Sasa ni dhahiri, zile 4R ilikuwa project ya nusu mkate kuidumaza CHADEMA

Sasa ni dhahiri, zile 4R ilikuwa project ya nusu mkate kuidumaza CHADEMA

Sikuwahi kumkubali Bwana Mbowe, yule bwana alikuwa jizi na tapeli la siasa za Tz. Yule ndiye aliyezuia mabadiliko ya kweli nchi hii!!.
 
Sikuwahi kumkubali Bwana Mbowe, yule bwana alikuwa jizi na tapeli la siasa za Tz. Yule ndiye aliyezuia mabadiliko ya kweli nchi hii!!.
Na Bado Kuna mengi mabaya yaliyojificha.

Nakumbuka kipindi wanagombea na Lissu, Lissu aliwahi kusema kuna mambo akiyasema kuna watu wataikimbia nchi.
 
Na Bado Kuna mengi mabaya yaliyojificha.

Nakumbuka kipindi wanagombea na Lissu, Lissu aliwahi kusema kuna mambo akiyasema kuna watu wataikimbia nchi.
Mengi sana, hata mchakato wa lowassa kuja cdm ilikuwq igizo kulikuwa hakuko serious!. Takataka kabisa hilo jamaa
 
Nauliza tu maana nahisi siku No Election Wakili tans na October ✔️ Uchochoroni itakuwa hatari na nusu

Ahsanteni sana 🐼
 
Baada ya mtu wao kupigwa chini Jan 21, nyimbo za 4R hazisikiki tena.

Hayo maridhiano yalikuwa baina ya CHADEMA na CCM? Au baina ya Mbowe na CCM!
Ile hela 4r si alikula Mbowe na vibaraka wake ili akiuwe chama kilichobeba matumaini ya watanzania.MUNGU ni mwema wenye roho Mtakatifu wakagundua janja janja ya Mbowe.VIVA CHADEMA.NO REFORMS NO ELECTION.
 
Kama siyo uchaguzi wa mwenyekiti wa Chadema Taifa tusingejua sura ya Mbowe, Kumleta Lowasa Chadema ilikuwa ishara tosha kwamba ni mpiga dili
 
Nauliza tu maana nahisi siku No Election Wakili tans na October ✔️ Uchochoroni itakuwa hatari na nusu

Ahsanteni sana 🐼
Do a little research as to who is big in numbers, then get back to us.

Huioni hata mikutano inayoendelea nchini inavyovuta watu?
 
Mbowe sasa hivi hata kuhamia chama kingine anaogopa na Lissu alivyokuwa mwenyekiti, maana anajua mabomu yatakayoachiwa yatammaliza kabisa,kama zile kashfa za alizotoa Lissu na yeye ni mwenyekiti na wapo kwenye chama kimoja je akihama kwingine itakwaje
 
Na kwa project ambayo imepoteza dira mapema ni hii CHAUMMA .

Watanzania wa sasa sio wa 1970 ,wanajua kuchambua mambo maana yapo kiganjani tu .

Janja janja za CHAUMMA hata kabla kina njaa 55 hawajahama watu walishajua wanaelekea chama kipi tena mwezi mmoja kabla aliyebaki katika kukamilisha huo mpango na kuwa mgombea urais wao wa mchongo naona anajifikiria kuhamia huku wakiwa wameshakata kitita cha Abdul na Mchengerwa.
 
Na Bado Kuna mengi mabaya yaliyojificha.

Nakumbuka kipindi wanagombea na Lissu, Lissu aliwahi kusema kuna mambo akiyasema kuna watu wataikimbia nchi.
Ndio maana yupo kimya, yaani akihama ataanikwa kila kitu na alivyowauza covid19
 
Mbowe sasa hivi hata kuhamia chama kingine anaogopa na Lissu alivyokuwa mwenyekiti, maana anajua mabomu yatakayoachiwa yatammaliza kabisa,kama zile kashfa za alizotoa Lissu na yeye ni mwenyekiti na wapo kwenye chama kimoja je akihama kwingine itakwaje
Sifa kuu ya tapeli ni kutokuwa na aibu. Usishangae siku ukisikia kaihama chadema. Yupo kwa sasa anapiga hesabu zake.

Usifikiri kina kigaila wameondoka bila yeye kujua, au bila baraka zake.

Kama wangepata vibe walilotegemea huko chaumma, angeshaungana nao.

Mwache aendelee kupima upepo.
 
Na awamu zote wakienda Ikulu yeye yupo Lissu hayupo
Not only that, alikwenda mbali akasema si kila anachojadiliana na ccm/serikali lazima awaambie wenzake wa chadema.

Aliigeuza chadema kama kampuni binafsi.
 
Ndiyo maana serikali inakigugumizi kutoa majibu. Inaogopa kuchaniana mkekaaaa.

Kama wanamuziki wameiga Naigeria wakaambuliza Tanzania tutamwona Mondi alivyoichezea katiba yetu.
 
Staring kauliwa mwanzo wa series tu, imebidi plot yote ya script ibadilike.
 
Back
Top Bottom