sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Kinana aliwambia hakuna uchaguzi rahisi duniani jiandaeniYaaani kweli Mungu mkubwa. Hakuna aliyedhani vya this time Ccm watakuwa na hali mbaya kiasi hiki 😂😂😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kinana aliwambia hakuna uchaguzi rahisi duniani jiandaeniYaaani kweli Mungu mkubwa. Hakuna aliyedhani vya this time Ccm watakuwa na hali mbaya kiasi hiki 😂😂😂
Nilichogundua ni kuwa wewe ni mental case.Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania Yule mropokaji na msaliti wa Nchi atapigiwa kura na robert tu
Kakweli CCM mkishindwa itabidi mfungwe gerezani, maana utakuwa uzembe na zaidi. Haiwezekani mfanye kampeni kwa miaka 5, mteue tume yenu, mtumie hazina yetu mtumie askari wetu alafu eti mshindwe?????....... nasema ikitokea mmeshindwa inabidi mnyongwe kufungwa haitoshi, haiwezekani muwe wazembe kiasi hicho.Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Pia wameanza kutumia polisi kuvuruga mikutano ya lala salama. Hali hii pia inazidisha hasira kwa wapiga kura.Amani iwe nanyi wadau!
Kabla ya kwenda kwenye mada napenda kuwapongeza sana Jamii Forums. Pamoja na vikwazo na changamoto zote napenda kusema ni chombo pekee Tanzania ambacho kwenye uchaguzi huu kimejaribu kweli kusimama kwenye Haki na Kweli. Mijadala yote ya Ccm na Chadema inajadiliwa kwa kiwango kizuri ingawa Kuna changamoto ndogo za hapa na pale.
Baada ya kusema haya napenda nirudi kwenye mada.
Zikiwa zimebaki siku kama 4 tu watanzania kufanya maamuzi kuna mambo matatu nimeyaona, napenda kusema ni kielelezo tosha kuwa Ccm iko na hali mbaya sana mwaka huu. Mambo hayo ni
1. CCM kutumia silaha yake ya kujaribu kuleta mgogoro ACT Wazalendo katika hatua ya lala salama bila mafanikio.
Kwa wajuzi wa siasa za Tanzania suala la CCM Kuanza kuwaonesha mamluki wake wote waliopo ACT kabla hata kura hazijapingwa ni kielelezo tosha kuwa CCM wamebanwa sana mwaka huu na wameona ni bora watoe tu silaha zake zote. Alianza Membe na wamejitokeza wengine. Hii imewaonesha Watanzania kuwa kweli Ccm kwenye uchaguzi huu hawakujiandaa kihoja. Suala la Maalim na Zitto kumuunga mkono Lissu limewashtua sana CCM na imefika sasa hawana namna yeyote zaidi ya kujaribu kete ya mwisho ya kuharibu ACT. Hali ya Zanzibar na Bara kwa CCM ni mbaya sana na hawajui wafanyaje kupata ushindi.
2. Vyombo vya Habari nguli vya Tanzania kutorusha Habari za Tundu Antiphas Lissu kwa muda wa siku mbili mfululizo.
Hili jambo ni kielelezo kingine kuwa sasa hali ya CCM na serikali yake sio Nzuri. Baada ya kampeni za Tundu Lissu za lala salama kuwa na mwitikio mkubwa wa wananchi na huku zikiungwa mkono na Sheikh Ponda, kiongozi wa dini anayeaminika zaidi na kukubalika zaidi na waislamu wa Tanzania imeonekana kuwa Ccm wameona tu watumie mbinu kufanya vyombo vya Habari vya Tanzania vikongwe visitangaze tu kampeni za lala salama za Tundu Lissu.
Was icho jua CCM ni kuwa hili limezidi kuwapa hasira zaidi watanzania na wengi wao wameoneka leo walivyokisema chombo kimoja cha Habari baada ya kutoonesha mikutano ya Tundu Lissu kwenye taarifa yake ya Habari ya sa mbili usiku.
