Sasa nahitaji ndoa kuliko kitu kingine chochote. Siwezi tena kusubiri

Sasa nahitaji ndoa kuliko kitu kingine chochote. Siwezi tena kusubiri

Mtoa mada nikwambie ukweli, wewe ni mwanaume mwenzangu, humu jf wanasema wanaume hatuzeeki ila ukweli ni kuwa na sisi tunazeeka as fast as women, naona kuwa umechelewa sana kuoa bro, sexual market value yako imeshuka sana, ungekuwa na miaka 30-33 sawa, mwanaume wa miaka 40 mwanamke gani akupende? Labda sijui Mungu aingilie kati, mwanaume ukifika umri huo utapata single mothers wa miaka 32-38

Ukweli ni kuwa mabinti wenye miaka 18-23 hawawezi mpenda mwanaume mwenye miaka 40 kwa ajili ya kuolewa na kutengeneza nae maisha, labda huyo mwanaume awe na pesa, ndo watakubali kuolewa nae Nifah stephenga
Mm nina 40 pia na sijaoa ila na 4 kids kwa wanawake 2.huwa nasema nikitaka oa naoa single mother wa 33to 40 mapenzi yanaanzia uelewa mmoja
 
Nimeamua kuingia kwenye ndoa ya kikiristo baada ya kuishi umri mrefu bila ndoa. Natimiza rasmi miaka 40 nikiwa sijaandaa mtu wa kufunga nae ndoa.

Najua kuna wakubwa zangu na wadogo zangu umu waliooa na kuolewa wanaweza nipa ushauri namna gani ya kupata mke sahihi wa kuoa.

Haswa ukizingatia mimi ni mtu mwenye kipato kidogo sana naishi kwa kubangaiza japo nna elimu ya masters na nilishawai fanya kazi ofisi kubwa hapo nyuma ila sasa ni jobless najitafuta upya.

Moja ya sababu ya kuchelewa kuoa ni hali ya kipato nimeishi muda mrefu bila kazi ya uhakika hapa DSM. Nataka huu mwaka usigeuke sijaoa na kupata mtoto ikitokea nimekosea basi ni mipango ya Mungu.

Nipeni madini namna ya kupata mtu sahihi maana kwa akili yangu naona bado naumiza kichwa sana.
Ndoa ni Jambo la kher shekhe..

Mungu akupe hitaji la moyo wako
 
Kama kweli upo serious mtafute mwanamama ambaye ndugu/rafiki yako ambaye anajiheshimu na mwenye tabia nzuri. Mwambie nahitaji mke mwenye tabia nzuri, njia hii nzuri kwani hawa watu ndio watakusaidia kwenye vetting ya kupata mke sahihi, japo hapa probability wa kupata mwenye mwonekano utakao ni ndogo sana.

Njia ya pili kama hujali vetting,dondoka kwenye haya makanisa ya upako au kesho dondoka Kawe kuna mkesha,kuna lundo kibao la wanawake wenye presha za ndoa, hapa utapata mwenye muonekano uutakao, ila kuna probability kubwa kupata muigizaji maana maeneo hayo kupata mke mwema ni sawa kubeti timu ishirini kwa jero.

Njia hizo zote mbili yaani mpaka baada ya mwezi watatu au wanne tayari ushaoa.
Wenye makalio vipi mbona hujampa ushauri huo, au atapata tabu kuangalia sides mirror wakati bado hajajua vizur kuendesha gari
 
