nzagambadume
JF-Expert Member
- Apr 9, 2018
- 2,430
- 5,779
- Thread starter
-
- #161
pita kushoto nyoooka mbele kule utaona jalala kuubwa linanuka,hapo utakuwa umefikaKwa hiyo kwako TV, lazima iwe na van?Tatizo lako chuki imefunika macho yako, muda huu Arise and Shine, WRM wanarusha ibada zao live, sasa sijajua unataka live gani.
Huna point, ndio uwezo wako ulipoishia.pita kushoto nyoooka mbele kule utaona jalala kuubwa linanuka,hapo utakuwa umefika
baki baki hadi baadaye tubishanee hadi uchoke hata ukitaka tutukanane wwewe tu,kuna kazi nafanya hapa ngoja niingize hela kwanza,ukitaka maujinga wala usijali hapa ndipo home kwakeHuna point, ndio uwezo wako ulipoishia.
Ujinga upi, ww umesema hawarushi matangazo live sababu hawana van, nikakuuliza kwani TV ni van? Hujanijibu, ukasema Arise and Shine wanashindwa kurusha matukio live, sasa hivi Arise and Shine (startimes channel 117) wanarusha, ibada yao live, nikakuuliza unataka warushe live gani. Ila si shangai kwa hizo comment zako maujinga unayo mengi na ndio maana huna evidence wala reference unao uandika ni ujinga ujinga tu.baki baki hadi baadaye tubishanee hadi uchoke hata ukitaka tutukanane wwewe tu,kuna kazi nafanya hapa ngoja niingize hela kwanza,ukitaka maujinga wala usijali hapa ndipo home kwake
Umemaliza kabisa...Unaongea kwa sauti ya Mange Kimambi!!
Mambo mengine ni ya kutumia common sense tu!
Yaani unaamini kabisa Joseph Kusaga anaweza kuhujumu a well established family company aliyoitolea jasho since Day 1 kwa sababu tu, according to Mange, ameamua kuanzisha media house nyingine?
Hivi kwa akili yako unadhani Joe hana share za kutosha pengine kuliko mwanafamilia mwingine yeyote yule pale Clouds?! Hivi unaamini kabisa katika mazingira kama hayo anaweza kuthubutu kuiangamiza wakati at family level, Joe ndo Clouds na Clouds ndo Joe?! Hivi unaamini anaweza kuiua media yenye coverage nchi nzima huku ikifanya shughuli zingine nje ya nchi... tena aanze kuia kwa sababu ya Wasafi ambayo radio yake mwisho Dar es salaam na itawachukua zaidi ya mwaka kupata leseni ya nchi nzima!
Assume wewe ndo Joseph Kusaga; ungeweza kufanya upumbavu kama huo?!
Again, ikiwa hata nyie msiefahamu shareholding ya Clouds tayari mnafahamu eti Joe anaihujumu Clouds ifo Wasafi!! Ina maana hadi leo Kusaga Family hawajafahamu kwamba Joe anawahujumu ikiwa hata akina nyie tayari mnafahamu?!
Hivi inaingia akilini kwamba wangeendelea kumuacha aiongoze Clouds wakati wanafahamu ana lengo la kuiua?! Yaani mnaamini kabisa kwamba Mange anaweza kupata inside info za Clouds lakini Kusaga Family washindwe kuzipata?
Btw, Joe aki-fight kupata kibali cha Fiesta Dar kunaiporomosha vp Wasafi Media? Au ndo kwavile Mange kawaambia Joe anataka kuiua Clouds?!
Mashabiki wa Mange na wa Le Mutuz mpo kama kokoro vile! Yaani mnameza kila mnachoambiwa bila ku-digest!
mkuu nami nakubali hapa tuna tatizo kubwa sana, nahisi itachukua muda sana, biashara nyingi zinapata shida kwa hili tatizo.Hili ndiyo tatizo la Mwafrica, taasisi kubwa kama clouds kutengemea mtu mmoja ni ujuha yaani huyo mtu asipo kuwepo inamaana hamna taasisi (clouds)?
Angalia kama Apple muanzilishi alisha kufa kitambo lakini bado kampuni inafanya vizuri..
Niseme sisi hatuna vision au hatuna plan za mbele miaka 50 ijayo tunaangalia kesho itakuaje badala ya kuweka malengo ya mbele..
