Sasa ni rasmi Mechi ya Simba na Plateau haitoonyeshwa Runingani kwa Figisu za Wenyeji hivyo nawaomba Simba niwe Mkuu wa Kamati ya Kulipiza Kisasi

Aisee, Hawa Plateau wananishangaza sana. wanafanya figisu huku wakijua wiki ijayo watakuja kwa Mkapa.

Wangewauliza AS Vita baada ya kuwasha kiyoyozi 'changing room' waliishia kuvaa mask na kichapo kiliwahusu.
Na yule Babu yake GENTAMICIN wa kule Pemba amehaidi kufanya jambo.
 
As Vita walianza kuvaa barakoa kabla ya Corona kuingia lakini wakachezea kichapo
 
Wape salaaaaaam.
IMG_20201122_131109_345.jpg
 
CEO wa Simba SC Barbara ( Babra ) Gonzalez katika Kurasa zake za Mitandao amesema kuwa wamejitahidi vya kutosha tena kwa Kuhangaika huku na kule ile Mechi ya Simba SC na Plateau United unaochezwa leo Jumapili tarehe 29 Desemba 2020 uonyeshwe Mubashara na Azam TV lakini imeshindikana kwa Umafia na Figisu zinazofanywa na Wenyeji hao. Pia amewaomba Radhi wana Simba pamoja na Wanamichezo wote.

Sasa Mimi kama GENTAMYCINE wala sina Shaka na hili kwani kwa Mipira yetu ya Afrika nililitegemea lakini nina Ombi tu Kwenu Viongozi wa Simba SC na hata wana Simba wote popote pale mlipo kwakuwa Mechi yetu na marudiano nao ni Wiki ( Weekend ) ijayo naomba niteuliwe Mkuu wa Kamati ya UMAFIA,UKATILI NA ROHO MBAYA Maalum kwa Kuwanyoosha na Kuwalipizia Kisasi hawa Wanaijeria ( Plateau United ) na nina uhakika wa 100% kwa nilichopanga Kuwafanyia wakienda Kwao watatukumbuka Milele.

Kama Mimi na Team yangu tuliweza Kumfanyia Umafia ( Unyangindo ) Mpuuzi Mmoja aliyekuwa ameshajiaminisha kuwa Dar es Salaam na Tanzania yote hii ni yake hadi kujiita Makamu wa Rais Kivuli na Kukosa Kura huko Baharini Dar es Salaam pamoja na kwamba alihonga sana, alitishia Watu na ana Network Kubwa hadi System ndiyo nitawashindwa hawa Matapeli FC Plateau United?

Na ole wake nione Mtu wa kutoka Serikali ( Wizarani ) au ndani ya Simba SC anasema tusiwalipizie Kisasi nitakufa na Wewe. Nimekereka nao sana.
Tawire baba!
 
Braza kuna siku ulipga mkwara mmoja nahisi kwa jinsia ke!
Ule mkwara nilichukua robo tu nkaupiga home aisee wamenyooka..

Ubarikiwe
 
Inaonekana hujui unacho andika au umesimuliwa, Mechi iliyo lala kwasababu ya mvua ilikua Simba na Ismailia fixture ya pili, Fixture ya kwanza Simba walifungwa 2-0 kule Egypt. Mechi ya Taifa shamba la bibi ilivunjika baada ya mvua kunyesha mbaka mpira kuna baadhi ya maeneo uwanjani ilikua Uki elea juu ya Maji au kunasa. Mpango wa Ismail adeni Lage kuleta magodoro yatandikwe uwanjani kunyonya Maji ili mechi iendelee uli kwama, Mbaka mpira unasimamishwa Simba walikua wakiongoza 2-0. Mechi ikavunjwa ikaja kurudiwa siku ya pili na Simba ilishinda 1-0 na kufungasha virago.
Nimefurahi Chura wa Jangwani kuijua Simba SC, inaonekana wewe Damu yako ni Simba ila Ngozi tu ndio Chura
 
Happy shida ni Barbra huyo dada hana ushawishi wowote, jukumu lake ni lipi? Rejea champions league msimu wa mwaka juzi, nkana, js saura, al ahly, tp mazembe hizi game zote zilionyeshwa kumbuka js saura na al ahly ni team za urabuni kwenye fitna ila game zao zilionyeshwa bongo kwann wawe hao Nigeria tena black wenzetu, hapo ndo unaona shida ni hyo pisi barba..

