Sasa ni dhahiri Rais wetu Magufuli amekwama

Pascal njoo huku mbezi au popote njia ya kwenda mbweni utaliona lile gari la city linavyosomba maiti. Juzi walizikwa 9 mzee na watu wameona kwa macho.
Endelea kumwamini ummy

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mjanja yu mashakani chezea BEBERU WEWE Nyambafu .oh siend ulaya watapiga dirii/dili oh mm ni jiwe , oh sijui nini unakimbia mafua????
Dhambi ya kuuwa watu kule MKIRU haimuachi huyu hata akilala KANISANI

Sent using Jamii Forums mobile app
Ahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa..... eti msivae barakoa huku yeye kajificha. Kama mjanja na haogopi corona basi aende Dar na azurure mitaani na kushikana na kila mtu bila tahadhari, tuone ushujaa wake. Mtu anajifungia chumbani na makufuri juu kisha anachungilia kwenye kadirisha kadogo, eti "mimi sikuogopi"
 
Pascal njoo huku mbezi au popote njia ya kwenda mbweni utaliona lile gari la city linavyosomba maiti. Juzi walizikwa 9 mzee na watu wameona kwa macho.
Endelea kumwamini ummy

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu acha kutoa taarifa hizo za vifo tafadhali. Siyo kazi yako. Wapo watu maalumu wenye mamlaka ya kutangaza vifo vya ugonjwa huu. Hao ndio wenye taarifa sahihi. Chonde chonde acha hii tabia, siyo nzuri na siyo utaratibu uliowekwa na mamlaka husika. Tuzingatie hilo jamani.
 
Endeleeni kujifanya hamna macho huku watu wanaangamia,time will tell.Endeleeni na mapambio ya kumsifia Mkuu mkizani mko salama, lahasha, muziki wa Corona sio issue ya kitoto kama unafiki wenu unavyowatuma.

Tutaelewana tu.
 
Kakwama wapi Wakati raia leo 37 hawako kifungoni wameruhusiwa kurudi home,

Chapa kazi kijana,huku ukifuata maelekezo ya wataalamu, la sivyo, Aridhi haijawahi kukataa kuhimbwa
 
Dar inapukutika! Alisikika akisema mnywakahawa mmoja! Sijui uiitafakarije kauli Ile!
Nenda ubungo bus terminal ujionee abiria wanavyonunua tiketi za kukikimbia jiji! Bado hujiulizi kisa?
"Kuanzia Leo nitakuwa natoa taarifa za ukweli" alisikika waziri wa afya akisema! Kwanini, ni kwasababu alikuwa anadanganya!
Huko saiti malori na ving'ora vya ambulance havikosekani kila siku na bado mnadai waliokufa ni 10 tu!
Tunafichana ili iweje? Hali ni mbaya kuliko tunavyoaminiashwa tuchukue tahadhari tuliosalimika leo maana ya kesho hayajulikani!
 
Ni kweli wanazikwa wengi na tumeona sasa tusiseme jamani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wishful thinking, by the way Oct 2020 inakuja, je mnajielewa au bado hamjielewi
Pamoja na malalamiko yake yote ya kusukumiziwa uongozi bado tu mnaojielewa mna mpango wa kuzidi kumsukumizia awamu nyingine! Jamani kuweni na huruma, mtamuua mwenzenu...kanyosha bendera nyeupe. Kupanga Magogoni si lelemama ndugu zangu, ni heri hata kujisetiri huko madongo kuinama!
 

Wanasema mkuki kwa nguruwe.
 
Nimesema siku nyingi hapa.

Magufuli is a country bumpkin.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…