KingCobra95
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 3,249
- 5,863
Siasa za kistaarabu na upigaji ndio sera sasa...Controlled opposition imerudi rasmi.Number 4 ndio muasisi...He kept "dogs" who barked a lot but made sure they couldnt bite, he always had them on a leash though it was invisible....Number 6 amerithi hii tactic.
Wapinzani siwalaumu kbsa,,sababu wananchi huwa tunataka kuona wateseke wkti sisi wenyewe hatuwezi hata kujitolea maisha yetu kwa kusudi lililo kubwa kuliko sisi...
"kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake"