Angalia kwenye list ya makampuni Brela, hapo utaupata ukweli maana inatajwa kampuni na wakurugenzi wake!Hiyo document ipo wapi
Hii issue ya coconut niliwaza pia,Jambo usilolijua ni kama usiku wa giza.
Coconut FM ya Zanzibar inatumia mwimbi ya 88.9. Juzi wanatangaza wanaachana na mawimbi hayo na kuanzisha mapya.
Unajua mmiliki wa coconut fm ni nani!? Na hayo mawimbi 88.9 yanamilkiwa na nani!?
Draft limeshachorwa. Watabaki wengine gizani tu. Kama wewe hapa. Wajanja tunajua.
Angalia kwenye list ya makampuni Brela, hapo utaupata ukweli maana inatajwa kampuni na wakurugenzi wake!
marketing communication &digital marketing kwa ujumlaSCANAD ni kampuni inayojihusisha na nini
Hili bara letu ni tatizo mkuu tena ni tatizo kubwaKwa akili yao wanaona media ni kama duka unaweza kuliua duka la familia leo ukafungua la kwako na baada ya miezi mitatu likafanya vizuri, hawaijui struggle yakuestablish media house hadi ianze kufanya vizuri.
Mtu kama Joe anafahamu the hustle behind it, hivyo hawezi risk media kongwe eti kwasababu anaestablish media mpya! Anafahamu Wasafi media itawachukua miaka kadhaa kupata coverage iliyonayo Clouds leo hii, sasa aiue CMG mapema yote hii ili afaidike vipi? ikitokea akaiua Clouds na Wasafi isisimame Je?, Je nguvu za kimwili na kiakili alizokuwa nazo wakati wakuisimamisha clouds ataendelea kuwa nazo milele? Mi nadhani hakuna mfanyabiashara anayeweza kuchukua uncalculated risk za namna hiyo, Yule jamaa ako na brain angeweza kufanya vinginevyo na kusiwe na madhara kokote.
Kwa maoni yangu naona CMG inaweza kuwa na matatizo mengi ndani yake ila sio kuhujumiwa na mmoja wa wamiliki wake.
Bottom line, hili la mmiliki wa Wasafi media kwanini wanalazimisha tumtambue ni Joe tu mara Diamond ni kibaraka tu anatumwa, kwani hawajui kuwa company inaweza kuwa na mmliki mmoja na kuendelea? Btw, how a grown up man or woman anaweza kufikiria Diamond anamiliki 2% katika wasafi TV & FM? How? Unadhani kuna mfanyabiashara yeyote atamfata Diamond amwambie tuwekeze kwa Brand yako then nikupe 2% ya shares zote? Diamond ni zuzu ama hajui kubargain au hajui thamani ya brand yake aliyeitengeneza kwa jasho kwa muda mrefu? Najiuliza watu wa namna hii wanafikiria kwa kutumia ubongo kweli? Je wamewahi kujaribu kutengeneza brand ikakubalika hata katika ngazi ya kitongoji? Mi nafikiri waTz tujifunze kufikiri sawasawa.
Haiwezi kuwa ratio ya hivyo, Diamond sio mbumbumbu hivyo japo ana form4 tu ila ni mjanja sana ndio maana hata wafanyabiashara wengi wameona ni potential candidate, inshort ana influence kubwa sana kwenye media za Tanzania na anakubalika mno! Kwa jinsi nilivyoona kwenye moja ya taarifa ratio ni ile ya 50 : 48 : 2 ambapo Diamond anakula hio 48%92% kwa 8%?? Huyo Diamond ana akili kweli?
Alikua hana wanasheria wakanegotiate deal zuri??
Ina mana faida ya 100m yeye anapata 8 mwenzie 92??
Garbage
Dada wa taifa anakusanya data ili akimwaga information ziwe nzito....Sisi tusiojua kinachoendela tuna comment wapi,,na dada wa taifa anasemaje kwan?
Labda ivo inamake sense na ni fairHaiwezi kuwa ratio ya hivyo, Diamond sio mbumbumbu hivyo japo ana form4 tu ila ni mjanja sana ndio maana hata wafanyabiashara wengi wameona ni potential candidate, inshort ana influence kubwa sana kwenye media za Tanzania na anakubalika mno! Kwa jinsi nilivyoona kwenye moja ya taarifa ratio ni ile ya 50 : 48 : 2 ambapo Diamond anakula hio 48%
Clouds kusitisha tamasha dar ww unadhani ni kitu kidogo?Mbona clouds inafanya vizuri tu
Au kusitisha fiesta Dar
Safi sana dada yangu mwenyewe napataga wakati mgumu sana kwa brand ya Diamond kuwa na 2% ukiangalia kwa jinsi anavyojielewa na mameneja wake wanaomzunguka kama Sallam ambae anasema hawezi kumsindikiza mtu kwenye utajiri. Nakumbuka interview moja ya diamond kipindi kidogo aliulizwa kuhusu kuuza account yake instagram akasema labda kwa 1 billion ndio atauza alafu aje auze brand ya wasafi kwa 2% huu ni uzwazwa na ukiangalia nguvu anayotumia kuibarand wasafi media ni kubwa kuliko kawaida.Kwa akili yao wanaona media ni kama duka unaweza kuliua duka la familia leo ukafungua la kwako na baada ya miezi mitatu likafanya vizuri, hawaijui struggle yakuestablish media house hadi ianze kufanya vizuri.