Uislam ndio ulikuja futa ujinga wenu wakuabudu Masanamu pale Makkah Al Mukarama, walikuwepo wajinga kama nyie, mnavyo liabudu like sanamu lakizungu eti Yesu, toka lini Yesu alikuwa vile lile sanamu limekaa kishoga shoga.
Uislamu haujafuta chochote, Muhammad chose his tribe's moon god "Allah" as his god, he picked the crescent moon as his symbol because it's Allah's symbol and then called it Islam, What a joke!😅😅😅
But much like "Yahweh/Jehovah" is the personal name of the God of the Bible, "Allah" was also the personal name given to the moon god, the highest of the 360 pagan idols worshipped in Mecca, Muhammad's home town, yaan mzee sioni kilichobadilika ni nn?? Eti brother Adiosamigo naomba unisaidie kimebadilika nn, Muhammad aliwaongoza waarabu wenzake kutoka kumuabudu Allah kama moon god then yeye akafanya Allah akawa heavenly god kama yehova(inaonekana allah hakujitambulisha vizur kwa waarabu wa mecca hapo mwanzo), mi naona hicho tuu ndicho alichobadilisha, Adiosamigo kama nyie sio idol worshippers kwann Muddy asingepiga marafuku utamaduni wa kuzunguka hilo jiwe jeusi mara saba, utaratibu ambao ulikuwa unafanyika hapo awali na haohao waarabu wakipagani??
Screenshot_20231116_013017_Quora.jpg


So, is there any evidence that Islam's "Allah" was the pagan moon god of ancient Mecca?
Consider what the pagan Arabians did to worship their moon god, Allah; they prayed while bowing towards K'abah, the "house of Allah" in Mecca that houses a meteorite a stone from space, several times a day, visited it once a year, and walked around it several times during their visit.
Adiosamigo is this what you muslims do in mecca?? Adiosamigo unasoma historia kweli?? Au ukisoma hicho kitabu cha Muddy aliandikiwa na vatican inatosha kwako??(nasema aliandikiwa kwasababu muddy alikuwa illiterate hajui kusoma, hata malaika Jibril nasikia alimkaba/alimwinamisha asoma maneno akashindwa zaidi ya mara mbili).

Eti uislam umeanzishwa na Vatican 😄 we kweli kichaa njoo tukupe mbuzi na kondoo ukachunge nyie siwachungaji tu.
I'm not ignorant kama wewe, ambaye unadhani kusoma kitabu alichoandikiwa Muddy kwa kucopy na kupaste kutoka kwa dini zingine kinaweza futa ujinga kichwani mwako, I know more than 5 different religions including yours and I'm still studying others, I know things na siongei kujifurahisha hapa, nikisema Vatican created Islam namaanisha I've my evidences, Adiosamigo I read history books, I read lots of books unadhani mm kama wewe ambaye naishia kusoma biblia au qur'an tuu.
Adiosamigo hio story ya jinsi Vatican jinsi alivotengeneza Islam for the main purpose of capturing Jerusalem tutapeana siku nyingine, ila ngoja leo nikuache na ignorance yako usije mwaka wako ukaisha vibaya maana najua uislamu ndo dini unayoamini ya kweli tokea utoto na hivi ndo jinsi ulivoaminishwa, sikulaumu, hata ingekuwa mm nimezaliwa kweny uislamu ningeamini but namshukuru mungu for giving me a strong mind to ask myself critical question kuhusu hizi dini zetu.

Hilo jiwe Jeusi lilikuwa mbinguni we dogo unaelewa nini, lilikuwa jeupe likabadilika rangi kwa dhambi zilizopo dunia, haswa nyie mapagani mlipokuwa pale Makkah mlikuwa mkibeba masanamu 😄 hilo jiwe Aliliweka Nabii Ibrahim hapo Makkah kwa Amri ya Mungu.
Sawa brother Adiosamigo mm sijui kitu wewe ndo unajua😅😅 sasa nijibu kitu kimoja, mbona historia inasema hilo jiwe lilikuwepo hapo na waarabu wa kipagani waliokuwa wanamwabudu Allah the moon god walikuwa nalo na walikuwa wanaliabudu hivohivo kama nyie mnavofanya kwa kulizunguka mara saba na kulibusu??
Hivi unajua kwamba kabla ya maombi yenu kuyaelekeza Makkah, mlikuwa mnaswali kwa kuelekea yerusalem?? Baadae Muddy akaona hii kama itafanana sana na judaism akabadilisha😅
Screenshot_20231231_112546_Chrome.jpg

