishi muda mrefu bila kazi ya uhakika hapa DSM. Nataka huu mwaka usigeuke sijaoa na kupata mtoto ikitokea nimekosea basi ni mipango ya Mungu.
Nipeni madini namna ya kupata mtu sahihi maana kwa akili yangu naona bado naumiza kichwa sana.
Nyie si wote mnazini kwanza afu ndio mnaowana, sijawahi kuona mkristo kaowa bila kuzini.We jamaa ni mpumbavu sana, unaleta udini kweny uzi ambao hauhusiani na hayo mambo, unawaza udini tuu usiku na mchana sio??
Usianze kujitetea, najua ulichomaanisha.
Inachekesha sana kuambiwa hivi na mtu anayeabudu dini iliyoanzishwa na Vatican kwa kutumia moja ya miungu ya palepale Mecca kutoka kweny kabila la Muddy, Naamanisha Allah the moon goddess aliyekuwa anabudiwa kama mungu mwezi kabla hata Muddy hajapigwa roba na wakatoliki kule pangoni.nyie si makondoo tu mnabudu binadamu 😄
Eve hujambo? Nahitaji kukufahamu zaidiMkwe upo serious nikupe koneksheni tule pilau kabla ya kwaresma?!
Aiseee, Narudia Tena aiseee usije ukathubutu kukurupukia jambo hili, yatakukuta mazito sana otherwise uwe na bahati ya mtende.Nimeamua kuingia kwenye ndoa ya kikiristo baada ya kuishi umri mrefu bila ndoa. Natimiza rasmi miaka 40 nikiwa sijaandaa mtu wa kufunga nae ndoa.
Najua kuna wakubwa zangu na wadogo zangu umu waliooa na kuolewa wanaweza nipa ushauri namna gani ya kupata mke sahihi wa kuoa.
Haswa ukizingatia mimi ni mtu mwenye kipato kidogo sana naishi kwa kubangaiza japo nna elimu ya masters na nilishawai fanya kazi ofisi kubwa hapo nyuma ila sasa ni jobless najitafuta upya.
Moja ya sababu ya kuchelewa kuoa ni hali ya kipato nimeishi muda mrefu bila kazi ya uhakika hapa DSM. Nataka huu mwaka usigeuke sijaoa na kupata mtoto ikitokea nimekosea basi ni mipango ya Mungu.
Nipeni madini namna ya kupata mtu sahihi maana kwa akili yangu naona bado naumiza kichwa sana.
utapata mwenza inshallahNimeamua kuingia kwenye ndoa ya kikiristo baada ya kuishi umri mrefu bila ndoa. Natimiza rasmi miaka 40 nikiwa sijaandaa mtu wa kufunga nae ndoa.
Najua kuna wakubwa zangu na wadogo zangu umu waliooa na kuolewa wanaweza nipa ushauri namna gani ya kupata mke sahihi wa kuoa.
Haswa ukizingatia mimi ni mtu mwenye kipato kidogo sana naishi kwa kubangaiza japo nna elimu ya masters na nilishawai fanya kazi ofisi kubwa hapo nyuma ila sasa ni jobless najitafuta upya.
Moja ya sababu ya kuchelewa kuoa ni hali ya kipato nimeishi muda mrefu bila kazi ya uhakika hapa DSM. Nataka huu mwaka usigeuke sijaoa na kupata mtoto ikitokea nimekosea basi ni mipango ya Mungu.
Nipeni madini namna ya kupata mtu sahihi maana kwa akili yangu naona bado naumiza kichwa sana.
Onana na To Yeye mkuu,ni mtu ambaye huenda mkaweka mambo yenu vyema mkakokotana mpaka mahala pazuri.Nimeamua kuingia kwenye ndoa ya kikiristo baada ya kuishi umri mrefu bila ndoa. Natimiza rasmi miaka 40 nikiwa sijaandaa mtu wa kufunga nae ndoa.
Najua kuna wakubwa zangu na wadogo zangu umu waliooa na kuolewa wanaweza nipa ushauri namna gani ya kupata mke sahihi wa kuoa.
Haswa ukizingatia mimi ni mtu mwenye kipato kidogo sana naishi kwa kubangaiza japo nna elimu ya masters na nilishawai fanya kazi ofisi kubwa hapo nyuma ila sasa ni jobless najitafuta upya.
Moja ya sababu ya kuchelewa kuoa ni hali ya kipato nimeishi muda mrefu bila kazi ya uhakika hapa DSM. Nataka huu mwaka usigeuke sijaoa na kupata mtoto ikitokea nimekosea basi ni mipango ya Mungu.
Nipeni madini namna ya kupata mtu sahihi maana kwa akili yangu naona bado naumiza kichwa sana.
Kwanini aepuke waha?Kila la heri bro. Ila epuka mwanamke aliyekwisha zalishwa na wengine.
Epuka wanawake wa kimakonde hata awe na elimu gani. Epuka Muha. Epuka mrangi hata awe na elimu.
Utanishukuru baadae.
Hamna sehemu imetajwa dini, acha udini hautokupeleka ulipodanganywa.Wakristo mna ndoa kumbe
Achoke kwa lipi? Mbona humu mnapenda kutishiana sana.Duuu miaka 17 ameshaos ana hasira sanaa....atachoka mapema sana huyoo
Watoto wanalilia elimu bure?Na ambao ndio hao watoto wao wanalilia elimu bure sio?
Mtoa mada nikwambie ukweli, wewe ni mwanaume mwenzangu, humu jf wanasema wanaume hatuzeeki ila ukweli ni kuwa na sisi tunazeeka as fast as women, naona kuwa umechelewa sana kuoa bro, sexual market value yako imeshuka sana, ungekuwa na miaka 30-33 sawa, mwanaume wa miaka 40 mwanamke gani akupende? Labda sijui Mungu aingilie kati, mwanaume ukifika umri huo utapata single mothers wa miaka 32-38Hakuna cha zaidi ya upendo, oa mwanamke unayempenda nae akupende.
Kila kitu kinawezekana mkipendana kwa dhati.
Mwanaume miaka 40 anatafta mke, mtoa mada kachelewa, hakuna mwanamke atampenda, zaidi ya kumpendea hela, mtoa mada wa watu rubiiMuombe Mungu
Tembea tembea
Angalia mrembo anayekupendeza macho na roho. Dada wa level yako
Mwambie haja ya moyo wako
Basi jambo limeisha
Huyo dronedrake mwenyewe chama kishamshinda anakikimbia famchezo!Bado hamjatubu
Af kuna wenzako wengi tu kule wanajifanya team drone drake
Wengine wajeuri balaa
Ila iko siku tu 🤣 watakaa na kuona kitanda peke yao ni kama kulala juu ya paa