Rias akikutana na wapinzani kelele mnasema hapendi demokrasia , akikutana nao, mnasema anawapa maagizo ili kuua upinzani.
Binafsi naona hatua ya Rais ni njema kwani kwa kukutana nao, yeye pamoja na wao walinufaika katika hayo mazungumzo. Rais alijifunza na wao pia walijifunza jambo. Rais apongezwe kwa hatua hiyo. Na nyie mpunguze kulia lia.