Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Namba mmoja hapo mweke kakolanya.
Match inaanza saa ngap?1. Aishi Manula
2. Ramadhan Kessy
3. Abdi Banda
4. Erasto Nyoni
5. Kelvin Yondan
6. Jonas Mkude
7. Simon Msuva
8. Mudhathir Yahaya
9. Shaban Chilunda
10. John Boko
11. Shiza Kichuya
Ni huyu huyu ' Babu Mtaalam ' wangu kutoka Pemba ndiyo alikuwa akinihakikishia mechi zote za Simba SC dhidi ya Yanga SC na matokeo yake huwa kama vile ambavyo huniambia na hajawahi Kukosea hata siku moja.
Narudia tena Kikosi kisibadilike hadi Filimbi ya mwisho kwani kimekaa vizuri kwa Nyota ya Kesho na mambo mengine yote ya ' Kitaalam / Kiushirikina ' ambao ndiyo ' Utamaduni ' wetu nchi nyingi za Kiafrika.
Kikicheza hiki hadi mwisho kuna Magoli ama 3 kwa 1 au 2 kwa 0 Taifa Stars yetu itashinda Kesho na hatimaye kujiweka katika mazingira mazuri ya Kufuzu AFCON mwakani baada ya ukame wa miaka 38 ya Kutoshiriki.
Kazi kwenu TFF na wale mliopo na Timu huko Lesotho msiseme GENTAMYCINE sikuwaambieni.
Nawasilisha.
nashangaa hata okwi na kagere siwaoni kwenye list hiyoWapi papii kabamba tshishimbi hapo?
Kapombe Mgonjwa ana Maralia toka JuziKumbe kapombe majeruhi! Hapo no.2 weka Nyoni alafu 4 weka Agrey Morris. Wasijichanganye kumpanga Kessy na Gadiel Michael.
Kapombe majeruhiHapo toa Kessy weka Banda no 2 alafu weka Kapombe no.3 baaaaasi
Nyoni 2 tatu GardielKumbe kapombe majeruhi! Hapo no.2 weka Nyoni alafu 4 weka Agrey Morris. Wasijichanganye kumpanga Kessy na Gadiel Michael.
Nimeweka Kikosi cha ' Kimkakati ' cha Ushindi na chenye Nyota ya Ushindi kwa mechi ya Kesho kama ambavyo nimeelekezwa na huyo ' Babu Mtaalam ' hivyo hao wengine unaonitajia Wewe hapa subiri mechi zingine utawapanga ila kwa mechi muhimu ya Kesho dhidi ya Lesotho Timu ikipangwa hivyo tutashinda na Kufuzu kwa mara ya pili huko AFCON baada ya Kukosa Kushiriki kwa miaka takribani 38.
Jamaa jeuri sana wewe😂😂😂😂Kisha nimuweke ' Shangazi ' yako au?
Hivi telvisheni gani inaonyesha mechi ya Jiwe stars v Lesotho ?Jamaa jeuri sana wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ZBC 2,Hivi telvisheni gani inaonyesha mechi ya Jiwe stars v Lesotho ?
ZBC 2,
Ninyi ndio wachawi wenyeweLeo tunafungwa goli moja bila. 1-0. Hakuna jipya.