Sasa najiuliza, hoja alizo ibua Karume zimejibiwa?

Sasa najiuliza, hoja alizo ibua Karume zimejibiwa?

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,207
Reaction score
13,839
CCM lazima ibadilike.
CCM lazima iende na wakati.
CCM isijifikirie kuwa wao ndio wana akili kuliko wengine wote, hasa walio madarakani.
CCM ikubali na iunde utarstibu wa kuvumilia kukodolewa ndani na nje ya chama.

Picha inayojitokeza ni uongozi wa CCM kutojiamini na kushindwa kujibu hoja.

Sasa najiuliza, hoja alizo ibua Karume zimejibiwa?

Kizazi hiki cha CCM kitumie akili zaidi kuliko mabavu.
 
Zungukeni tu lakini suala la bandari lipo pale pale.
 
CCM washafukuzwa watu wenye personality kubwa kumzidi huyo mbwatukaji kwa taarifa yako.
 
Back
Top Bottom