toughlendon_1
JF-Expert Member
- Feb 7, 2018
- 6,283
- 11,253
Alpharetta GA...aiseee....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Alpharetta GA...aiseee....
Take my money be my slave, no escape.Israel bila Marekani, si kitu huko Mashariki ya Kati.
Taiwan bila Marekani, si kitu mbele ya China.
Korea Kusini bila Marekani, si kitu mbele ya Kim Jong Un.
Na Ukraine bila msaada wa Marekani, si kitu mbele ya Urusi ya Putin.
Jana Rais Trump kachomoa misaada ya kijeshi ya Marekani kwenda Ukraine, leo Volodymyr Zelenskyy kasema sasa yuko tayari kusitisha mapigano na kufikia muafaka wa kumaliza vita na Urusi na kwamba anasikitika kwa kilichotokea Ijumaa ya wiki iliyopita pale ikulu ya Marekani.
Ukweli wa mambo ni kwamba Marekani ndiyo kiongozi wa dunia. Marekani ndo inayoiendesha dunia.
Muungano wa Ulaya, ulio na jumla ya nchi 27, umeshindwa kuipiga tafu Ukraine bila msaada wa Marekani.
Viongozi wa Ulaya sasa hivi wana matumbo joto wakihofia tetesi kuwa huenda Marekani ikajitoa kwenye jumuiya ya NATO.
Ulaya imeonyesha udhaifu wa kiwango cha hali ya juu sana kwa kuwa tegemezi ya Marekani.
Bila jeshi la Marekani, nchi zote za EU hazifui dafu mbele ya Urusi [kijeshi].
Msioipenda Marekani, poleni sana maana hii hali na hadhi vitaendelea kuwepo kwa muda mrefu sana.
We jamaa mbona kama unajishusha kwa lazima watu wakupuuze !!!! sasa apo kwenye Tafsiri Ubabe Umetokea Vipi apo Sio Putin ndio Kiongozi wa Dunia !!!!Israel bila Marekani, si kitu huko Mashariki ya Kati.
Taiwan bila Marekani, si kitu mbele ya China.
Korea Kusini bila Marekani, si kitu mbele ya Kim Jong Un.
Na Ukraine bila msaada wa Marekani, si kitu mbele ya Urusi ya Putin.
Jana Rais Trump kachomoa misaada ya kijeshi ya Marekani kwenda Ukraine, leo Volodymyr Zelenskyy kasema sasa yuko tayari kusitisha mapigano na kufikia muafaka wa kumaliza vita na Urusi na kwamba anasikitika kwa kilichotokea Ijumaa ya wiki iliyopita pale ikulu ya Marekani.
Ukweli wa mambo ni kwamba Marekani ndiyo kiongozi wa dunia. Marekani ndo inayoiendesha dunia.
Muungano wa Ulaya, ulio na jumla ya nchi 27, umeshindwa kuipiga tafu Ukraine bila msaada wa Marekani.
Viongozi wa Ulaya sasa hivi wana matumbo joto wakihofia tetesi kuwa huenda Marekani ikajitoa kwenye jumuiya ya NATO.
Ulaya imeonyesha udhaifu wa kiwango cha hali ya juu sana kwa kuwa tegemezi ya Marekani.
Bila jeshi la Marekani, nchi zote za EU hazifui dafu mbele ya Urusi [kijeshi].
Msioipenda Marekani, poleni sana maana hii hali na hadhi vitaendelea kuwepo kwa muda mrefu sana.
NAKAZIAGeopolitical expertise ain't for everyone
Mkuu acha ku underate India kwa kiasi hicho isee!😂😂😂 I try to imagine mwanajeshi wa kihindi akiwa battle field anakuwaje maana si uvivu ule, hivi hata wana historia ya kupigana vita yoyote wakashinda?
waarabu naona kama bado wanataka kumtunishia misuli asichukue gaza, nadhan hata wao wataufyata mkiaIsrael bila Marekani, si kitu huko Mashariki ya Kati.
Taiwan bila Marekani, si kitu mbele ya China.
Korea Kusini bila Marekani, si kitu mbele ya Kim Jong Un.
Na Ukraine bila msaada wa Marekani, si kitu mbele ya Urusi ya Putin.
Jana Rais Trump kachomoa misaada ya kijeshi ya Marekani kwenda Ukraine, leo Volodymyr Zelenskyy kasema sasa yuko tayari kusitisha mapigano na kufikia muafaka wa kumaliza vita na Urusi na kwamba anasikitika kwa kilichotokea Ijumaa ya wiki iliyopita pale ikulu ya Marekani.
Ukweli wa mambo ni kwamba Marekani ndiyo kiongozi wa dunia. Marekani ndo inayoiendesha dunia.
Muungano wa Ulaya, ulio na jumla ya nchi 27, umeshindwa kuipiga tafu Ukraine bila msaada wa Marekani.
Viongozi wa Ulaya sasa hivi wana matumbo joto wakihofia tetesi kuwa huenda Marekani ikajitoa kwenye jumuiya ya NATO.
Ulaya imeonyesha udhaifu wa kiwango cha hali ya juu sana kwa kuwa tegemezi ya Marekani.
Bila jeshi la Marekani, nchi zote za EU hazifui dafu mbele ya Urusi [kijeshi].
Msioipenda Marekani, poleni sana maana hii hali na hadhi vitaendelea kuwepo kwa muda mrefu sana.
Kabla ya uwepo wa Marekani hilo jiwe lilikuwa likilindwa na nan????Marekani ndio hulinda hadi Mekka ikiwemo lile jiwe wao huenda kuliabudu, ila wakishiba unaskia "death to America"
Eti 50 kwa 5 🤣🤣🤣 mmefumbwa macho hata yanayotokea gaza hamuyajui, hamas wameuwa wanajeshi wengi tena kwa silaha za kawaida tuILA ISRAEL NI WATU WENGINE NDUGU FIKIRIA WANAJESHI 5 WA ISRAEL WANAPAMBANA NA MAKOMANDO 50 WA HAMAS LAKINI HAWAWAKIMBII CHECK CONGO WANAJESHI 1000 WANAWA KIMBIA M23 HAMSINI AU SYRIA SO HAWO KATIKA MAMBO YA KIJESHI WASHAJITOA KABISA
We jamaa mbona kama unajishusha kwa lazima watu wakupuuze !!!! sasa apo kwenye Tafsiri Ubabe Umetokea Vipi apo Sio Putin ndio Kiongozi wa Dunia !!!!
anaechagua Aman vipi umvike M'babe wa Dunia Tramp !!!! Badala ya PUTIN anaepigana na Mataifa yote ya ULAYA pamoja na Marekani na Ajaomba Aman RUSSIA sio mchezo Mchezo...