Sasa ni dhahiri Mbatia akubali kufanya kazi ya CCM

Hapo unatuonesha kuwa baada ya kuitwa ikulu kaambiwa chama kinakufa,akaagizwa yakufanya siyo!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Siasa za Bongo bwana, wametoka CDM wamehamia NCCR safi sana hongera zao..
 
The little doubts I had concerning James Mbatia, have been confirmed beyond any reasonable doubt.

Jamaa ni mlamba miguu kama wale wengine. Kapewa ahadi ya majimbo kadhaa ya ubunge. Anawazia ruzuku za kila mwezi.
Effectively, NCCR ni policcm.
 
Tatizo la CHADEMA na hasa wafuasi wao ''maandazi'' ni kudhani wao wana haki pekee ya kuwa chama kikuu cha upinzani nchini!
Tatizo la CCM na wafuasi wao "misukule" wanadhani wao ndio wenye haki peke yao ya kuongoza nchi hii!Wanaona vyama vingine hasa chama cha upinzani chenye nguvu ni wahaini!
 
Mbowe na Mbatia ni wachagga wanajua wnachokifanya!
 
Hauna data yoyote kila wakati umekuwa ukisema hivyo ila hola, unaibukia patupu.
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…