3. NEC kutoka hadharani na kuanza kuomba Poo!
Baada ya mbinu chafu zote za wizi wa kura ikiwemo kuongeza vituo hewa na wapiga kura hewa kubumbuliwa mwaka huu huku NEC ikiwa imewaonea sana wapinzani kwa kuwaengua kwenye majimbo mbalimbali na kukataa kuwaapisha wasimamizi wa uchaguzi ikiwemo kuwasimamisha kufanya kampeni wagombea wao, Leo mkurugenzi wa Tume ya uchaguzi ameona tu aanze kutengeneza mazingira kutengeneza huruma kama NEC wanasingiziwa. Kwa mbinu hizi zote inaonekana dhahiri CCM wameshazidiwa sana mwaka huu na hali si hali huko kwao.
Niliwai sema mwanzoni mwaka huu kuwa hakuna uchaguzi mgumu kwa CCM Kama wa mwaka huu na mwaka huu inyeshe mvua liwake jua, CCM hawawezi shinda uchaguzi wa mwaka huu, sasa baada ya haya yote nimeamini kuwa mwaka huu CCM inaenda kuanguka rasmi kuwa Chama tawala Tanzania.
Hongereni wapinzani kwa kujiandaa vyema mwaka huu, hongera sana Tundu Antiphas Lissu.
Mungu awasimamie kweli
Tume, msajiri, na polisi watawasaidia kubaki madarakani kinyume na matakwa ya wapiga kura.Yaaani naskia wameandaa watoto wa sekondari walio chini ya miaka 18 ndo wakapige kura. Kweli mwaka huu ndo msemo wa kifo cha nyani miti yote utekeleza unaenda kutimia
Mbaya zaidi clip za wakiwapa maelekezo hao watoto zinavuja na watanzania wanaoneshwa ushahidi wote😂😂😂😂😂
Kweli Ccm fungasheni virago tu. Watanzania wanewakataa hakika
Ni Lissu aliyekuwa mgombea bora kabisa kwenye kampeni za urais Uchaguzi huu 2020.Amani iwe nanyi wadau!
Kabla ya kwenda kwenye mada napenda kuwapongeza sana Jamii Forums. Pamoja na vikwazo na changamoto zote napenda kusema ni chombo pekee Tanzania ambacho kwenye uchaguzi huu kimejaribu kweli kusimama kwenye Haki na Kweli. Mijadala yote ya Ccm na Chadema inajadiliwa kwa kiwango kizuri ingawa Kuna changamoto ndogo za hapa na pale.
Baada ya kusema haya napenda nirudi kwenye mada.
Zikiwa zimebaki siku kama 4 tu watanzania kufanya maamuzi kuna mambo matatu nimeyaona, napenda kusema ni kielelezo tosha kuwa Ccm iko na hali mbaya sana mwaka huu. Mambo hayo ni
1. CCM kutumia silaha yake ya kujaribu kuleta mgogoro ACT Wazalendo katika hatua ya lala salama bila mafanikio.
Kwa wajuzi wa siasa za Tanzania suala la CCM Kuanza kuwaonesha mamluki wake wote waliopo ACT kabla hata kura hazijapingwa ni kielelezo tosha kuwa CCM wamebanwa sana mwaka huu na wameona ni bora watoe tu silaha zake zote. Alianza Membe na wamejitokeza wengine. Hii imewaonesha Watanzania kuwa kweli Ccm kwenye uchaguzi huu hawakujiandaa kihoja. Suala la Maalim na Zitto kumuunga mkono Lissu limewashtua sana CCM na imefika sasa hawana namna yeyote zaidi ya kujaribu kete ya mwisho ya kuharibu ACT. Hali ya Zanzibar na Bara kwa CCM ni mbaya sana na hawajui wafanyaje kupata ushindi.
2. Vyombo vya Habari nguli vya Tanzania kutorusha Habari za Tundu Antiphas Lissu kwa muda wa siku mbili mfululizo.
Hili jambo ni kielelezo kingine kuwa sasa hali ya CCM na serikali yake sio Nzuri. Baada ya kampeni za Tundu Lissu za lala salama kuwa na mwitikio mkubwa wa wananchi na huku zikiungwa mkono na Sheikh Ponda, kiongozi wa dini anayeaminika zaidi na kukubalika zaidi na waislamu wa Tanzania imeonekana kuwa Ccm wameona tu watumie mbinu kufanya vyombo vya Habari vya Tanzania vikongwe visitangaze tu kampeni za lala salama za Tundu Lissu.
