Sasa ni rasmi nathibitisha hakuna 'Upinzani' Tanzania bali kuna 'CCM Upinzani' tu Tanzania kwa sasa

Ni bora kuishi kwa kupendana na kujaliana hata bila upinzani, kuliko kuwa na wapinzani ambao kila kukicha mara wapigwe risasi, wateswe na wananchi kuuawa na kuwekwa kwenye viroba
 
Kama amelipwa kinachomfanya aendelee kukaa kwa amsterdam ni nini , au ukuni

Acacia hawajatushitaki MIGA sasa
 
Yatima mna kazi sana mwaka huu. Na Tundu Lisu mama amemlipa mafao yake ya ubunge na pesa za matibabu atarefund, mkufe tu.
 
Kwa vile tu huna akili.
 
Huku mtaani tunaishi na kula pamoja watu wa itikadi tofauti. Ni lazima kuwepo kuaminiana na siyo kukamiana.
 
Maoni yanaheshimiwa.
 

Watanzania gani?. Yani unaisubiria CHADEMA ndio ipambambanie katiba mpya wewe ukiwa wapi?.
 

Halafu acha kuongea kisa upo huru. Wakati Mbowe ana kesi ya ugaidi mbona hamkuya sema haya?. Wewe ukipitia robo ya aliyoyapitia Mbowe na Lissu utaelewa Hali ikoje. Lissu kidogo afe na Mbowe kafhalilishwa na kesi ya ugaidi. Leo unaongea kisa upo huru haya bwana.

Tatizo ni kwamba Wanachi wenyewe wanaiogopa CCM kuliko ukoma, hata aje nani uoga hautaisha. Shida sio upinzani Ni wananchi bila CCM wanaona watakufa.
 
Unapenda shari kuliko amani.

Unapenda masimango kuliko kusemezana.

Unapenda chuki na ghiriba kuliko furaha.

Mama anawapiga na 6Rs.
 
Wamekata pumzi.

JPM aliwapeleka mputa sana wacha wapumzike.

Yeye ndio kapelekwa mputa mpaka akafa moja kwa moja. Kataka kumuua Lissu kashindwa , akamuibia Lissu kura na madaraka kayakosa. Nguvu ya Lissu Ni balaa. Kashinda mbili bila. Kifo No na Madaraka No.
 
Wapinzani wa Tanzania wanaweza majimbo tu na ruzuku, ndoto za kukamata dola hawana na wao wanajua kabisa hawana.
Sure
Ingekuwa ni busara hivi vyama vya upinzani viwe na focus moja tuu kuiondoa ccm madarakani si kufocus kuwa chama kikuu cha upinzani wala kushinda chaguzi za kiwaki kama wenyeviti,udiwan na ubunge
Wafocus na urais tuu
 
Wapinzani wa Tanzania wanaweza majimbo tu na ruzuku, ndoto za kukamata dola hawana na wao wanajua kabisa hawana.

Ingekuwa Upinzani hawawezi kuchukua dola Magufuli na NEC yake wasingehangaika kuzuia watu wasigombe au kukataa Tume huru mwaka 2020. Kumbuka 2015 pamoja na NEC yetu kutokua huru bado upinzani walipata asilimia 40 ya kura za urais. Wewe hujiulizi kwanini Magufuli na NEC waliuchafua uchaguzi wa 2020 Hadi kuzima mitandao?.
 
Sure
Ingekuwa ni busara hivi vyama vya upinzani viwe na focus moja tuu kuiondoa ccm madarakani si kufocus kuwa chama kikuu cha upinzani wala kushinda chaguzi za kiwaki kama wenyeviti,udiwan na ubunge
Wafocus na urais tuu

Bora wewe umetoa ushauri mzuri. Shida ni kwamba sheria yetu inabana Sana Mambo ya coaliation of parties. Inatakiwa vyama vije na makubaliano miezi sita kabla ya uchaguzi mkuu.
 
A
Mbowe kauza chama

Ameuza shilingi ngapi?. Nakumbuka wakati Mbowe anaandaa maandamano ya UKUTA nyie ndio mlikuwa mnasema mnasubiria kuona virungu. Leo wamaeamua kukaa kwenye meza ya mazungumzo mnasema wameuza chama. Mnataka nini Kama sio uchawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…