GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Kwa ufupi unapenda giza kuliko nuru.Kwangu Mimi Mpinzani ni Boby Wine ( Robert Kyagulanyi ) na wengine wa nchi zinazojitambua ila siyo kwa walioko Tanzania.
Mimi Mpinzani ninayemuheshimu na Kumpenda ni yule tu ambaye 24/7 anamsema Kiongozi aliyeko Madarakani, anayekamatwa, anayepigwa, anayeteswa, asiyetishika Kuuwawa, asiyependa Ushirika na Chama Tawala au Rais wa nchi na ambaye kila Siku Yeye anakosoa halafu kamwe hakubali Kukaa Meza moja na Kiongozi / Rais wa nchi husika.
Kifupi napenda Mpinzani aliye Defiant.
Sasa twende umoja ndugu GentamicinKwangu Mimi Mpinzani ni Boby Wine ( Robert Kyagulanyi ) na wengine wa nchi zinazojitambua ila siyo kwa walioko Tanzania.
Mimi Mpinzani ninayemuheshimu na Kumpenda ni yule tu ambaye 24/7 anamsema Kiongozi aliyeko Madarakani, anayekamatwa, anayepigwa, anayeteswa, asiyetishika Kuuwawa, asiyependa Ushirika na Chama Tawala au Rais wa nchi na ambaye kila Siku Yeye anakosoa halafu kamwe hakubali Kukaa Meza moja na Kiongozi / Rais wa nchi husika.
Kifupi napenda Mpinzani aliye Defiant.
Huyo wa hivyo ni mwanaharakati siyo mpinzani. TofautishaKwangu Mimi Mpinzani ni Boby Wine ( Robert Kyagulanyi ) na wengine wa nchi zinazojitambua ila siyo kwa walioko Tanzania.
Mimi Mpinzani ninayemuheshimu na Kumpenda ni yule tu ambaye 24/7 anamsema Kiongozi aliyeko Madarakani, anayekamatwa, anayepigwa, anayeteswa, asiyetishika Kuuwawa, asiyependa Ushirika na Chama Tawala au Rais wa nchi na ambaye kila Siku Yeye anakosoa halafu kamwe hakubali Kukaa Meza moja na Kiongozi / Rais wa nchi husika.
Kifupi napenda Mpinzani aliye Defiant.
Mbowe na aila zake kanunuliwa bei chee kabisa, sasa akiitwa Ikulu anafuta mavumbi suti zake anatinga, watanzania wanahitaji upinzani thabiti sio hawa leo hivi kesho vile, mbowe sasa hawezi inua mdomo tena kudai katiba mpya kwa mapana na marefu, kwisha kabisaKwangu Mimi Mpinzani ni Boby Wine ( Robert Kyagulanyi ) na wengine wa nchi zinazojitambua ila siyo kwa walioko Tanzania.
Mimi Mpinzani ninayemuheshimu na Kumpenda ni yule tu ambaye 24/7 anamsema Kiongozi aliyeko Madarakani, anayekamatwa, anayepigwa, anayeteswa, asiyetishika Kuuwawa, asiyependa Ushirika na Chama Tawala au Rais wa nchi na ambaye kila Siku Yeye anakosoa halafu kamwe hakubali Kukaa Meza moja na Kiongozi / Rais wa nchi husika.
Kifupi napenda Mpinzani aliye Defiant.
Rais Samia anawanyosha sukuma gangKwangu Mimi Mpinzani ni Boby Wine ( Robert Kyagulanyi ) na wengine wa nchi zinazojitambua ila siyo kwa walioko Tanzania.
Mimi Mpinzani ninayemuheshimu na Kumpenda ni yule tu ambaye 24/7 anamsema Kiongozi aliyeko Madarakani, anayekamatwa, anayepigwa, anayeteswa, asiyetishika Kuuwawa, asiyependa Ushirika na Chama Tawala au Rais wa nchi na ambaye kila Siku Yeye anakosoa halafu kamwe hakubali Kukaa Meza moja na Kiongozi / Rais wa nchi husika.
Kifupi napenda Mpinzani aliye Defiant.
Unateseka sana kwa tukio la Jana.Kwangu Mimi Mpinzani ni Boby Wine ( Robert Kyagulanyi ) na wengine wa nchi zinazojitambua ila siyo kwa walioko Tanzania.
Mimi Mpinzani ninayemuheshimu na Kumpenda ni yule tu ambaye 24/7 anamsema Kiongozi aliyeko Madarakani, anayekamatwa, anayepigwa, anayeteswa, asiyetishika Kuuwawa, asiyependa Ushirika na Chama Tawala au Rais wa nchi na ambaye kila Siku Yeye anakosoa halafu kamwe hakubali Kukaa Meza moja na Kiongozi / Rais wa nchi husika.
Kifupi napenda Mpinzani aliye Defiant.
Kwani alipofungwa ulikuwa naye? Wacha auzeMbowe kauza chama
Nakubaliana nawe tena kwa 100% zote.Mbowe kauza chama
Kwanini usifanye ww? utahudumia familia yake?Kwangu Mimi Mpinzani ni Boby Wine ( Robert Kyagulanyi ) na wengine wa nchi zinazojitambua ila siyo kwa walioko Tanzania.
Mimi Mpinzani ninayemuheshimu na Kumpenda ni yule tu ambaye 24/7 anamsema Kiongozi aliyeko Madarakani, anayekamatwa, anayepigwa, anayeteswa, asiyetishika Kuuwawa, asiyependa Ushirika na Chama Tawala au Rais wa nchi na ambaye kila Siku Yeye anakosoa halafu kamwe hakubali Kukaa Meza moja na Kiongozi / Rais wa nchi husika.
Kifupi napenda Mpinzani aliye Defiant.
Wamekata pumzi.Kwangu Mimi Mpinzani ni Boby Wine ( Robert Kyagulanyi ) na wengine wa nchi zinazojitambua ila siyo kwa walioko Tanzania.
Mimi Mpinzani ninayemuheshimu na Kumpenda ni yule tu ambaye 24/7 anamsema Kiongozi aliyeko Madarakani, anayekamatwa, anayepigwa, anayeteswa, asiyetishika Kuuwawa, asiyependa Ushirika na Chama Tawala au Rais wa nchi na ambaye kila Siku Yeye anakosoa halafu kamwe hakubali Kukaa Meza moja na Kiongozi / Rais wa nchi husika.
Kifupi napenda Mpinzani aliye Defiant.
Kaikamate wewe si unaiona?Wapinzani wa Tanzania wanaweza majimbo tu na ruzuku, ndoto za kukamata dola hawana na wao wanajua kabisa hawana.