Infantry Soldier
JF-Expert Member
- Feb 18, 2012
- 15,892
- 16,476
- Thread starter
-
- #81
Obama alipokuwa Ghana aliwahi kusema kwamba "Afrika inahitaji taasisi imara na sio viongozi imara" sasa sijui alikuwa sahihi kwa kiwango gani.Nchi au jamii yoyote yoyote inayotegemea matumaini yake juu mtu moja ili iweze kupata kuendelea kamwe haitoweza kufika mbali.
MhhhCHADEMA are stupid
Sawa bosshapa ni mwendo wamitano mitano tuuu
ova
mhhhToka CHADEMA njoo CCM kijana
Nadhani Afrika yahitaji viongozi imara ambao wanaweza kujenga taasisi Imara.Obama alipokuwa Ghana aliwahi kusema kwamba "Afrika inahitaji taasisi imara na sio viongozi imara" sasa sijui alikuwa sahihi kwa kiwango gani.
Sawa mkuu...Nadhani Afrika yahitaji viongozi imara ambao wanaweza kujenga taasisi Imara.
John Maxwell anasema every rises and falls on leadership.
Naomba kuweka sawaSawa mkuu...
Maneno mazito sana haya mkuu...Donald Trump ameikuta US iko very stable, kwa udhaifu wa uongozi, US imeanguka na kuna lots of garbage chini ya Trump.
Miaka 60 ya Uhuru wa bendera pasi uhuru wa kiuchumi unaliumiza sana bara la Afrika.
Ukisoma the Confession of an Economic Hit Man utaona ni kwa namna gani ili tutoke lazima kabadili mfumo wa elimu.
World bank education docrine/model haina msaada wowote kwetu.
Jamaa anajitahidi katika kufafanuaManeno mazito sana haya mkuu...
Unamtaka kimapenzi? Utampa tunda kimasihara?Jamaa anajitahidi katika kufafanua
Kabisa mkuu.Future ya africa alikua nayo Gaddafi na mawazo yake yalikua makini ila wakamuita dicteta wakamuua. Sikuzote ukitaka kuwakomboa watu ki fikra lazma wajuba wa mambele wakuite dicteta.
Hakuna makaburi ya waoga ila kuna makaburi ya mashujaa .
Huyo ni mama's boy mkuuWewe pia ni shujaa?
Hahahaaaa atakutukana huyo mkuu heheeeHuyo ni mama's boy mkuu
Kwanini watu wanatukanana humu JF? Wanasumbuliwa na utoto au ujinga?Hahahaaaa atakutukana huyo mkuu heheee
Umejitahidi sana kufafanua vema mkuu. AsanteeeNadhani Afrika yahitaji viongozi imara ambao wanaweza kujenga taasisi Imara.
John Maxwell anasema every rises and falls on leadership.
Donald Trump ameikuta US iko very stable, kwa udhaifu wa uongozi, US imeanguka na kuna lots of garbage chini ya Trump.
Miaka 60 ya Uhuru wa bendera pasi uhuru wa kiuchumi unaliumiza sana bara la Afrika.
Ukisoma the Confession of an Economic Hit Man utaona ni kwa namna gani ili tutoke lazima kabadili mfumo wa elimu.
World bank education docrine/model haina msaada wowote kwetu.
Lazima tusimame na ku-define tunataka nini na tunafikaje kama Afrika. Changamoto ipo pale ambapo tuna viongozi vibaraka wa magharibi.
Afrika ni kubwa kwa size ya ardhi na maji rasilimali zaidi ya China, USA na Europe kwa pamoja.
Ni lini Afrika ita-set terms za ku-trade na Ulaya, Marekani au China; tukianza kufikiria kwenye hiyo angle tutakuwa kwenye track ya ku-take off.
Ila kama tuna viongozi wa kupeleka mabakuli Ulaya au tutaendelea kuuza pamba ghafi na kununua chupi, leso vya pamba yetu wenyewe; tujue kuna pahala hatujaamua kutumia vema akili zetu.
He seems to be a good historianUmejitahidi sana kufafanua vema mkuu. Asanteee
Kwa sababu anapenda sana kusoma vitabuHe seems to be a good historian
Inasikitisha sana...Tunaona uhuru wa bendera