Sasa ni rasmi nathibitisha hakuna 'Upinzani' Tanzania bali kuna 'CCM Upinzani' tu Tanzania kwa sasa


Mbona Lissu kamiminiwa risasi na kufukuzwa bungeni na bado matibabu hakulipiwa Wala kiinua mgongo chake mpaka mama Samia alipoingia. Wakati Lissu anapitia yote nani aliingia barabarani kuonesha mshikamano na Lissu?.

Sometimes tuwe fair Hawa Viongozi wanapitia mengi Sana. Ni vizuri kuwaunga mkono.
 
Upinzani umekufa

Umezikwa wapi?. Upinzani hauwezi ukafa. Wengi walitabiri utakufa ila wakafa wao. Upinzani ni Imani sio chama. Ndio maana pamoja na Magufuli kumiliki madaraka kwa miaka mitano ilibidi aingie ubia na NEC kuharibu uchaguzi . Kwa Mara ya kwanza Tanzania mitandao ikzimwa siku ya uchaguzi watu wakatumia VPN.
 
Bora wewe umetoa ushauri mzuri. Shida ni kwamba sheria yetu inabana Sana Mambo ya coaliation of parties. Inatakiwa vyama vije na makubaliano miezi sita kabla ya uchaguzi mkuu.
Kwanini iwe kipindi cha uchaguzi kwanini isiwe sasa
 
Kama mwendazake alikua hapendi upinzani. Ilikuwa ama waunge mkono juhudi la wakione cha mtema kuni.

Hii ndiyo dhana yako ya upinzani
 
We umepigwa lini mara ya mwisho? Kelele tu kwenye keyboard. Mbweha.
 

Wacha mchezo jamaa wa kibamia!
 
Yeye ndio kapelekwa mputa mpaka akafa moja kwa moja. Kataka kumuua Lissu kashindwa , akamuibia Lissu kura na madaraka kayakosa. Nguvu ya Lissu Ni balaa. Kashinda mbili bila. Kifo No na Madaraka No.
Kwa hiyo Lissu Yuko Ikulu sio?

Au unafurahisha roho yako.

Aliwatia adabu Sasa hivi mnaadabu mno.
 

Mbona mademu wako wanadai una kibamia?
 
Kwani kuwa mpinzani ni kupinga maendeleo na kuleta uadui?

Wewe sema hivi ,Samia katafuna legacy ndicho kinawahangaisha saizi
 
Huyo sio mpinzani ni adui
 
Tunasema haya mambo kila siku, hapa Tanzania hakuna Upinzani. Kelele mingi.
 
Unapotosha uma,mpinzani siyo lazima aoneKane kama mpigania uhuru ndani ya nchi yake,mfano mzuri wa upinzani wa kuigwa ni WA nchi zilizoendelea kidemokrasia kama Marekani,Italy,au India huko siasa za upinzani zinafanywa siyo katika hali ya ugomvi lakini uchaguzi ukipita unaweza kuona mabadiliko ya safu mpya za uongozi.
Kuwa mpinzani siyo kuwa adui wa chama tawala.
 
WANASIASA MALAYA MALAYA
 
Mkuu Tz hakuna upinzani yani mboe niwakusema tusiitukane serekali wacha nikachukuwe kadi ya CCM nanijieajili kidigital mm nianze kuwa mnafiki chadema tuliipigania kiasi Cha kujenga mpk bifu na wakuu wa wilaya na wakurugenzi kumbe tunapigania ujinga.
Magu nakuheshimu ulitaka upinzani wa kweli ndo maana ulitaka ua hizi njaa kali uunde upinzani wa kweli
 
Wewe kama nani ?
 
Wapinzani wa Tanzania wanaweza majimbo tu na ruzuku, ndoto za kukamata dola hawana na wao wanajua kabisa hawana.
Uongo utakusaidia nini ? Ingekuwa hivyo si kungekuwa na Katiba mpya !
 
Tuwaheshimu watu waliokaa gerezani na mahabusu, waliopoteza mali zao, waliokimbia nchi yao kwasababu ya kutetea haki na demokrasia. Mama analijua hilo na ameamua kuwaenzi na kuonesha umma kwamba anayepigania nchi ndiyo wa kumuamini siyo wapigania tumbo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…