Last emperor
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 10,351
- 9,855
Upinzani wa kizamani huo. Nchi zenye demokrasia hakuna huo ujinga wa kupigana mabomu. Watu wanakaa mezani wanazungumza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona unahasira mzee vipi...Kaikamate wewe si unaiona?
Ni bora kuishi kwa kupendana na kujaliana hata bila upinzani, kuliko kuwa na wapinzani ambao kila kukicha mara wapigwe risasi, wateswe na wananchi kuuawa na kuwekwa kwenye virobaKwangu Mimi Mpinzani ni Boby Wine ( Robert Kyagulanyi ) na wengine wa nchi zinazojitambua ila siyo kwa walioko Tanzania.
Mimi Mpinzani ninayemuheshimu na Kumpenda ni yule tu ambaye 24/7 anamsema Kiongozi aliyeko Madarakani, anayekamatwa, anayepigwa, anayeteswa, asiyetishika Kuuwawa, asiyependa Ushirika na Chama Tawala au Rais wa nchi na ambaye kila Siku Yeye anakosoa halafu kamwe hakubali Kukaa Meza moja na Kiongozi / Rais wa nchi husika.
Kifupi napenda Mpinzani aliye Defiant.
Kumbe angeongea hivi ingekuwa tumeshamuelewa zamaaani!Kwa ufupi unapenda giza kuliko nuru.
Yatima mna kazi sana mwaka huu. Na Tundu Lisu mama amemlipa mafao yake ya ubunge na pesa za matibabu atarefund, mkufe tu.Kwangu Mimi Mpinzani ni Boby Wine ( Robert Kyagulanyi ) na wengine wa nchi zinazojitambua ila siyo kwa walioko Tanzania.
Mimi Mpinzani ninayemuheshimu na Kumpenda ni yule tu ambaye 24/7 anamsema Kiongozi aliyeko Madarakani, anayekamatwa, anayepigwa, anayeteswa, asiyetishika Kuuwawa, asiyependa Ushirika na Chama Tawala au Rais wa nchi na ambaye kila Siku Yeye anakosoa halafu kamwe hakubali Kukaa Meza moja na Kiongozi / Rais wa nchi husika.
Kifupi napenda Mpinzani aliye Defiant.
Kwa vile tu huna akili.Kwangu Mimi Mpinzani ni Boby Wine ( Robert Kyagulanyi ) na wengine wa nchi zinazojitambua ila siyo kwa walioko Tanzania.
Mimi Mpinzani ninayemuheshimu na Kumpenda ni yule tu ambaye 24/7 anamsema Kiongozi aliyeko Madarakani, anayekamatwa, anayepigwa, anayeteswa, asiyetishika Kuuwawa, asiyependa Ushirika na Chama Tawala au Rais wa nchi na ambaye kila Siku Yeye anakosoa halafu kamwe hakubali Kukaa Meza moja na Kiongozi / Rais wa nchi husika.
Kifupi napenda Mpinzani aliye Defiant.
Anahamasisha machafuko wakati hataki kujitokeza hadhadharani.Kwanini usifanye ww? utahudumia familia yake?
Yule alikuwa na elimu duni.Upinzani sio uadui.japo Kuna mtu alitaka kuaminisha watanzania kwamba mpinzani ni adui wa nchi na serikali.big up mama Samia rais wa JMT na wapinzani wako wa kisiasa kwa kuikataa dhana hiyo potofu.
Huku mtaani tunaishi na kula pamoja watu wa itikadi tofauti. Ni lazima kuwepo kuaminiana na siyo kukamiana.Mbowe na aila zake kanunuliwa bei chee kabisa, sasa akiitwa Ikulu anafuta mavumbi suti zake anatinga, watanzania wanahitaji upinzani thabiti sio hawa leo hivi kesho vile, mbowe sasa hawezi inua mdomo tena kudai katiba mpya kwa mapana na marefu, kwisha kabisa
Maoni yanaheshimiwa.Kwangu Mimi Mpinzani ni Boby Wine ( Robert Kyagulanyi ) na wengine wa nchi zinazojitambua ila siyo kwa walioko Tanzania.
Mimi Mpinzani ninayemuheshimu na Kumpenda ni yule tu ambaye 24/7 anamsema Kiongozi aliyeko Madarakani, anayekamatwa, anayepigwa, anayeteswa, asiyetishika Kuuwawa, asiyependa Ushirika na Chama Tawala au Rais wa nchi na ambaye kila Siku Yeye anakosoa halafu kamwe hakubali Kukaa Meza moja na Kiongozi / Rais wa nchi husika.
Kifupi napenda Mpinzani aliye Defiant.
Mbowe na aila zake kanunuliwa bei chee kabisa, sasa akiitwa Ikulu anafuta mavumbi suti zake anatinga, watanzania wanahitaji upinzani thabiti sio hawa leo hivi kesho vile, mbowe sasa hawezi inua mdomo tena kudai katiba mpya kwa mapana na marefu, kwisha kabisa
Wapinzani wetu njaa baba, "ni malaya wa kisiasa" Ukisikia mtu kama Mbowe anajihami kulirejesha Jimbo "lake" unapata picha gani? Na yule mpinzani aliyesema Magufuli alimuhaidi pesa ila hakumpa unadhani mpinzani wa hivyo anatetea nini,
Mtu kama Boby Wine ana pesa yake na miradi ya kumuingizia pesa. Ila pia najiuliza aliyebuni wazo la vyama vya siasa kupewa ruzuku alikuwa raia wa nchi gani?View attachment 2246836
Wamekata pumzi.
JPM aliwapeleka mputa sana wacha wapumzike.
SureWapinzani wa Tanzania wanaweza majimbo tu na ruzuku, ndoto za kukamata dola hawana na wao wanajua kabisa hawana.
Wapinzani wa Tanzania wanaweza majimbo tu na ruzuku, ndoto za kukamata dola hawana na wao wanajua kabisa hawana.
Sure
Ingekuwa ni busara hivi vyama vya upinzani viwe na focus moja tuu kuiondoa ccm madarakani si kufocus kuwa chama kikuu cha upinzani wala kushinda chaguzi za kiwaki kama wenyeviti,udiwan na ubunge
Wafocus na urais tuu
Mbowe kauza chama