Sasa ndio mtaamini nani mmiliki wa wasafi tv na redio

Kwa hiyo kwako TV, lazima iwe na van?Tatizo lako chuki imefunika macho yako, muda huu Arise and Shine, WRM wanarusha ibada zao live, sasa sijajua unataka live gani.
pita kushoto nyoooka mbele kule utaona jalala kuubwa linanuka,hapo utakuwa umefika
 
baki baki hadi baadaye tubishanee hadi uchoke hata ukitaka tutukanane wwewe tu,kuna kazi nafanya hapa ngoja niingize hela kwanza,ukitaka maujinga wala usijali hapa ndipo home kwake
Ujinga upi, ww umesema hawarushi matangazo live sababu hawana van, nikakuuliza kwani TV ni van? Hujanijibu, ukasema Arise and Shine wanashindwa kurusha matukio live, sasa hivi Arise and Shine (startimes channel 117) wanarusha, ibada yao live, nikakuuliza unataka warushe live gani. Ila si shangai kwa hizo comment zako maujinga unayo mengi na ndio maana huna evidence wala reference unao uandika ni ujinga ujinga tu.
 
Unaongea kwa sauti ya Mange Kimambi!!

Mambo mengine ni ya kutumia common sense tu!

Yaani unaamini kabisa Joseph Kusaga anaweza kuhujumu a well established family company aliyoitolea jasho since Day 1 kwa sababu tu, according to Mange, ameamua kuanzisha media house nyingine?

Hivi kwa akili yako unadhani Joe hana share za kutosha pengine kuliko mwanafamilia mwingine yeyote yule pale Clouds?! Hivi unaamini kabisa katika mazingira kama hayo anaweza kuthubutu kuiangamiza wakati at family level, Joe ndo Clouds na Clouds ndo Joe?! Hivi unaamini anaweza kuiua media yenye coverage nchi nzima huku ikifanya shughuli zingine nje ya nchi... tena aanze kuia kwa sababu ya Wasafi ambayo radio yake mwisho Dar es salaam na itawachukua zaidi ya mwaka kupata leseni ya nchi nzima!

Assume wewe ndo Joseph Kusaga; ungeweza kufanya upumbavu kama huo?!

Again, ikiwa hata nyie msiefahamu shareholding ya Clouds tayari mnafahamu eti Joe anaihujumu Clouds ifo Wasafi!! Ina maana hadi leo Kusaga Family hawajafahamu kwamba Joe anawahujumu ikiwa hata akina nyie tayari mnafahamu?!

Hivi inaingia akilini kwamba wangeendelea kumuacha aiongoze Clouds wakati wanafahamu ana lengo la kuiua?! Yaani mnaamini kabisa kwamba Mange anaweza kupata inside info za Clouds lakini Kusaga Family washindwe kuzipata?

Btw, Joe aki-fight kupata kibali cha Fiesta Dar kunaiporomosha vp Wasafi Media? Au ndo kwavile Mange kawaambia Joe anataka kuiua Clouds?!

Mashabiki wa Mange na wa Le Mutuz mpo kama kokoro vile! Yaani mnameza kila mnachoambiwa bila ku-digest!
Umemaliza kabisa...

Hizi conspiracies zisizo za logic au reasoning huwa zinanikera, maana zina-reflect ufupi wa akili zetu watanzania.
 
Hili ndiyo tatizo la Mwafrica, taasisi kubwa kama clouds kutengemea mtu mmoja ni ujuha yaani huyo mtu asipo kuwepo inamaana hamna taasisi (clouds)?

Angalia kama Apple muanzilishi alisha kufa kitambo lakini bado kampuni inafanya vizuri..

Niseme sisi hatuna vision au hatuna plan za mbele miaka 50 ijayo tunaangalia kesho itakuaje badala ya kuweka malengo ya mbele..

Poorest Africa
mkuu nami nakubali hapa tuna tatizo kubwa sana, nahisi itachukua muda sana, biashara nyingi zinapata shida kwa hili tatizo.
 
Unaongea kwa sauti ya Mange Kimambi!!

Mambo mengine ni ya kutumia common sense tu!

Yaani unaamini kabisa Joseph Kusaga anaweza kuhujumu a well established family company aliyoitolea jasho since Day 1 kwa sababu tu, according to Mange, ameamua kuanzisha media house nyingine?

Hivi kwa akili yako unadhani Joe hana share za kutosha pengine kuliko mwanafamilia mwingine yeyote yule pale Clouds?! Hivi unaamini kabisa katika mazingira kama hayo anaweza kuthubutu kuiangamiza wakati at family level, Joe ndo Clouds na Clouds ndo Joe?! Hivi unaamini anaweza kuiua media yenye coverage nchi nzima huku ikifanya shughuli zingine nje ya nchi... tena aanze kuia kwa sababu ya Wasafi ambayo radio yake mwisho Dar es salaam na itawachukua zaidi ya mwaka kupata leseni ya nchi nzima!

Assume wewe ndo Joseph Kusaga; ungeweza kufanya upumbavu kama huo?!

Again, ikiwa hata nyie msiefahamu shareholding ya Clouds tayari mnafahamu eti Joe anaihujumu Clouds ifo Wasafi!! Ina maana hadi leo Kusaga Family hawajafahamu kwamba Joe anawahujumu ikiwa hata akina nyie tayari mnafahamu?!

Hivi inaingia akilini kwamba wangeendelea kumuacha aiongoze Clouds wakati wanafahamu ana lengo la kuiua?! Yaani mnaamini kabisa kwamba Mange anaweza kupata inside info za Clouds lakini Kusaga Family washindwe kuzipata?

Btw, Joe aki-fight kupata kibali cha Fiesta Dar kunaiporomosha vp Wasafi Media? Au ndo kwavile Mange kawaambia Joe anataka kuiua Clouds?!

Mashabiki wa Mange na wa Le Mutuz mpo kama kokoro vile! Yaani mnameza kila mnachoambiwa bila ku-digest!
Niulize kwanini fiesta imefutwa dakika za mwisho
 
Hapa kuna swali najiuliza.

Kama mpaka post ya 180 hakuna aliyeweka evidences, wana uhakika gani wa kubishana kwa nguvu hivi?
Na kama hawawezi kuweka hizo evidences, lets say wameziona ila hawawezi ku-share; wanatarajiaje wanaobishana nao kuwaelewa?

Au watu wanabishania imani tu nini?
 
Ni porojo tu,,Hivi utumie brand yangu unipe 2%?inakuja kweli?? Hamuwezi kuwa siriaz bhana..
 
Kuna gazeti lina yote haya mnayo jadili hapa ,kwann msilitafute mkawaona wana hisa?
 
Hahahaha ,mkuu Nasib anahisa za kutosha tu ,tafute ushahidi ktk magazeti mtaupata
Ni porojo tu,,Hivi utumie brand yangu unipe 2%?inakuja kweli?? Hamuwezi kuwa siriaz bhana..
Ushahidi upo lkn naona watu wavivu tu wa kutafuta
Hapa kuna swali najiuliza.

Kama mpaka post ya 180 hakuna aliyeweka evidences, wana uhakika gani wa kubishana kwa nguvu hivi?
Na kama hawawezi kuweka hizo evidences, lets say wameziona ila hawawezi ku-share; wanatarajiaje wanaobishana nao kuwaelewa?

Au watu wanabishania imani tu nini?
 
Kuna mtu kapost hii mahali
tapatalk_1543146768069.jpeg
 
Back
Top Bottom