Sasa ni dhahiri, super power ni moja tu hapa duniani

Siasa za dunia huziwezi. Pambana na hizi za majitaka za lisu na ccm
 
Cjajua US uchumi wao ukoje kiasi hicho, kiasi kila nchi inapata misaada yake , si ULAYA ,ASIA wala AFRICA...Ni karibu kila nchi inatishiwa kuondolewa misaada....Au America ana network chafu ya kupora resources kila pembe ..si kwa uchumi huo jamani
Umewaza mbali mkuu. Hilo jitu halifai
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…