Na Bado Kuna mengi mabaya yaliyojificha.Sikuwahi kumkubali Bwana Mbowe, yule bwana alikuwa jizi na tapeli la siasa za Tz. Yule ndiye aliyezuia mabadiliko ya kweli nchi hii!!.
Mengi sana, hata mchakato wa lowassa kuja cdm ilikuwq igizo kulikuwa hakuko serious!. Takataka kabisa hilo jamaaNa Bado Kuna mengi mabaya yaliyojificha.
Nakumbuka kipindi wanagombea na Lissu, Lissu aliwahi kusema kuna mambo akiyasema kuna watu wataikimbia nchi.
Ile hela 4r si alikula Mbowe na vibaraka wake ili akiuwe chama kilichobeba matumaini ya watanzania.MUNGU ni mwema wenye roho Mtakatifu wakagundua janja janja ya Mbowe.VIVA CHADEMA.NO REFORMS NO ELECTION.Baada ya mtu wao kupigwa chini Jan 21, nyimbo za 4R hazisikiki tena.
Hayo maridhiano yalikuwa baina ya CHADEMA na CCM? Au baina ya Mbowe na CCM!
Do a little research as to who is big in numbers, then get back to us.Nauliza tu maana nahisi siku No Election Wakili tans na October ✔️ Uchochoroni itakuwa hatari na nusu
Ahsanteni sana 🐼
Wenye akili walishtuka mapema, mkawaita wasaliti. Ooh, mbowe ndiye mpinzani asiyeweza kununuliwa, upuuzi mtupu.Kama siyo uchaguzi wa mwenyekiti wa Chadema Taifa tusingejua sura ya Mbowe, Kumleta Lowasa Chadema ilikuwa ishara tosha kwamba ni mpiga dili
Na awamu zote wakienda Ikulu yeye yupo Lissu hayupoWenye akili walishtuka mapema, mkawaita wasaliti. Ooh, mbowe ndiye mpinzani asiyeweza kununuliwa, upuuzi mtupu.
Ndio maana yupo kimya, yaani akihama ataanikwa kila kitu na alivyowauza covid19Na Bado Kuna mengi mabaya yaliyojificha.
Nakumbuka kipindi wanagombea na Lissu, Lissu aliwahi kusema kuna mambo akiyasema kuna watu wataikimbia nchi.
Sifa kuu ya tapeli ni kutokuwa na aibu. Usishangae siku ukisikia kaihama chadema. Yupo kwa sasa anapiga hesabu zake.Mbowe sasa hivi hata kuhamia chama kingine anaogopa na Lissu alivyokuwa mwenyekiti, maana anajua mabomu yatakayoachiwa yatammaliza kabisa,kama zile kashfa za alizotoa Lissu na yeye ni mwenyekiti na wapo kwenye chama kimoja je akihama kwingine itakwaje
Not only that, alikwenda mbali akasema si kila anachojadiliana na ccm/serikali lazima awaambie wenzake wa chadema.Na awamu zote wakienda Ikulu yeye yupo Lissu hayupo