round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 933
- 3,051
Waafrika ndio tunaongoza kwa kuwa na waumini wengi wa kanisa katoliki Duniani, Kuchagua Papa Mzungu si sahihi.
wazungu wengi wameachana na mambo ya dini na hawaendi makanisani, mambo ya dini yamebaki Afrika, kwa mbali kidogo Nchi za kilatini na Ulaya ya maghariki.
Hali ya kidini nchi za kizungu imedhoofika, badala ya kufuata maandiko wanafuata sheria za nchi ndio maana tumeona kuna vitu vya ajabu viliruhusiwa na papa Francis kinyume na maandiko.
Ni muda wa kuteua Papa Mwafrika, Mchina au kama ni mzungu basi awe wa ulaya mashariki nchi kama Urusi.