Nadhani Afrika yahitaji viongozi imara ambao wanaweza kujenga taasisi Imara.
John Maxwell anasema every rises and falls on leadership.
Donald Trump ameikuta US iko very stable, kwa udhaifu wa uongozi, US imeanguka na kuna lots of garbage chini ya Trump.
Miaka 60 ya Uhuru wa bendera pasi uhuru wa kiuchumi unaliumiza sana bara la Afrika.
Ukisoma the Confession of an Economic Hit Man utaona ni kwa namna gani ili tutoke lazima kabadili mfumo wa elimu.
World bank education docrine/model haina msaada wowote kwetu.
Lazima tusimame na ku-define tunataka nini na tunafikaje kama Afrika. Changamoto ipo pale ambapo tuna viongozi vibaraka wa magharibi.
Afrika ni kubwa kwa size ya ardhi na maji rasilimali zaidi ya China, USA na Europe kwa pamoja.
Ni lini Afrika ita-set terms za ku-trade na Ulaya, Marekani au China; tukianza kufikiria kwenye hiyo angle tutakuwa kwenye track ya ku-take off.
Ila kama tuna viongozi wa kupeleka mabakuli Ulaya au tutaendelea kuuza pamba ghafi na kununua chupi, leso vya pamba yetu wenyewe; tujue kuna pahala hatujaamua kutumia vema akili zetu.