Uzuri wa historia haina dini wala dhehebu, its not biased, history is history, na hakuna kitabu kilichobadili matukio ya kidunia tofauti na data za wanahistoria kama qur'an, ni kama vile waliokiandika walikuwa mataahira, unawezaje kuandika kitabu ambacho kinapingana na story zilizokuwa tayar zimeandikwa na zikiaminika na jopo la watu, ni kama vile asaiv niandike kitabu alaf niseme Nyerere alikuwa sio mweusi alikuwa mzungu mweny ngozi nyeupe, si kila mtu atanipiga mawe?? Hio ndio qur'an sasa Adiosamigo inapingana na historic facts hadi aibu.

Dini ya Kislam ni dini ya Mungu 💯 sio dini zenu zakujitungia.
Brother Adiosamigo you are very ignorant😅😅 hadi najisikia aibu kuongea na wewe, bora nikaongee na muislamu anayeelewa mambo, dini yenu imekuja na kuanza kusambaa baada ya ujio wa Muhammad karne ya saba, kipindi ambacho dini nyingi tuu zilikuwa tayar zimeshaji-establish, ukristo tayar ulikuwa uko moto, Judaism ulikuwa tayar upo, Hinduism ndo usiseme ni dini ya zamani sana, Shintoism nayo ilikuwa tayar kabisa imeenea, unapojadili mambo ya dini usiwe biased, huyo mungu wenu alikuwa wapi?? Alikuwa amesinzia wakati miungu mengine wanaanzisha dini zao??
Adiosamigo nijibu?? Au utaanza kunambia Adam na Ibrahim na mussa walikuwa waislamu kama mnavodanganyana?? Kama kuna evidence yeyote ya uwepo wa islam before Muhammad's era(before karne ya saba) nileteee hapa nakusibiri, mimi sina baya mi napenda sana kujua historia, Yaan historia kabla ya Islam inasema hao wote(Mussa na Ibrahimu)walikuwa wanamwabudu Yehova tena historia iliyondikwa kweny vitabu na ushahidi lukuki, alaf eti kikundi cha watu kutoka Mecca kinakuja kusema eti Ibrahim na mussa walikuwa waislamu, hv mna akili nyie na Muddy wenu huyo?😅😅😅

Ukienda Makkah utaona wapi Nabii Ibrahim aliwawacha family yake ambaye ni mkewe Hajar na Mwanae Ismail.

Utaona kwanini Waislam wanachinja utafahamu history ya Nabii Ibrahim alipo ambiwa amchinje mwanae Ismail, badaye akambiwa achinje kondoo badale yake. hizo ni nguzo zote zipo kwenye Uislam
Hivi Adiosamigo hutaona ajabu mm asaiv nikiandika kitabu changu alaf niseme Tanzania ilipata uhuru mwaka 1980 badala ya 1961?? Nafikiri jibu litakuwa 'ndio' utaniona wa ajabu, sasa huoni ajabu kwamba Islam dini iliyokuja baada ya ukristo(takribani miaka 600 baada ya ukristo), dini changa kabisa hapa duniani, Ije na kitabu chake qur'an ambacho kimejaa characters(watu) kutoka dini iliyoitangulia namaanisha ukristo na imejaa matukio ya dini ya ukristo japo yamebadilishwa kidogo tuu ili ilete utafauti baina ya hizo dini mbili, huoni ni ajabu?? Yaan kwamba kwann muddy asingeleta characters wapya au matukio mapya, kwann yamefanana na ukristo?? au kaka swali ni refu sana hadi ushasahau nilianzaje kuandika huko juu??

Let me answer that for you, Islam as a religion stands on a very flimsy foundation, requiring belief in the prophethood of a schizophrenic and blind acceptance of the actions of a sexual deviant. The only way to propagate it and continue to gather adherents is to keep followers in the dark by prohibiting them from reading translations of their own scripture(which is funny) and creating a victim narrative and directing their anger towards the enemy(christians and Jews).