Was icho jua CCM ni kuwa hili limezidi kuwapa hasira zaidi watanzania na wengi wao wameoneka leo walivyokisema chombo kimoja cha Habari baada ya kutoonesha mikutano ya Tundu Lissu kwenye taarifa yake ya Habari ya sa mbili usiku.
3. NEC kutoka hadharani na kuanza kuomba Poo!
Baada ya mbinu chafu zote za wizi wa kura ikiwemo kuongeza vituo hewa na wapiga kura hewa kubumbuliwa mwaka huu huku NEC ikiwa imewaonea sana wapinzani kwa kuwaengua kwenye majimbo mbalimbali na kukataa kuwaapisha wasimamizi wa uchaguzi ikiwemo kuwasimamisha kufanya kampeni wagombea wao, Leo mkurugenzi wa Tume ya uchaguzi ameona tu aanze kutengeneza mazingira kutengeneza huruma kama NEC wanasingiziwa. Kwa mbinu hizi zote inaonekana dhahiri CCM wameshazidiwa sana mwaka huu na hali si hali huko kwao.
Niliwai sema mwanzoni mwaka huu kuwa hakuna uchaguzi mgumu kwa CCM Kama wa mwaka huu na mwaka huu inyeshe mvua liwake jua, CCM hawawezi shinda uchaguzi wa mwaka huu, sasa baada ya haya yote nimeamini kuwa mwaka huu CCM inaenda kuanguka rasmi kuwa Chama tawala Tanzania.
Hongereni wapinzani kwa kujiandaa vyema mwaka huu, hongera sana Tundu Antiphas Lissu.
Mungu awasimamie kweli
Very sure! Ndiyo maana vyombo vyote vya habari vinatangaza habari za Magufuli kwa kuwa upinzani ni dhaifuUchaguzi huu CCM inakwenda kushinda kwa kishindo kwakua upinzani nidhaifu kuliko wakati wowote tangu kuanzishwa kwa vyama vingi.
Mkuu watu hum tuliwaonya tangu January kwamba uchaguzi mkuu si Jambo la kitoto,wakawa wanaendelea na sifa nyingi kwa jpm Sasa kikowapi? Maana hata Kama utatumia njia mbadala za ushindi angalau kawepo ka kisingizio kwamba wakubalika,vinginevyo ndugu watakushangaa,jirani itakushangaa,na dunia itakushangaa,na inaweza kukutenga na isikutambue,na Kama dunia haikutambui ndo Basi Tena utamuongoza naniAmani iwe nanyi wadau!
Kabla ya kwenda kwenye mada napenda kuwapongeza sana Jamii Forums. Pamoja na vikwazo na changamoto zote napenda kusema ni chombo pekee Tanzania ambacho kwenye uchaguzi huu kimejaribu kweli kusimama kwenye Haki na Kweli. Mijadala yote ya CCM na CHADEMA inajadiliwa kwa kiwango kizuri ingawa Kuna changamoto ndogo za hapa na pale.
Baada ya kusema haya napenda nirudi kwenye mada.
Zikiwa zimebaki siku kama 4 tu watanzania kufanya maamuzi kuna mambo matatu nimeyaona, napenda kusema ni kielelezo tosha kuwa CCM iko na hali mbaya sana mwaka huu. Mambo hayo ni
1. CCM kutumia silaha yake ya kujaribu kuleta mgogoro ACT Wazalendo katika hatua ya lala salama bila mafanikio.
Kwa wajuzi wa siasa za Tanzania suala la CCM Kuanza kuwaonesha mamluki wake wote waliopo ACT kabla hata kura hazijapingwa ni kielelezo tosha kuwa CCM wamebanwa sana mwaka huu na wameona ni bora watoe tu silaha zake zote. Alianza Membe na wamejitokeza wengine. Hii imewaonesha Watanzania kuwa kweli CCM kwenye uchaguzi huu hawakujiandaa kihoja. Suala la Maalim na Zitto kumuunga mkono Lissu limewashtua sana CCM na imefika sasa hawana namna yeyote zaidi ya kujaribu kete ya mwisho ya kuharibu ACT. Hali ya Zanzibar na Bara kwa CCM ni mbaya sana na hawajui wafanyaje kupata ushindi.