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Kweli inawezekana
 
Mashindano haya yako chini ya Sponsor Total kampuni kubwa ya Mafuta ulimwenguni na yanasimamiwa na CAF
Official name Total caf Club Championship
CAF imetoa Leseni kwa baadhi ya Vyombo vya habari kurusha mashindano haya kupitia Channel baadhi tu Tena kwa Mkataba Kama ifuatavyo ktk maeneo mbali mbali Dunuani
ASEAN BeIN Sports
France Eurosport 1
Europe Sportfive
France beIN Sports
Latin America ESPN
Ghana GTV
Morocco Arryadia
Arab MENAbeIN Sports
Africa SuperSport
U.S.A beIN Sports
Central and West Africa Canal+

Usahihi

Mechi itaoneshwa Live kupitia Channel hizo zilizoainishwa hapo juu... Hasa Canal + Wenye Visimbusi vyenye Channel hizo wata Access mubashara
- Pia live Youtube inawezekana.
 
Inaonekana hujui unacho andika au umesimuliwa, Mechi iliyo lala kwasababu ya mvua ilikua Simba na Ismailia fixture ya pili, Fixture ya kwanza Simba walifungwa 2-0 kule Egypt. Mechi ya Taifa shamba la bibi ilivunjika baada ya mvua kunyesha mbaka mpira kuna baadhi ya maeneo uwanjani ilikua Uki elea juu ya Maji au kunasa. Mpango wa Ismail adeni Lage kuleta magodoro yatandikwe uwanjani kunyonya Maji ili mechi iendelee uli kwama, Mbaka mpira unasimamishwa Simba walikua wakiongoza 2-0. Mechi ikavunjwa ikaja kurudiwa siku ya pili na Simba ilishinda 1-0 na kufungasha virago.
2003 simba waliifunga Enyimba 2kwa 1 bro shida umejaribu kuficha ficha ili iwe simba alifungwa mechi zote kocha alikuwa Phiri bosi
 
Basi acha kuleta Uongo uongo. Waulize Enyimba wenyewe watakwambia, Simba aliwapiga 2 wakafuta mechi dkk ya 75 kisa maji uwanjani. Waulize akina Emmanuel Gabriel na Pawasa watakueleza ule mtafaruku
Mnachobishania nini Wakuu?
 
Mkuu kumbe ulishiriki zoezi la kumzamisha kijana wetu..

Basi hili la platyuu tumekukabidhi rasmi..

Tuwapeleke camp huko sanga sanga ngerengere..

Wakianza kuja taifa wapitie rufiji dam,kibiti, wapumzike mkuranga,tuwapishe hadi bunju kisha waje urafiki pale wafanye zoezi..
Kwa aina yako hii ya Roho Mbaya ( Umafia ) tukuka kabisa nakuomba nikuteue uwe Makamu wangu kwani utanifaa mno katika Kuwalipizia Visasi.
 
Inaonekana hujui unacho andika au umesimuliwa, Mechi iliyo lala kwasababu ya mvua ilikua Simba na Ismailia fixture ya pili, Fixture ya kwanza Simba walifungwa 2-0 kule Egypt. Mechi ya Taifa shamba la bibi ilivunjika baada ya mvua kunyesha mbaka mpira kuna baadhi ya maeneo uwanjani ilikua Uki elea juu ya Maji au kunasa. Mpango wa Ismail adeni Lage kuleta magodoro yatandikwe uwanjani kunyonya Maji ili mechi iendelee uli kwama, Mbaka mpira unasimamishwa Simba walikua wakiongoza 2-0. Mechi ikavunjwa ikaja kurudiwa siku ya pili na Simba ilishinda 1-0 na kufungasha virago.
Sijui ni kwanini huyo Jamaa anakubishia wakati uko sahihi 100% na Goli alifunga Emanuel Gabriel na hiyo Siku Mh. Nkamia alichinja Paka Watatu.
 
Back
Top Bottom