WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Anaongelewa sana kwa sababu alijifanya Mungu lakini matokeo yake korona ikamfagia pamoja na kuiba uchaguzi.Wamekufa viongozi wengi wa nchi hii, lakini wakati wote Magufuli anaonekana kuongelewa kila mara na kila sehemu.
Wengine wanasema angekuwepo tungekuwa nchi ya ahadi kwa sasa, wengine wanasema bwana ya nyerere lingekuwa limeshaisha na hivyo mgao wa umeme tungekuwa tunausikia tu.
Treni Dar Dodoma ingekuwa tayari. Upigaji wa hera za umma ungekuwa mdogo sana.
Hadi 2030 tutasikia mengi.
Jana watu walilia, mkuu wa majeshi mtaafu alilia.