Sasa ni miaka 60 baada ya Uhuru wa Bara letu. What kind of future do African politicians hold for their fellow countrymen in the next 60 years (2080)?

African union ndio njia pekee yakutatua changamoto za Waafrika.
Bila Nchi za Afrika kuungana hatuwezi kujenga future ya Bala letu kwa kizazi kijicho.
Na Africa union bila viongozi wenye maona na wenyenia njema na bala letu nikazi bule.
Kwamaana ndani ya miaka 60 tumeaminishwa kwenye uhuru wa bendera huku mabepari wakiwatumia Waafrika wenzetu kututawala kwenye kila nyanja.
 
SAWA KABISA
 
1- how Europe underdeveloped Africa
now must read
2- how African underdeveloped Africa
 
Wengi wa hawa ndipo walioiharibu Afrika zaidi ya Mkoroni.

Baadhi yao walipigania na kuiongoza Afrika yote kwa nia ya kukomboa waafrika wote, na wengine waliikomboa Afrika ili familia zao zichukue nafasi za wakololni na zinufaike. Grupu hilo la pili lipo sana Tanzania leo hii

 
60 years and Tanzanians are still very poor!!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…