The qur'an is not even historically correct, eti Mfalme Suleiman alikuwa muislamu na alijenga Masjid-aqsa, mnachekesha😅😅 hivi nyie watu na huyo mtume kwann mna disregard historia kwa kiasi hicho😅😅😅 inashangaza kweli yaan mfalme suleiman historia yake inajulikana vizur tuu kabisa miaka nenda rudi kwamba yeye ndo amejenga hekalu pale Yerusalemu lililobomolewa na kwamba yeye alikuwa mfalme wa wayahudi aliyemwabudu yehova ma sio Allah(Allah kipindi hiko hakuna mtu aliyekuwa anamjua) alaf eti mnakuja kusema alikuwa muislamu kweli😅😅
Ngoja nikupe scenario moja brother Adiosamigo history na vitabu vya dini kama biblia inasema suleiman alijenga hekalu kwa ajili ya watu wake wayahudi takribani miaka 2980 iliyopita, Masjid-aqsa nyie waislamu mliojenga juu yake ina miaka approximately 1330.
Je, suleiman aliwezaje kujenga haya majengo mawili wakati yanatofautiana umri?? Je, kulikuwa na Suleiman mawili katika vipindi viwili tofauti?? Je, suleiman aliwezaje kuishi miaka yote hio hadi akafanikiwa kukamilisha ujenzi wa hayo majengo mawili yakiwa na utofauti wa miaka approximately 1650??
Haya kama huniamini mm, angalau msikilize huyu Imam ambaye ni muislamu mwenzako.
Screenshot_20231116_011416_Quora.jpg


Unajua bora niamini katika Hindu or Norse mythology kwasababu ni dini za zamani kuliko hata Islam na hazijaiga characters au matukio yeyote kutoka kweny dini ya ukristo, eti Ibrahim aliambiwa amchinje Ismail mnachekesha😅😅😅 na hata hamuoni aibu, yaan story ya Ibrahim kupewa jaribio la uaminifu la kumtoa kafara mwanae Isaka limeimbwa na kusimuliwa kwa miaka 4000, leo kikundi kutoka Mecca kikiongozwa na pedophile Muddy kinasema "hapana, aliambiwa amtoe kafara ismail" hivi huoni ajabu Adiosamigo mna disregard story zilizosimuliwa kwa miaka 4000, leo mnakuja kusema otherwise na unataka tumwamini muddy aliyesikia story kwa wayahudi kweny mizunguko yake, akabadilisha hizo story ili ziendane na story zake nyingine za uongo??
After Muhammad discovered the Sabina texts which he started using as reference as well as stories he would hear from traders, Christian slaves and Jews. He became know as "The Ear"😅 because if he would hear people talking about something and it would all of a sudden become Quran😅. He was often called a faker until he gained the support of criminal tribes and gangs and established an army and gained respect through fear and terror, Muhammad's prophethood ni jambo la kuangaliwa na jicho la tatu, story zake huyu jamaa tutapiga siku nyingine, today let's end here, ili nikale sikukuu na familia.

adriz ebu muelekeze kijana wako Adiosamigo asiwe anaongea ujinga mbele yangu, hajui lolote alaf anajitutumua.
 
Bila kukupaka mafuta kwa mgongo wa chupa, nakuambia kuwa ndoa sio fungu lako na ni vyema ukaungana na movement za kataa ndoa. You are no longer a marriage material. Kiufupi, tafuta pesa zikusaidie uzeeni.
 
Usihofu Mungu atakupa hitaji lako Cha kwanza
1.Hudhuria sana kanisani
2.Mfate msichana unaeona angalau ana muelekeo sawa na wewe mwambie hitaji lako la kuoa
3.msichana awe angalau 25 kwenda juu ukipata mwenye 28 huyo atafaa zaidi
4.usiwe muhitaji sana as if unataka kuhurumiwa onesha manhood kwenye utaempata
Asante nimekuelewa vizuri sana mkuu.
 
