Sasa ni dhahiri, super power ni moja tu hapa duniani

Movie tu kama movie zingine.

Irremediabilis Romaticus

Ni vizuri Trump amechaguliwa, na anaweka wazi vitu ambavyo wazungu walikuwa wakivificha kwa mda, kwamba ni waongo sana na ajenda yao ni kutawala Dunia. Kwa kiasi kikubwa wameweza kutawala fikra na mawazo ya wengi, ila safari hii, upo uwezekano wakatawala mpaka ardhi zao.

Ukoloni mamboleo is real.
 
ILA ISRAEL NI WATU WENGINE NDUGU FIKIRIA WANAJESHI 5 WA ISRAEL WANAPAMBANA NA MAKOMANDO 50 WA HAMAS LAKINI HAWAWAKIMBII CHECK CONGO WANAJESHI 1000 WANAWA KIMBIA M23 HAMSINI AU SYRIA SO HAWO KATIKA MAMBO YA KIJESHI WASHAJITOA KABISA
Hamas wana makomando?
 
Kudanganyana kumeanza tayari, eti wanajeshi wa 5 wa Israel na makomando 50 wa hamas, hamas wana komandoo??...na waaapi palikua na huo mlingano ulioutaja??
 
ILA ISRAEL NI WATU WENGINE NDUGU FIKIRIA WANAJESHI 5 WA ISRAEL WANAPAMBANA NA MAKOMANDO 50 WA HAMAS LAKINI HAWAWAKIMBII CHECK CONGO WANAJESHI 1000 WANAWA KIMBIA M23 HAMSINI AU SYRIA SO HAWO KATIKA MAMBO YA KIJESHI WASHAJITOA KABISA
Ulikua pangoni wakati wa vita vya Gaza?!
 
Binafsi namkubali sana Trump yule ni big brain
Mkuu hata mimi namkubali lakini kwa tarrifs, kufukuza undocumented na kuindolea misaada ya kijeshi Ukraine kakosea sana. Ifikapo mwezi wa saba na wa nane mwaka ndio utaona athari ya carelessness yake.

Nasubiri kwa hamu job report ya February, ijumaa hii kutoka labour department.

mshamba_hachekwi

Nyau de adriz
 
trump na musk ni celebrities kabisa, kuna watu wanawapenda hata hawawajui kiundani.

US ni taifa kuu ndio, lakini China and India are promising too...
 
Kumbuka. Marekani yako inaendeshwa na wahuni
Kumbuka. Marekani yako inaendeshwa na wahuni wawili Netanyahu na Trump na kikaragosi cha JD Vance
Kumbuka. Marekani yako inaendeshwa na wahuni wawili Netanyahu na Trump na kikaragosi chao JD Vance mwanangu
 
Hapa athari yake ni nini?
Mkuu unaambiwa viwanda vingi sasa hivi hakuna watu. Hao undocumented walikuwa wanategemewa sana kama labourers. Wanaogopa kwenda kazini. Kazi walizokuwa wanafanya Maga na black Americans hawazitaki. Matunda na mbonga zinadoda mashambani. Kwenye restaurants na huduma zingine hali mbaya. Sasa hivi stock exchange toka jana imeshuka vibaya.

Hata right wings media WSJ na Fox zimeshaanza kulalamika na kutahadharisha ambacho siyo kitu cha kawaida.

Hata traditional Republican kina mitch McConnell George bush dick Cheney wanasikitika sana.

Hali itakuja kuwa ngumu zaidi na tayari imeshaanza.

Trump ni kama mtoto utadhani mimi na nyau adriz humu jamvini.

Leadership needs critical thinking, vision, mental strength and maturity.

By the way mimi nina green card ya marekani japo siishi huko inaniuma sana.

Nyau de adriz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…