2. Vyombo vya Habari nguli vya Tanzania kutorusha Habari za Tundu Antiphas Lissu kwa muda wa siku mbili mfululizo.
Hili jambo ni kielelezo kingine kuwa sasa hali ya CCM na serikali yake sio Nzuri. Baada ya kampeni za Tundu Lissu za lala salama kuwa na mwitikio mkubwa wa wananchi na huku zikiungwa mkono na Sheikh Ponda, kiongozi wa dini anayeaminika zaidi na kukubalika zaidi na waislamu wa Tanzania imeonekana kuwa CCM wameona tu watumie mbinu kufanya vyombo vya Habari vya Tanzania vikongwe visitangaze tu kampeni za lala salama za Tundu Lissu.
Wasichokijua CCM ni kuwa hili limezidi kuwapa hasira zaidi watanzania na wengi wao wameoneka leo walivyokisema chombo kimoja cha Habari baada ya kutoonesha mikutano ya Tundu Lissu kwenye taarifa yake ya Habari ya saa mbili usiku.
3. NEC kutoka hadharani na kuanza kuomba Poo!
Baada ya mbinu chafu zote za wizi wa kura ikiwemo kuongeza vituo hewa na wapiga kura hewa kubumbuliwa mwaka huu huku NEC ikiwa imewaonea sana wapinzani kwa kuwaengua kwenye majimbo mbalimbali na kukataa kuwaapisha wasimamizi wa uchaguzi ikiwemo kuwasimamisha kufanya kampeni wagombea wao, Leo mkurugenzi wa Tume ya uchaguzi ameona tu aanze kutengeneza mazingira kutengeneza huruma kama NEC wanasingiziwa. Kwa mbinu hizi zote inaonekana dhahiri CCM wameshazidiwa sana mwaka huu na hali si hali huko kwao.
Niliwai sema mwanzoni mwaka huu kuwa hakuna uchaguzi mgumu kwa CCM Kama wa mwaka huu na mwaka huu inyeshe mvua liwake jua, CCM hawawezi shinda uchaguzi wa mwaka huu, sasa baada ya haya yote nimeamini kuwa mwaka huu CCM inaenda kuanguka rasmi kuwa Chama tawala Tanzania.
Hongereni wapinzani kwa kujiandaa vyema mwaka huu, hongera sana Tundu Antiphas Lissu.
Mungu awasimamie kweli
Wazuie zisiiingie tena nchini, kisha internet wazime.Adui wa CCM ni smartphone na Internet.Hawatovisahau daima
Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania
Yule mropokaji na msaliti wa Nchi Lissu atapigiwa kura na robert tu
Mambo yote VPN mzee. Hila zao zote mwaka huu lazima zifeli kwa Jina la YesuCommunication blackout is coming, lets be prepared.
Twitter, Whatsapp, JF, Telegram, Signal, Instagram will all not be accessible
Naona saivi mmewaambia vodacom na Airtell , message zenye Jina Tundu Lissu zisitumike!!!Maneno meengi, kiboko yenu 28 October Ile paleee!!!
Na ndiyo mwisho wa uenyekiti wa mbowe Maana najua hasira zenu mtazielekezea hapo
Hahahahaha Naona wanajuta saivi kuwepo kwa internet na smartphonesWazuie zisiiingie tena nchini, kisha internet wazime.
Waliona mwaka huu utakuwa mtelemko na ushetani wao. Kumbe Mungu Baba kamuandaa mpakwa mafuta wake Tundu Antiphas Lissu aje kuwakomboa watanzaniaMkuu watu hum tuliwaonya tangu January kwamba uchaguzi mkuu si Jambo la kitoto,wakawa wanaendelea na sifa nyingi kwa jpm Sasa kikowapi? Maana hata Kama utatumia njia mbadala za ushindi angalau kawepo ka kisingizio kwamba wakubalika,vinginevyo ndugu watakushangaa,jirani itakushangaa,na dunia itakushangaa,na inaweza kukutenga na isikutambue,na Kama dunia haikutambui ndo Basi Tena utamuongoza nani
Badilisha neno "sisi" kuwa "mimi" na baadhi ya "Watz wachache". Vinginevyo angalia likes ulizopata. Nafikiri umenielewa.Sisi Watanzania tuliowengi tutamchagua Rais Magufuli kipenzi cha Watanzania