Kwani mgao Bado upo? Si Samia ameshUmaliza tayari. Au mmeshakisa Cha kubadili tena. Samia atawaumiza sana nyie vimbwenerehiWamekufa viongozi wengi wa nchi hii, lakini wakati wote Magufuli anaonekana kuongelewa kila mara na kila sehemu.
Wengine wanasema angekuwepo tungekuwa nchi ya ahadi kwa sasa, wengine wanasema bwana ya nyerere lingekuwa limeshaisha na hivyo mgao wa umeme tungekuwa tunausikia tu.
Treni Dar Dodoma ingekuwa tayari. Upigaji wa hera za umma ungekuwa mdogo sana.
Hadi 2030 tutasikia mengi.
Jana watu walilia, mkuu wa majeshi mtaafu alilia.
Nyerere anachagizwa na mijadala ya kitaifa. Kigoda cha nyerere, masomo shuleni, Nyerere day..n.kKiongozi aliyegoma Kufa kwa miaka 20 ni Nyerere Peke yake
Acha kumlinganisha Nyerere na vitu vya kipumbavu.Nyerere anachagizwa na mijadala ya kitaifa. Kigoda cha nyerere, masomo shuleni, Nyerere day..n.k
Ngoma JPM - Hakuna cha serikali wala cha nini..ni siku zote tu, haiishi siku hujaona uzi wa JPM.
Samia hana ujanja. Inabidi tu amalizie miradi ya Jiwe ndio aanze kuwaza mengine.Kwani mgao Bado upo? Si Samia ameshUmaliza tayari. Au mmeshakisa Cha kubadili tena. Samia atawaumiza sana nyie vimbwenerehi
Si mlisema Hana ubavu wa kuimaliza lakini. Mmeamua kupiga u- turn baada ya kuona Samia ni raisi Bora kumzidi rais yeyote aliyewahi kuongoza nchi hiiSamia hana ujanja. Inabidi tu amalizie miradi ya Jiwe ndio aanze kuwaza mengine.
Nyerere anakuhusu nini wewe Mnyarwanda?Acha kumlinganisha Nyerere na vitu vya kipumbavu.
Ndiyo maana Chadema ni mazwazwa mnapinga hadi ujenzi wa bwawa la umeme ambao ni kwa ajili yenu wenyewe.Acha kumlinganisha Nyerere na vitu vya kipumbavu.
Kufa ni kufa tu, kufa maana yake huwezi kuzungumza wala kutenda tena...hata akina Idd Amin wanazungumzwa lakini haimaanishi kuwa hawajafaWamekufa viongozi wengi wa nchi hii, lakini wakati wote Magufuli anaonekana kuongelewa kila mara na kila sehemu.
Wengine wanasema angekuwepo tungekuwa nchi ya ahadi kwa sasa, wengine wanasema bwana ya nyerere lingekuwa limeshaisha na hivyo mgao wa umeme tungekuwa tunausikia tu.
Treni Dar Dodoma ingekuwa tayari. Upigaji wa hera za umma ungekuwa mdogo sana.
Hadi 2030 tutasikia mengi.
Jana watu walilia, mkuu wa majeshi mtaafu alilia.
Kumbuka huyu ana siku maalum. Lakini mwamba JPM pamoja na siku ya kifo chake kuingizwa mambo mengine ila bado anaishi mioyoni mwa watu. Ipo siku ukweli wa kifo chake utawekwa wazi! Tukazane tu na maombiKiongozi aliyegoma Kufa kwa miaka 20 ni Nyerere Peke yake
Wapumbavu na wajinga ndio wanakumbuka dikteta katili muuajiWamekufa viongozi wengi wa nchi hii, lakini wakati wote Magufuli anaonekana kuongelewa kila mara na kila sehemu.
Wengine wanasema angekuwepo tungekuwa nchi ya ahadi kwa sasa, wengine wanasema bwana ya nyerere lingekuwa limeshaisha na hivyo mgao wa umeme tungekuwa tunausikia tu.
Treni Dar Dodoma ingekuwa tayari. Upigaji wa hera za umma ungekuwa mdogo sana.
Hadi 2030 tutasikia mengi.
Jana watu walilia, mkuu wa majeshi mtaafu alilia.
Hata Adolph Hitler amegoma kufa tangu mwaka 1945.Wamekufa viongozi wengi wa nchi hii, lakini wakati wote Magufuli anaonekana kuongelewa kila mara na kila sehemu.