econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Kwangu Mimi Mpinzani ni Boby Wine ( Robert Kyagulanyi ) na wengine wa nchi zinazojitambua ila siyo kwa walioko Tanzania.
Mimi Mpinzani ninayemuheshimu na Kumpenda ni yule tu ambaye 24/7 anamsema Kiongozi aliyeko Madarakani, anayekamatwa, anayepigwa, anayeteswa, asiyetishika Kuuwawa, asiyependa Ushirika na Chama Tawala au Rais wa nchi na ambaye kila Siku Yeye anakosoa halafu kamwe hakubali Kukaa Meza moja na Kiongozi / Rais wa nchi husika.
Kifupi napenda Mpinzani aliye Defiant.
Mbona Lissu kamiminiwa risasi na kufukuzwa bungeni na bado matibabu hakulipiwa Wala kiinua mgongo chake mpaka mama Samia alipoingia. Wakati Lissu anapitia yote nani aliingia barabarani kuonesha mshikamano na Lissu?.
Sometimes tuwe fair Hawa Viongozi wanapitia mengi Sana. Ni vizuri kuwaunga mkono.