Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
- Thread starter
- #61
Huyo uliyemquote kula yake na kila anachofanya kinategemea ccmUnatakiwa ufikirishe ubongo japo kidogo tu.Hao waliohama walishapokelewa CCM sasa tunashangaa tena Mbatia anawapokea.Ninyi ccm movement zenu huwa za kifala sana hata mtoto mdogo anang'amua mchezo mchafu.
Sent using Jamii Forums mobile app