Sasa ndio mtaamini nani mmiliki wa wasafi tv na redio

You said it all,CGM ni spoonfed
 
Tutaamini vp, weka ushahidi uli tujiridhishe maana kila mmoja anajaribu kutueleza wakati evidence hakuna
 
Joe na DAB huko wasafi ni kitu kimoja kama kweli angetaka iendelee wangeyamaliza hukohuko,suninimabie kwamba Joe angeshindwa kuongea na mwakyembembe,sirro,DAb au Jpm hili suala likaisha
kasheshe aisee
 
Sasa hilo linahusiana vp na nilichoongea mimi? Kama hilo la Coconut umelifahamu hiyo juzi binafsi nalifahamu tokea kitambo ingawaje sio kuhusu Frequencies!

Hoja hapa ni Joseph Kusaga kutaka kuiua Clouds Media!

Anzia hapo na sio habari za Coconut FM
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Nenda BRELA na TCRA... ukikuta ni uongo, rudi hapa iweke ukweli ulioupata
embu waambie hao, hwajui ujeuri wa ndugu zake joe kusaga,kina God,Andrew na yule mwanamama Judith...hata ingekuwa wewe,huwezi ukaweka effort kubwa unaumiza kichwa siku ya mwisho mnagawana sawasawa,alijitoa kiakili sana kwamba anahamia dubai na akaanzisha clouds international hukohuko,sasa huku karudi na wasafi tv kwa jina la mzee tyson,yeye ruge ana mishemishe zake nyingi kama THT,tatu mzuka ingawa hii ni share hata kusaga yupo na dada yake ruge aitwaye Kemmy ndiyo anaisimamia yeye na seba maganga, Ruge pale clouds analipwa mshahara kama mfanyakazi ,hana shares
Joe leo kawapa ndugu zake somo kubwa sana..sio kukaa tu kudai shares sawa,wakati hata kuhangaikia connections huwezi
 
Aisee
 
Bosi unajua nini maana ya brand? Diamond anakuwa beneficial wa brand yake(Wasafi) Anaweza akawa hajatoa shilingi ya capital na akapata more than 40% of share.
 
Hata hapa kwetu anayetegemewa ni Magu tu,Siku asipokuwepo kuwepo kila kijakazi atatafuta njia yake
 
Dah wabongo bhana....!!!

Yaani watu wanakaa bize!!!, kuongelea kitu, ambacho akina umuhimu wowote kwao. Hivi wasafi ikiwa inamilikiwa na Dhy or Joe and whoever nyie mnafaidika na nini hapo!! Mnapewa ugali au!!!....for sure huu ni ustupid wa mwisho kabisa.

Tubadilikeni bhana, hali yenyewe ya maisha ndio kama hivi tunavyoiona....
 
nenda jukwaa la kilimo na ujasiriamali ukatoe mawaidha yako kuhusu maisha,umefata nini kwenye hili jukwaa??/
 
We jamaa unatia aibu manake, kwa wanaofahamu wanakuona unaongea viroja!

Share za kampuni hazigawanyi kama urithi wewe kwamba eti "halafu wapate sawa!"

Halafu huyo Mzee Tyson unamtaja sana leo huku ukitarajia eti aka2030 ndo aje kukupa doc inayonesha shareholding structure ya Wasafi!! Utakaa mwaka mzima hiyo doc HATAKULETEA na akikuletea najipiga ban mwenyewe JF hadi 2019!!!

Namuona Bujoro hapo juu na yeye amekuomba umpatie hiyo doc ukishaletewa! Bujoro, we endelea tu na mambo mengine kwa sababu huyo aka2030 hiyo doc HANA na wala hawajawahi kuwa nayo! Kama ni mgeni wa hili jamvi, ingia tu profile ya aka2030 uone alivyokuwa too obsessed na Wasafi na anachonikera zaidi, jamaa ni mdini nuksi!

Amini usiamini, huyo jamaa awe na hiyo doc ikionesha 8% za Diamond, basi hata akipewa sharti kwamba akitaka kui-post basi ni lazima atembee Dar to Morogoro ndipo a-post, am certain huyo jamaa atakubali!

Huyo aka2030 anayemsubiria kuleta hizo nondo aliwa kuandika siku za nyuma kwamba:
Anayemzungumzia hapo juu ni Rich Mavoko!! Yaani kwa mujibu wa Informer wa nzagambadume, yaani huyo aka2030, Rich Mavoko ni mmoja wa watoa wazo la uanzishwaji wa WCB!! Kwako inaingia akilini hiyo? Au ni WCB ipi ambayo Mavoko alishiriki kutoa wazo?

Na huyo Mzee Tyson kamweka hapo juu kwamba anamiliki 50%!!!

Sasa huyo Tyson anamiliki 50% ya WCB ipi hasa? Label ya WCB?! Kama ndiyo, hivi unaamini kabisa Diamond anaweza kukosa pesa ya kuanzisha music label hadi amtumikie mtu mwingine na yeye kupewa 20% ya shares?! Yaani Diamond huyu huyu ambae alikataa kusainiwa na ROC NATION ya Jay Z kwa sababu anafahamu mikataba ya ROC NATION inakuwa ni kama msanii unamilikiwa; leo hii amekubali kumfanyia kazi the so called Mzee Tyson ambae nzagambadume anaamini ndo Joseph Kusaga!!!

Narudia, wote mnaomsubiria aka2030 awaletee hiyo doc, mtasubiri hadi 2019 na hiyo doc hatawaletea kwa sababu hana na wala hajawahi kuwa nayo!!!!
 
hongera sana kwa nondo kali,weka basi wewe docs za kuonesha domo an asilimia mia
 
usiuchezeee huu mchezo weweeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…