Poorest Africa
Niulize kwanini fiesta imefutwa dakika za mwishoUnaongea kwa sauti ya Mange Kimambi!!
Mambo mengine ni ya kutumia common sense tu!
Yaani unaamini kabisa Joseph Kusaga anaweza kuhujumu a well established family company aliyoitolea jasho since Day 1 kwa sababu tu, according to Mange, ameamua kuanzisha media house nyingine?
Hivi kwa akili yako unadhani Joe hana share za kutosha pengine kuliko mwanafamilia mwingine yeyote yule pale Clouds?! Hivi unaamini kabisa katika mazingira kama hayo anaweza kuthubutu kuiangamiza wakati at family level, Joe ndo Clouds na Clouds ndo Joe?! Hivi unaamini anaweza kuiua media yenye coverage nchi nzima huku ikifanya shughuli zingine nje ya nchi... tena aanze kuia kwa sababu ya Wasafi ambayo radio yake mwisho Dar es salaam na itawachukua zaidi ya mwaka kupata leseni ya nchi nzima!
Assume wewe ndo Joseph Kusaga; ungeweza kufanya upumbavu kama huo?!
Again, ikiwa hata nyie msiefahamu shareholding ya Clouds tayari mnafahamu eti Joe anaihujumu Clouds ifo Wasafi!! Ina maana hadi leo Kusaga Family hawajafahamu kwamba Joe anawahujumu ikiwa hata akina nyie tayari mnafahamu?!
Hivi inaingia akilini kwamba wangeendelea kumuacha aiongoze Clouds wakati wanafahamu ana lengo la kuiua?! Yaani mnaamini kabisa kwamba Mange anaweza kupata inside info za Clouds lakini Kusaga Family washindwe kuzipata?
Btw, Joe aki-fight kupata kibali cha Fiesta Dar kunaiporomosha vp Wasafi Media? Au ndo kwavile Mange kawaambia Joe anataka kuiua Clouds?!
Mashabiki wa Mange na wa Le Mutuz mpo kama kokoro vile! Yaani mnameza kila mnachoambiwa bila ku-digest!
Ni porojo tu,,Hivi utumie brand yangu unipe 2%?inakuja kweli?? Hamuwezi kuwa siriaz bhana..Hapa kuna swali najiuliza.
Kama mpaka post ya 180 hakuna aliyeweka evidences, wana uhakika gani wa kubishana kwa nguvu hivi?
Na kama hawawezi kuweka hizo evidences, lets say wameziona ila hawawezi ku-share; wanatarajiaje wanaobishana nao kuwaelewa?
Au watu wanabishania imani tu nini?
Ushahidi upo lkn naona watu wavivu tu wa kutafutaNi porojo tu,,Hivi utumie brand yangu unipe 2%?inakuja kweli?? Hamuwezi kuwa siriaz bhana..
Hapa kuna swali najiuliza.
Kama mpaka post ya 180 hakuna aliyeweka evidences, wana uhakika gani wa kubishana kwa nguvu hivi?
Na kama hawawezi kuweka hizo evidences, lets say wameziona ila hawawezi ku-share; wanatarajiaje wanaobishana nao kuwaelewa?
Au watu wanabishania imani tu nini?
Sasa wanaojua hayo majina watajua ,wanachojadili hapaKuna mtu kapost hii mahaliView attachment 945730
Kaka Asante, sasa wale misukule ya ambayo vichwa vyao wamempa Mange waje waone.Kuna mtu kapost hii mahaliView attachment 945730
Mjadala uanze upyaaaaaaaaaa( in mbunge bwege voice)..Sasa wanaojua hayo majina watajua ,wanachojadili hapa
Kupitia comment yako hii,ama mjadala uanze upya au uwe umefungwa
Hahahaha, unajua majina 1+3 vzr Mkuu ?OK acha nione hoja za udavuzi wa watu hapa JFKaka Asante, sasa wale misukule ya ambayo vichwa vyao wamempa Mange waje waone.
Mjadala uanze upyaaaaaaaaaa( in mbunge bwege voice)..
Ijia kilo mbili zako za korosho tutakazo gawiwa tuanze kutafuna zetu mapema tukiangalia mraruano wa hoja..Hahahaha, mie nitakua pembeni ktk huo mjadala mpya,maana kuna mdau juu huko kajaribu kuelewesha hajaeleweka