Malick M. Malick
JF-Expert Member
- Apr 2, 2013
- 658
- 312
Kapombe hayupoHapo toa Kessy weka Banda no 2 alafu weka Kapombe no.3 baaaaasi
Umetawaliwa na undala fcMitazamo ya ki Mikia FC.
Hivi telvisheni gani inaonyesha mechi ya Jiwe stars v Lesotho ?
Ikulu Magogoni tv.
Kwanini Ujenzi Rukwa ilishuka daraja ?1. Aishi Manula
2. Ramadhan Kessy
3. Abdi Banda
4. Erasto Nyoni
5. Kelvin Yondan
6. Jonas Mkude
7. Simon Msuva
8. Mudhathir Yahaya
9. Shaban Chilunda
10. John Boko
11. Shiza Kichuya
Ni huyu huyu ' Babu Mtaalam ' wangu kutoka Pemba ndiyo alikuwa akinihakikishia mechi zote za Simba SC dhidi ya Yanga SC na matokeo yake huwa kama vile ambavyo huniambia na hajawahi Kukosea hata siku moja.
Narudia tena Kikosi kisibadilike hadi Filimbi ya mwisho kwani kimekaa vizuri kwa Nyota ya Kesho na mambo mengine yote ya ' Kitaalam / Kiushirikina ' ambao ndiyo ' Utamaduni ' wetu nchi nyingi za Kiafrika.
Kikicheza hiki hadi mwisho kuna Magoli ama 3 kwa 1 au 2 kwa 0 Taifa Stars yetu itashinda Kesho na hatimaye kujiweka katika mazingira mazuri ya Kufuzu AFCON mwakani baada ya ukame wa miaka 38 ya Kutoshiriki.
Kazi kwenu TFF na wale mliopo na Timu huko Lesotho msiseme GENTAMYCINE sikuwaambieni.
Nawasilisha.
baba muombe huyo mtaalamu amuondoe kessi maanaNimeweka Kikosi cha ' Kimkakati ' cha Ushindi na chenye Nyota ya Ushindi kwa mechi ya Kesho kama ambavyo nimeelekezwa na huyo ' Babu Mtaalam ' hivyo hao wengine unaonitajia Wewe hapa subiri mechi zingine utawapanga ila kwa mechi muhimu ya Kesho dhidi ya Lesotho Timu ikipangwa hivyo tutashinda na Kufuzu kwa mara ya pili huko AFCON baada ya Kukosa Kushiriki kwa miaka takribani 38.
Kapombe Majeruhi MkuuHapo toa Kessy weka Banda no 2 alafu weka Kapombe no.3 baaaaasi
kikos kinachoanza leo TANZANIA vs LESOTHO saa 11 kamili.View attachment 938546
Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
Duh kazi ipokikos kinachoanza leo TANZANIA vs LESOTHO saa 11 kamili.View attachment 938546
Sent from my TECNO H5 using JamiiForums mobile app
Kikosi kizuri huyu wa sijui babu wa pemba akampe taarifa babu yake kuwa hakuna uchawi uwanjani na kocha hapangiwi timuTunatoboaView attachment 938553