Sasa ni rasmi nathibitisha hakuna 'Upinzani' Tanzania bali kuna 'CCM Upinzani' tu Tanzania kwa sasa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kwangu Mimi Mpinzani ni Boby Wine ( Robert Kyagulanyi ) na wengine wa nchi zinazojitambua ila siyo kwa walioko Tanzania.

Mimi Mpinzani ninayemuheshimu na Kumpenda ni yule tu ambaye 24/7 anamsema Kiongozi aliyeko Madarakani, anayekamatwa, anayepigwa, anayeteswa, asiyetishika Kuuwawa, asiyependa Ushirika na Chama Tawala au Rais wa nchi na ambaye kila Siku Yeye anakosoa halafu kamwe hakubali Kukaa Meza moja na Kiongozi / Rais wa nchi husika.

Kifupi napenda Mpinzani aliye Defiant.
 
Kwa ufupi unapenda giza kuliko nuru.
 
Sasa twende umoja ndugu Gentamicin
 
Huyo wa hivyo ni mwanaharakati siyo mpinzani. Tofautisha
 
Kwangu Mimi Mpinzani ni Boby Wine ( Robert Kyagulanyi ) na wengine wa nchi zinazojitambua ila siyo kwa walioko Tanzania.

Mimi Mpinzani ninayemuheshimu na Kumpenda ni yule tu ambaye 24/7 anamsema Kiongozi aliyeko Madarakani, anayekamatwa, anayepigwa, anayeteswa, asiyetishika Kuuwawa, asiyependa Ushirika na Chama Tawala au Rais wa nchi na ambaye kila Siku Yeye anakosoa halafu kamwe hakubali Kukaa Meza moja na Kiongozi / Rais wa nchi husika.

Kifupi napenda Mpinzani aliye Defiant.
Mbowe na aila zake kanunuliwa bei chee kabisa, sasa akiitwa Ikulu anafuta mavumbi suti zake anatinga, watanzania wanahitaji upinzani thabiti sio hawa leo hivi kesho vile, mbowe sasa hawezi inua mdomo tena kudai katiba mpya kwa mapana na marefu, kwisha kabisa
 
Wapinzani wetu njaa baba, "ni malaya wa kisiasa" Ukisikia mtu kama Mbowe anajihami kulirejesha Jimbo "lake" unapata picha gani? Na yule mpinzani aliyesema Magufuli alimuhaidi pesa ila hakumpa unadhani mpinzani wa hivyo anatetea nini,
Mtu kama Boby Wine ana pesa yake na miradi ya kumuingizia pesa. Ila pia najiuliza aliyebuni wazo la vyama vya siasa kupewa ruzuku alikuwa raia wa nchi gani?
IMG_0754.jpg
 
Kwangu Mimi Mpinzani ni Boby Wine ( Robert Kyagulanyi ) na wengine wa nchi zinazojitambua ila siyo kwa walioko Tanzania.

Mimi Mpinzani ninayemuheshimu na Kumpenda ni yule tu ambaye 24/7 anamsema Kiongozi aliyeko Madarakani, anayekamatwa, anayepigwa, anayeteswa, asiyetishika Kuuwawa, asiyependa Ushirika na Chama Tawala au Rais wa nchi na ambaye kila Siku Yeye anakosoa halafu kamwe hakubali Kukaa Meza moja na Kiongozi / Rais wa nchi husika.

Kifupi napenda Mpinzani aliye Defiant.
Rais Samia anawanyosha sukuma gang
 
Unateseka sana kwa tukio la Jana.

Mlizoea kutembea na mapanga amani hamuiwezi
 
Kwangu Mimi Mpinzani ni Boby Wine ( Robert Kyagulanyi ) na wengine wa nchi zinazojitambua ila siyo kwa walioko Tanzania.

Mimi Mpinzani ninayemuheshimu na Kumpenda ni yule tu ambaye 24/7 anamsema Kiongozi aliyeko Madarakani, anayekamatwa, anayepigwa, anayeteswa, asiyetishika Kuuwawa, asiyependa Ushirika na Chama Tawala au Rais wa nchi na ambaye kila Siku Yeye anakosoa halafu kamwe hakubali Kukaa Meza moja na Kiongozi / Rais wa nchi husika.

Kifupi napenda Mpinzani aliye Defiant.
Kwanini usifanye ww? utahudumia familia yake?
 
Wamekata pumzi.

JPM aliwapeleka mputa sana wacha wapumzike.
 
Mpinzani akiwa against serikali humumpi sapoti Mbowe kaenda jela mara mbili hakuna aliyeandamana ht mmoja zaidi ya kupost free Mbowe😀😀😀😀 tatizo mmejenga madaraja eti chadema au lissu ndo wawapambanie huku nyie mpo bize na familia zenu kwanza jina vyama vya upinzani sio zuri sema vyama mbadala
 
Back
Top Bottom