BABA Dillish
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,362
- 3,252
Leboo ya KUSADIKIKAAA
TAKLE ASHIKWE ZUCHU NA WEWE UNAONA WIVU.
TAKLE ASHIKWE ZUCHU NA WEWE UNAONA WIVU.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona ana Nyimbo nyingi tu nzuri..acha hateKitu pekee kinachomfanya awe relevant mpaka sasa kwenye game ni haters wa Diamond, ameamua kuendelea kutembelea upepo huo kwani ndiyo mbinu iliyomlinda Kiba kwa muda mrefu.
Namuona Inspeka Harun/Juma Nature/Afande Sele/Dudu Baya, yaani huyu dogo Mmakonde ndani ya miaka michache ijayo atakuwa kama hawa kaka zake walivyo sasa.
Kingeresa Cha 'the are' aisee wajitahidi tu kupost kiswahili udhunguu hawamuwezi
Umeelewa au hujaeleeawa. Black matters tuna shida sana.akikosea mzungu kiswahili unasema amejitahid....ila mbongo kwa English utamtoa uvung
Na Zuchu kaenda shule sio kama Mke wake Kajala au yeye mwenyewe.Kwa nini asizungumze kiswahili. Ndio lugha ya baba yake na mama yake. Kuliko kuzungumza mambo yasiyoelewek
Ila honestly kajitahidi sana, pole pole ndio mwendo. Kadiri anavyo_practice naona ndivyo anavyo_improve. Hongera Kwake.Kingeresa Cha 'the are' aisee wajitahidi tu kupost kiswahili udhunguu hawamuwezi
Mzungu anakosea kiswahili wakati huo anaongea na waswahili. Tatizo hapa ni kuwaongelea waTz Kiingereza wakati Kiswahili ndiyo lugha yao na yako. Shida ni hapo tu. Unless hii tweet yake iwe imewalenga wale wasiojua Kiswahili.Umeelewa au hujaeleeawa. Black matters tuna shida sana.akikosea mzungu kiswahili unasema amejitahid....ila mbongo kwa English utamtoa uvungunii
Ndo Yale Yale hta angeongea na wazungu as far mbongo unamsikia ungemkosoa tu.. si ndo wajuaj Namba 1Mzungu anakosea kiswahili wakati huo anaongea na waswahili. Tatizo hapa ni kuwaongelea waTz Kiingereza wakati Kiswahili ndiyo lugha yao na yako. Shida ni hapo tu. Unless hii tweet yake iwe imewalenga wale wasiojua Kiswahili.
Nyimbo nzuri kwa kipimo chako, kila mtu ana taste yake ya muziki hivyo usinilazimishe kupenda upendacho wewe.Mbona ana Nyimbo nyingi tu nzuri..acha hate
Jamaa kamponda Diamond kushika tako la Zuchu , naona mwanamama kaamua kujibu mapigo
Wimbo mmoja wa Harmonize ni sawa na Career nzima ya Mbosso.Kila siku nawaambia Harmonize hawezi kuwa relevant bila kutembelea jina la Diamond Platnumz aka Simba. Bado anajenga jina lake kwa kutumia jina la Diamond na ndio kinaenda kummaliza, kashindwa kutengeneza system yake.
Imagine ameshindwa ku-take responsibilities kwa lebo yake kufa kifo cha aibu, anataka kuamisha lawama kwa Diamond kuwa ni moja ya tatizo. Mwisho wa siku atie huruma azoe wale mashabiki maandazi.
Kimuziki na kifedha kwa sasa harmonize hamfikii Zuchu, ofcoz alipata bahati ya kuwa na jina kubwa kuzidi vijana wote waliotengenezwa na Diamond na kuwapa ustaa na pesa nyingi ila jahazi ndio linazidi kuzama day after day.
Tuliposema atanyooshwa na Mbosso Khan kwenye EP Vs Album kuna mtu aliamini? Nafikiri mnaona sasa kinachoendelea mtaani.
Maji na mafuta hayakai pamoja hata tulazimishe namna gani.
Aisee wew Sasa Ni mahari kwa mziki huu nitakuwa nakucheki unipe abcd za mziki wetu wa SasaKila siku nawaambia Harmonize hawezi kuwa relevant bila kutembelea jina la Diamond Platnumz aka Simba. Bado anajenga jina lake kwa kutumia jina la Diamond na ndio kinaenda kummaliza, kashindwa kutengeneza system yake.
Imagine ameshindwa ku-take responsibilities kwa lebo yake kufa kifo cha aibu, anataka kuamisha lawama kwa Diamond kuwa ni moja ya tatizo. Mwisho wa siku atie huruma azoe wale mashabiki maandazi.
Kimuziki na kifedha kwa sasa harmonize hamfikii Zuchu, ofcoz alipata bahati ya kuwa na jina kubwa kuzidi vijana wote waliotengenezwa na Diamond na kuwapa ustaa na pesa nyingi ila jahazi ndio linazidi kuzama day after day.
Tuliposema atanyooshwa na Mbosso Khan kwenye EP Vs Album kuna mtu aliamini? Nafikiri mnaona sasa kinachoendelea mtaani.
Maji na mafuta hayakai pamoja hata tulazimishe namna gani.
Naskia kasoma indiaNa Zuchu kaenda shule sio kama Mke wake Kajala au yeye mwenyewe.
Zuchu akiamua kumjibu kwa luga ya malkin ni dk 0.0 tu Dunia inatafsiri vizurii
Wimbo mmoja wa Harmonize ni sawa na Career nzima ya Mbosso.
Kwa Tanzania hii Harmonize anazidiwa na Diamond tu kimziki.
Namba tatu ni Zuchu.Wimbo upi huo? Au kwangwaru unaojulikana duniani kuwa ni wa Diamond!![emoji23]
Rayvanny ndio msanii namba mbili baada ya Diamond.