Kama kweli upo serious mtafute mwanamama ambaye ndugu/rafiki yako ambaye anajiheshimu na mwenye tabia nzuri. Mwambie nahitaji mke mwenye tabia nzuri, njia hii nzuri kwani hawa watu ndio watakusaidia kwenye vetting ya kupata mke sahihi, japo hapa probability wa kupata mwenye mwonekano utakao ni ndogo sana.

Njia ya pili kama hujali vetting,dondoka kwenye haya makanisa ya upako au kesho dondoka Kawe kuna mkesha,kuna lundo kibao la wanawake wenye presha za ndoa, hapa utapata mwenye muonekano uutakao, ila kuna probability kubwa kupata muigizaji maana maeneo hayo kupata mke mwema ni sawa kubeti timu ishirini kwa jero.

Njia hizo zote mbili yaani mpaka baada ya mwezi watatu au wanne tayari ushaoa.
Nimekusoma Joseph.
 
Marry above 30 utakuja kunishukuru baadae

Sent using Jamii Forums mobile app
Akimpata aliye serious ataenjoy sana,ila hawa mademu wa above 30,ukiwa zingua na ukawaacha wanaweza kukuendea kwa babu.

Kuna senior wangu mmoja kazini, alikuwa anadate na dada above 30,halafu mshenzi kaoa ila aliingia na gear ya kumuoa huyo dada,basi mwana zile shift za night anaondoka mida ya saa nne au tano kwenda kwa huyo dada.Dada akajua kapata mume wa kumuondolea aibu kapata,hizi 50-200k demu kampa sana mwana.

Baadae akaja kujua jamaa kaoa,lilikuwa mbilinge akataka mpaka kwenda kumfanyia vurugu kwa mkewe. Ila waliachana baada ya jamaa kupunguza mazoea polepole. Jamaa yy anakwambia hatembei na mchepuko wenye njaa,yupo tayari aingie na gear ya kuoa kwa binti as long huyo binti hela anayo.

Umkute above 30 ambaye anayetaka ndoa kabisa kutoka moyoni na si yule anataka show off then arudi kwa ex wake utaenjoy sana.

Kuna mwana mwengine alimpata mchaga,mchaga ana maduka mawili ya jumla ya vinywaji ila nae shida yake ilikuwa mume.
Akampata kinyozi,yule demu frem ya jamaa alikuwa analipa yy na akamrusu kuchukua bia tatu kila siku dukani show za home anasimamia dem. Yule kinyozi mzee wake akastaafu akamgea milion tano mwanae, zikamtia uchizi nyumbani haonekani, anakimbizana na wadangaji. Zilipo kauka karudi kwa Mchaga naye kamkataa walibahatika kupata mtoto mmoja. Hii mifano ninayo mingi mno ya hawa above 30.
 
Nimeamua kuingia kwenye ndoa ya kikiristo baada ya kuishi umri mrefu bila ndoa. Natimiza rasmi miaka 40 nikiwa sijaandaa mtu wa kufunga nae ndoa.

Najua kuna wakubwa zangu na wadogo zangu umu waliooa na kuolewa wanaweza nipa ushauri namna gani ya kupata mke sahihi wa kuoa.

Haswa ukizingatia mimi ni mtu mwenye kipato kidogo sana naishi kwa kubangaiza japo nna elimu ya masters na nilishawai fanya kazi ofisi kubwa hapo nyuma ila sasa ni jobless najitafuta upya.

Moja ya sababu ya kuchelewa kuoa ni hali ya kipato nimeishi muda mrefu bila kazi ya uhakika hapa DSM. Nataka huu mwaka usigeuke sijaoa na kupata mtoto ikitokea nimekosea basi ni mipango ya Mungu.

Nipeni madini namna ya kupata mtu sahihi maana kwa akili yangu naona bado naumiza kichwa sana.
Yaani huu msemo wa mipango ya mungu kwa kweli unakera.
Wee sema mipango yako bwana msimsingizie mungu mambo hayamuhusu
 
Back
Top Bottom