Sasa ni dhahiri Mbatia akubali kufanya kazi ya CCM

Tatizo la CHADEMA na hasa wafuasi wao ''maandazi'' ni kudhani wao wana haki pekee ya kuwa chama kikuu cha upinzani nchini!

Jina ni chama cha demokrasia lakini fikra na matendo yao niya kibinafsi na kifashisti!
Haya ni mawazo ya KICHAWI. Kwanini husemi kuwa CCM inadhani ndio inahati miliki na nchi?
 
Alifanya kazi yenu 2015 akajikuta amepoteza hata kidogo alichokuwa nacho. Kwamba aendelee kulea majini au?
 
Waliofolisika na hawana hoja ni ccm.

Sasa wanateka watu, wanaua watu, wananunua wabunge na madiwani.....hawana hata moja la kuwaambia watanzania.

Wametawala nchi kwa karibu miaka 60 lkn wanashindwa hata kuweka nishati nafuu ya kupikia.


Iliyobakia ni kununua wanasiasa uchwara kama Mbatia, Lipumbavu na wengineo.
Makamanda bana...wamefilisika kabisa ki-hoja siku hizi.

Wamebaki kuwa watu wa kukimbilia na kushikilia vijitukio.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamechukuwa watu wa mitaani wakawavalisha nguo za chadema

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo la CHADEMA na hasa wafuasi wao ''maandazi'' ni kudhani wao wana haki pekee ya kuwa chama kikuu cha upinzani nchini!

Jina ni chama cha demokrasia lakini fikra na matendo yao niya kibinafsi na kifashisti!

Na unataka kua chama kikuu cha upinzani kwa kufanya kazi na CcM?

Be serious wewe mamalia mwenzangu!
 

Ngoma za siasa zisizojulikana...

Mkuu rejea somo tajwa hapo juu...
Wapinzani wakweli ndani ya vyama wanajulikana na hawakupata hata siku moja kuwa fisiemu... usimuamini yeyote aliyepata kumilikiwa na ji inzi la kijani...
Wapinzani wa kweli madhila yanayowakuta toka kwenye utawala yanajulikana..
Unafiki na njaa vinatupeleka puta...
 
Unatakiwa ufikirishe ubongo japo kidogo tu.Hao waliohama walishapokelewa CCM sasa tunashangaa tena Mbatia anawapokea.Ninyi ccm movement zenu huwa za kifala sana hata mtoto mdogo anang'amua mchezo mchafu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…