Sasa ni miaka 60 baada ya Uhuru wa Bara letu. What kind of future do African politicians hold for their fellow countrymen in the next 60 years (2080)?

Sasa ni miaka 60 baada ya Uhuru wa Bara letu. What kind of future do African politicians hold for their fellow countrymen in the next 60 years (2080)?

Kama Mzee wa Chadema anamkubali Rais Magufuli wewe kijana unabwabwaja ili iweje?
 
Rais Magufuli anafanya kazi kubwa sana huyu baba. Anahitaji sana pongezi.
 
Mbona Rais Magufuli anatoa elimu bure ? Waambieni CHADEMA kazi yao ni kununua sare tu ada wanalipiwa na Magufuli.
 
Shauri yao CHADEMA, sisi Watanzania wote October tupo na Rais Magufuli tu, wala hatutegemei Wazungu watupigie kura.
 
Magufuli anajenga stiglers gorge ambayo ilimshinda mkoloni.
 
Tumpongeze Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere kwa kuzalisha wasomi wazalendo kama Rais Magufuli.
 
Kwa jinsi Rais Magufuli alivyopambana na corona atashinda kwa 100%.
 
Chadema walilamikia ufisadi ila Magufuli ameondoa ufisadi na matokeo yake majizi na mafisadi yamekimbilia kujificha Chadema.
The power of dictatorships/ccm comes from the willing obedience of the PEOPLE they govern and if the PEOPLE can develop techniques of withholding their consent, a repressive regime will soon crumble. Happy Sabbath
 
CHADEMA wamebaki na nguvu Twitter, CHADEMA wamekuwa kama Kiba wanaomchukia Diamond.
 
Sisi Watanzania tunaenda na Rais Magufuli vyama vingine vimeamua kwenda na konyagi Shauri zao.
 
Mabeberu yanatuonea wivu Maendeleo yanayoletwa na Rais Magufuli yanaumiza sana hawa wajinga.
 
Asante Rais Magufuli kwa kutupeleka Tanzania katika uchumi wa kati Tukikuongezea miaka kumi tutaipiku USA.
 
Watanzania tumeshayapata mabadiliko kupitia kwa Rais Mzalendo Magufuli Nyie wengine ni wachumia tumbo tu kama Lissu.
 
Maviongozi yetu haya haya yanayokwapua pesa na kuzificha ulaya huku mengine hata kizazi hayana siku yakifa zinachukuliwa na wazungu wanakuja kununua migodi Afrika.
 
Back
Top Bottom