Mtu kama Joe anafahamu the hustle behind it, hivyo hawezi risk media kongwe eti kwasababu anaestablish media mpya! Anafahamu Wasafi media itawachukua miaka kadhaa kupata coverage iliyonayo Clouds leo hii, sasa aiue CMG mapema yote hii ili afaidike vipi? ikitokea akaiua Clouds na Wasafi isisimame Je?, Je nguvu za kimwili na kiakili alizokuwa nazo wakati wakuisimamisha clouds ataendelea kuwa nazo milele? Mi nadhani hakuna mfanyabiashara anayeweza kuchukua uncalculated risk za namna hiyo, Yule jamaa ako na brain angeweza kufanya vinginevyo na kusiwe na madhara kokote.
Kwa maoni yangu naona CMG inaweza kuwa na matatizo mengi ndani yake ila sio kuhujumiwa na mmoja wa wamiliki wake.
Bottom line, hili la mmiliki wa Wasafi media kwanini wanalazimisha tumtambue ni Joe tu mara Diamond ni kibaraka tu anatumwa, kwani hawajui kuwa company inaweza kuwa na mmliki mmoja na kuendelea? Btw, how a grown up man or woman anaweza kufikiria Diamond anamiliki 2% katika wasafi TV & FM? How? Unadhani kuna mfanyabiashara yeyote atamfata Diamond amwambie tuwekeze kwa Brand yako then nikupe 2% ya shares zote? Diamond ni zuzu ama hajui kubargain au hajui thamani ya brand yake aliyeitengeneza kwa jasho kwa muda mrefu? Najiuliza watu wa namna hii wanafikiria kwa kutumia ubongo kweli? Je wamewahi kujaribu kutengeneza brand ikakubalika hata katika ngazi ya kitongoji? Mi nafikiri waTz tujifunze kufikiri sawasawa.
Ulisha wahi kufanya biashara ya share?92% kwa 8%?? Huyo Diamond ana akili kweli?
Alikua hana wanasheria wakanegotiate deal zuri??
Ina mana faida ya 100m yeye anapata 8 mwenzie 92??
Garbage
Na ni zaidi ya 50 sababu kama pesa ya ku establish media anayo kama brand anayo sasa kusaga ana kipi cha kumzidi diamond mpaka yeye ndio awe top kwa wasafi media? Diamond ana kila kitu cha kuweza kusimamisha media yake pasi na kutegemea nguvu ya mtu. Media kaweza kusimamisha Dialo na dj majizo tena media kubwa tu atashindwaje Diamond? Tusikaushane uzazi bhana huyo kusaga nafikiri ndie anatembelea nyota ya diamond kama ushauri nk na asilimia atakuwa na chache tu.Haiingii akilini kabisaa pale labda Wamegawana 50 na kusagaa...!!
sio kusanga mkuu ni kusaga.maana mwisho utasema kudangaUlisha wahi kufanya biashara ya share?
Yaani mtaji wa kuanzisha project tuseme ni 50 Milion, mm nitoe milion 48 na ww utoe milion 2 halafu uje umiliki hisa 49 na mm nimiliki hisa 51? Hapa hata haitaji mwanasheria kama project ni wazo la kusanga na yy kma katoa hela nyingi, lazma Kusanga awe na hisa nyingi
We unatoa capital yeye anatoa brand kubwa so haiwezi kua 92/8%Ulisha wahi kufanya biashara ya share?
Yaani mtaji wa kuanzisha project tuseme ni 50 Milion, mm nitoe milion 48 na ww utoe milion 2 halafu uje umiliki hisa 49 na mm nimiliki hisa 51? Hapa hata haitaji mwanasheria kama project ni wazo la kusanga na yy kma katoa hela nyingi, lazma Kusanga awe na hisa nyingi
Kabisa Mond kwa sasa ni Brand kubwaa sanaa...! wasafi ni yeyee asilimia kubwaa tv na radio...Pia hizo perfume..karanga zote anamiliki kwa asilimia kubwa sanaNa ni zaidi ya 50 sababu kama pesa ya ku establish media anayo kama brand anayo sasa kusaga ana kipi cha kumzidi diamond mpaka yeye ndio awe top kwa wasafi media? Diamond ana kila kitu cha kuweza kusimamisha media yake pasi na kutegemea nguvu ya mtu. Media kaweza kusimamisha Dialo na dj majizo tena media kubwa tu atashindwaje Diamond? Tusikaushane uzazi bhana huyo kusaga nafikiri ndie anatembelea nyota ya diamond kama ushauri nk na asilimia atakuwa na chache tu.
Mkuu hivi unajua walio nyuma ya Diamond kumfikisha hapo alipo Kusanga yupo? Walio mfanikishia mafanikio ya diamond pana mikono ya watu wengi wengi sana, Hadi Kikwete yupo, brand ya diamond imekuzwa na watu wengi sana + juhudi zake mwenyeweSafi sana dada yangu mwenyewe napataga wakati mgumu sana kwa brand ya Diamond kuwa na 2% ukiangalia kwa jinsi anavyojielewa na mameneja wake wanaomzunguka kama Sallam ambae anasema hawezi kumsindikiza mtu kwenye utajiri. Nakumbuka interview moja ya diamond kipindi kidogo aliulizwa kuhusu kuuza account yake instagram akasema labda kwa 1 billion ndio atauza alafu aje auze brand ya wasafi kwa 2% huu ni uzwazwa na ukiangalia nguvu anayotumia kuibarand wasafi media ni kubwa kuliko kawaida.
Na hapa ndipo penye mantiki kama ishu ni pesa ya kusaga basi angeanzisha brand yake bila kutumia ya mtu.We unatoa capital yeye anatoa brand kubwa so haiwezi kua 92/8%
Kama ni hivyo huyo mmiliki si angeiita KUSAGA FM au KUSAGA TV?? Kama hela yake ilikua ina matter?