Sasa ni Harmonize VS Zuchu

Zuchu kasema "Nawaitu"
Kipaza sauti kinahamia kwa Harmonize sasa, ayakanyage mtoto wa Malkia wa Mipasho ayamalize.
[emoji897][emoji897]
 
Mbona ana Nyimbo nyingi tu nzuri..acha hate
 
Umeelewa au hujaeleeawa. Black matters tuna shida sana.akikosea mzungu kiswahili unasema amejitahid....ila mbongo kwa English utamtoa uvungunii
Kingeresa Cha 'the are' aisee wajitahidi tu kupost kiswahili udhunguu hawamuwezi
 
Kingeresa Cha 'the are' aisee wajitahidi tu kupost kiswahili udhunguu hawamuwezi
Ila honestly kajitahidi sana, pole pole ndio mwendo. Kadiri anavyo_practice naona ndivyo anavyo_improve. Hongera Kwake.
 
Umeelewa au hujaeleeawa. Black matters tuna shida sana.akikosea mzungu kiswahili unasema amejitahid....ila mbongo kwa English utamtoa uvungunii
Mzungu anakosea kiswahili wakati huo anaongea na waswahili. Tatizo hapa ni kuwaongelea waTz Kiingereza wakati Kiswahili ndiyo lugha yao na yako. Shida ni hapo tu. Unless hii tweet yake iwe imewalenga wale wasiojua Kiswahili.
 
Ndo Yale Yale hta angeongea na wazungu as far mbongo unamsikia ungemkosoa tu.. si ndo wajuaj Namba 1
 
Mbona ana Nyimbo nyingi tu nzuri..acha hate
Nyimbo nzuri kwa kipimo chako, kila mtu ana taste yake ya muziki hivyo usinilazimishe kupenda upendacho wewe.
Besides all these point yangu ilikuwa ni ninavyoiona hatima yake kutokana na mtazamo wangu(I might be wrong though) na mbinu ya kujipambanisha na Diamond ili kupata sympathy na support kutoka kwa haters wa Diamond.
 
Kwanini konde kapiga kwenye mshono [emoji1]
 
Wimbo mmoja wa Harmonize ni sawa na Career nzima ya Mbosso.

Kwa Tanzania hii Harmonize anazidiwa na Diamond tu kimziki.
 
Aisee wew Sasa Ni mahari kwa mziki huu nitakuwa nakucheki unipe abcd za mziki wetu wa Sasa

Unataka kuniambia ep ya mboso inakimbiza kuliko ep ya hormonize

Kwanza nifahamu nin tofauti ya ep na album
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…