Sasa ni rasmi Mechi ya Simba na Plateau haitoonyeshwa Runingani kwa Figisu za Wenyeji hivyo nawaomba Simba niwe Mkuu wa Kamati ya Kulipiza Kisasi

Aisee, Hawa Plateau wananishangaza sana. wanafanya figisu huku wakijua wiki ijayo watakuja kwa Mkapa.

Wangewauliza AS Vita baada ya kuwasha kiyoyozi 'changing room' waliishia kuvaa mask na kichapo kiliwahusu.
Na yule Babu yake GENTAMICIN wa kule Pemba amehaidi kufanya jambo.
 
As Vita walianza kuvaa barakoa kabla ya Corona kuingia lakini wakachezea kichapo
 
Tawire baba!
 
Braza kuna siku ulipga mkwara mmoja nahisi kwa jinsia ke!
Ule mkwara nilichukua robo tu nkaupiga home aisee wamenyooka..

Ubarikiwe
 
Nimefurahi Chura wa Jangwani kuijua Simba SC, inaonekana wewe Damu yako ni Simba ila Ngozi tu ndio Chura
 
Happy shida ni Barbra huyo dada hana ushawishi wowote, jukumu lake ni lipi? Rejea champions league msimu wa mwaka juzi, nkana, js saura, al ahly, tp mazembe hizi game zote zilionyeshwa kumbuka js saura na al ahly ni team za urabuni kwenye fitna ila game zao zilionyeshwa bongo kwann wawe hao Nigeria tena black wenzetu, hapo ndo unaona shida ni hyo pisi barba..

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Kweli inawezekana
 
Mashindano haya yako chini ya Sponsor Total kampuni kubwa ya Mafuta ulimwenguni na yanasimamiwa na CAF
Official name Total caf Club Championship
CAF imetoa Leseni kwa baadhi ya Vyombo vya habari kurusha mashindano haya kupitia Channel baadhi tu Tena kwa Mkataba Kama ifuatavyo ktk maeneo mbali mbali Dunuani
ASEAN BeIN Sports
France Eurosport 1
Europe Sportfive
France beIN Sports
Latin America ESPN
Ghana GTV
Morocco Arryadia
Arab MENAbeIN Sports
Africa SuperSport
U.S.A beIN Sports
Central and West Africa Canal+

Usahihi

Mechi itaoneshwa Live kupitia Channel hizo zilizoainishwa hapo juu... Hasa Canal + Wenye Visimbusi vyenye Channel hizo wata Access mubashara
- Pia live Youtube inawezekana.
 
2003 simba waliifunga Enyimba 2kwa 1 bro shida umejaribu kuficha ficha ili iwe simba alifungwa mechi zote kocha alikuwa Phiri bosi
 
Basi acha kuleta Uongo uongo. Waulize Enyimba wenyewe watakwambia, Simba aliwapiga 2 wakafuta mechi dkk ya 75 kisa maji uwanjani. Waulize akina Emmanuel Gabriel na Pawasa watakueleza ule mtafaruku
Mnachobishania nini Wakuu?
 
Kwa aina yako hii ya Roho Mbaya ( Umafia ) tukuka kabisa nakuomba nikuteue uwe Makamu wangu kwani utanifaa mno katika Kuwalipizia Visasi.
 
Sijui ni kwanini huyo Jamaa anakubishia wakati uko sahihi 100% na Goli alifunga Emanuel Gabriel na hiyo Siku Mh. Nkamia alichinja Paka Watatu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…