Prof Koboko
JF-Expert Member
- Aug 15, 2020
- 350
- 2,550
Naunga mkono hojaTuaiache nchi ipumue!
Mama kazi iendelee!
Nondo moja imefika elfu 28Umeandika upuuzi mtupu! Biashara zinafungwa kwa Tozo za kipumbavu ndio nchi inapumua?? Watu kama nyie ni aibu kwa taifa
Duh na wewe kumbe ni mnafiki! Sikujua Hilo. Ulimsifu Sana jpm kuwa ni masihi mpaka ukaunga juhudi kwa kugombea ubunge ukaambulia kura neglible. Sasa unajiweka Tena kwa Mana akuone. Hivi huiamnj elimu yako kabisa kuwa unaweza kuishi bila kulamba lamba watu?Naunga mkono hoja
P
Alafu fikiria anakuja mpumbavu mmoja anaandika huu upuuzi wake! Umeme mgao,Maji mgao,Bei za bidhaa,Mafuta,Mbolea zimepanda maradufu alafu bila aibu mjinga mmoja anakuja na mashairi ya kusifia ujinga ujinga hapa! NONSENSE!Nondo moja imefika elfu 28
Yaani ukiambiwa kuna ugonjwa unaosumbua baadhi ya watanzania hasa wanaccm ni kutamini kua nchi iko katika seasoni mpya kabisa, tena ni ugonjwa mbaya huu zaidi kuliko hata UVIKO-19.
Tuna binadamu wana roho za kinyama zisizo na huruma eti wanajifanya wao ndio wanaumia kwa sasa. Kamwe hamtaweza kumkwamisha Mama na hilo haliwezekani kamwe.
Wananchi wanalia maisha magumu ni kwa sababu mifumo ya uzalishaji iliharibiwa na kikundi cha watu, ametokea mtu mwenye hofu ya Mungu hataki dhuluma na hata uonevu lakini bado kuna visokorokwinyo vinapiga kelele? Na Mama ana miaka 10 yake mbeleni, akimaliza ataweka mifumo mizuri ya kupata kiongozi mzuri wa kufanana naye, ninyi endeleeni kulialia tu.
Hakuna matukio ya watu kutekwa, hatusikii watu wakiokotwa ufukweni, hatusikii wafanyabishara wakiporwa mali zao, hatusikii watu wakipotea hovyo. Halafu bado kuna kikundi cha watu wanatukana watu kuwaita wahuni? Wenye hofu ya Mungu ndiyo wahuni? Wasiofanya biashara ya kununua watu ni wahuni?
Kwakua Rais anaelewa maadili ya kazi yake mnataka na yeye asimame aseme hali ya haifai hili alivyokuta? Mtanataka naye aropoke kua anajua siri za nchi hii?
Nchi ambayo tuliwafungia mipaka majirani hatuwezi kufanya nao biashara, tukavunja urafiki na marafiki wengi, hivi tungeendeleaje? Kama biashara tu zilikua zinasuasua,hii miradi ingekamilika kwa pesa za kutoka wapi? Tingeendelea kukusanya mapato toka kwa nani wakati uzalishaji ulianza kua shida?
Tuaiache nchi ipumue!
Mama kazi iendel
Mpuuzi kabisa wewe ,jiwe alikuta bei ya sukari ni shilingi ngapi ?Alafu fikiria anakuja mpumbavu mmoja anaandika huu upuuzi wake! Umeme mgao,Maji mgao,Bei za bidhaa,Mafuta,Mbolea zimepanda maradufu alafu bila aibu mjinga mmoja anakuja na mashairi ya kusifia ujinga ujinga hapa! NONSENSE!
Gharama za ujenzi zinapanda halafu mnasema nchi inapanuliwa!
Inaonekana watanzania hatujui kwamba tuna Haki ya kutendewa mazuri na viongozi, badala yake tunageuka kuwasujudia kama miungu.
Huwa najiuliza sana!
Gharama za ujenzi zinapanda halafu mnasema nchi inapanuliwa!
Inaonekana watanzania hatujui kwamba tuna Haki ya kutendewa mazuri na viongozi, badala yake tunageuka kuwasujudia kama miungu.
Huwa najiuliza sana!Ne
Huna tofauti na yule mnyama anaezaa na kula wanae ,wewe hapo umeifanyia nini nchi yako ?Rais mwenye jinsia ya kike..chief hangaya..hivi mpaka sasahivi kafanya lipi la maana zaidi ya tozo na kukopea wazanzibari.
#MaendeleoHayanaChama
Sent using Jamii Forums mobile app
Jiwe alihujumiwa before haja master mchezo wa wahuni but by the end bei ili stabilizeMpuuzi kabisa wewe ,jiwe alikuta bei ya sukari ni shilingi ngapi ?
Chokoleti fleva mmoja weweWewe ni ha...,,.. ,kafie mbali ,kenge maji mkubwa