Sasa ndio mtaamini nani mmiliki wa wasafi tv na redio

Sasa mbona wameingia mitini jamani..daah!!! Au wameingia kwenye ibada ya jioni.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]still waiting..(korosho zako ziko tayari mkuu,zimeshabanguliwa kabisakabisa..hahhaa)..
Hahahaha, watakuja tu ,niwekee nachukua boda boda niwahi
 
Kuna mtu kapost hii mahaliView attachment 945730
mkuu, nimeufatilia huu mjadala mwanzo mwisho na wengine mpaka wanatukanana humu lakini kati yao wote hakuna alieleta ushaidi kutetea hoja zao, nadhani hii post yako imemaliza mabishano

Halafu huyu Juhayna si mke wa Joseph Kusaga..!!!

Ila yule aliesema hisa ni 98% kwa 2%..!!
 
Well said mkuu
 
Hahahaha wa 2% ulimi mteleza
 
Sikulaumu kwani uwezo wako wakufikiri umeishia hapo [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14][emoji14].
Nikuambie tu kitu ndugu yangu humu ndani hatujuani na kuna watu wana stress za maisha ajabu sasa hasira zao wanakuja kuzimalizia kwa watu hata wasiowajua ushauri wangu ukiona mtu wa namna hii usijibu lolote aki kushambulia.
 
inategemeana, mtaji si pesa tu, hata brand ni mtaji
 
Dah ,hatutafika
Sio ujuaji ni wivu tu wa kimasikini maana sisi masikini sifa yetu kubwa ni uongo na roho mbaya na hatupendi kabisa kumuona mtu kafanikiwa siku zote tunatamani ashuke tufanane nae na asiposhuka basi ni kutokumkubali tu kabisa kwa lolote afanyalo.
 
Hapa huwaoni tena wazee wa 2% yaani kutolea jasho kote kule diamond awe na 2% na hii ieleweke wazi diamond sio mjinga na hizi hisa kila sehemu wanayoshilikiana na huyo kukoboa jua dogo anazaidi ya 40%.
Tumebakiza kwenye wasafi fm na Diamond karanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…