Kwani uchaguzi ujao ni lini? Subiri na tayarisha pesa kwa ajili ya mikakati ya uchaguzi huo ili uingie wewe mkuu, maana majungu ni mengi hata ukikaa wewe.
Nimeipata hiyo clip sehemu na nitaiweka muda si mrefu.
Aluta Continua!Mkuu Nitashukuru Kama UTAWAWEKEA Hapa Ili Watu WANIHUKUMU Kama Nina Chuki Binafsi Na Rais Wa TFF Jamal Malinzi au Nina HOJA Ya Msingi. Ila Kwa Ambaye Hajaipata Hadi Sasa Vuteni Subira Nafanya MKAKATI Niwawekeeni Ile CLIP Nyingine Ya Mchongo Mzima Ulikoanzia Ikianza Na Yule Kiongozi Wa Mashindano Wa TFF Bwana Chacha, Viongozi Wa TFF Mkoa Hadi Yule Jamaa Wa TFF Aliyesema WAZI WAZI Kuwa Alikuwa Ametumwa Na Rais Wa TFF Jamal Malinzi Kwenda Kuzugumza Na Viongozi Wa Timu Tajiri Ya Geita Gold FC Wiki Moja Kabla Ya Mechi Yao Ili Wafanye Vizuri Na Wapande Ligi Kuu. Kuna Mtu Mmoja Ambaye Kwa Sasa Sitamtaja Jina Ambaye Nitamwomba Mheshimiwa Waziri Nape Nnauye Na Rais Dkt. Magufuli Ikiwezekana Wampe TUZO Ya USHUJAA Kwani Huyu Jamaa Japo Ni Mmoja Wa Viongozi Wa TFF Lakini Aliweza Kufanya UDUKUZI Wa Hizi TAARIFA Zote Huku AKIWAREKODI Na Pia Akirekodi Mawasiliano Mengine Bila Hata Ya Hao WAJUMBE Kumshtukia. Niseme Tena Kuwa KWA USHAHIDI ULIOPO RAIS WA TFF JAMAL MALINZI HASTAHILI TENA KUWA RAIS WA TFF NA AWAJIBIKE KABLA YA HIZO SAA 72 NILIZOMPA KWANI MZIGO NILIONAO WA KASHFA ZAKE ZINGINE NI MKUBWA KULIKO HATA HUU WA SASA. Nipo Katika MAPAMBANO Na SITACHOKA!
Jamal Malinzi njoo utufafanulie upya.
Kumve hii ndo number yako?naomba unirushie whatsapp hiyo clip 0718163254
Hatimae Malinzi ameumbuka kunakotukuka. Sports HQ na E sports kupitia Efm hakika ni habari ya mjini.
Me naona aondoke , binafsi namkumbuka tenga ....huyu malinzi kaja tff kuvaa suti tu.Rais Wa TFF Alisema Kuwa HAHUSIKI Na SUALA LA KASHFA YA UPANGAJI WA MATOKEO Huku AKIUKASHIFU Kabisa MTANDAO HUU WA JF ( Hasa AKINILENGA MIMI ) Ambaye Nimekuwa NIKIJITAHIDI KUIBUA UTENDAJI WAKE MBOVU AMBAO HATAKI USEMWE.
Wiki Mbili Nyuma Nilimtaka Rais Wa TFF Jamal Malinzi AJIUZURU Kwani Nilikuwa Na UHAKIKA USIO NA UKAKASI WOWOTE Kuwa AMEHUSIKA KWA 100% Na UPANGAJI WA MATOKEO HUKO KIGOMA Katika Mechi Ya Geita Gold FC Dhidi Ya FC Kanembwa Lakini Bado Huyu Huyu Rais Jamal Malinzi Akajitokeza Mbele Ya WAANDISHI WA HABARI NA KURUKA KIMANGA Akisema HAHUSIKI.
Muda Si Mrefu Redio Bora Kabisa Kwa Sasa Inayotangaza Habari Za Michezo Vyema Kabisa Ya E fm IMEWEKA KILA KITU HADHARANI Hivyo KUNISAIDIA Kuhitimisha Kile Ambacho NIMEJITOA KUKISIMAMIA Kwani Nilikuwa Na UHAKIKA Wa Kile Nilichokiweka Hapa.
Katika Hiyo Clip Ambayo Hata Hivyo Sasa Imeshaanza Kusambaa Na Kama Huna Basi Itafute Uisikilize Ili Ujiridhishe Kisha Uone Kama Mimi Ni Mzushi Kama Rais Jamal Malinzi Alivyosema au Yeye Ndiyo MKOSAJI.
Humo Ndani Kumeanza Kusikika Uozo Wa Yule Kiongozi Wa TFF Bwana Chacha Aliyejiuzuru Jana Ambaye Alirekodiwa Bila Kujua Akisikika Akipanga MATOKEO Ya Mechi Hizo Zote Za Tabora Na Kigoma Lakini KUBWA ZAIDI NI PALE KIONGOZI MMOJA WA TFF ALIPOSIKIKA TENA BILA AIBU au UWOGA AKISEMA KUWA AMETMWA NA RAIS WA TFF Jamal Malinzi KWENDA KUSHUGHULIKIA SUALA LA TIMU YA Geita Gold FC KABLA YA WAO KUCHEZA MECHI YAO YA KIGOMA.
Naomba Niishie Hapa Kwani Nikiendelea Kusema Yaliyomo Nitamfanya Huyu Jamal Malinzi Rais Wa TFF Hata Azimie Kwani Ni Rasmi Kuwa AMEVULIWA NGUO Na AMEUMBUKA Mno Na Kwa Mnaotaka KUISIKILIZA Hiyo Clip Ipo Sasa Hewani Na E FM Kila Mara Wanaiweka.
Mwisho NIKIWA KAMA MDAU WA SOKA NA MAENDELEO NAMPA Rais Wa TFF Jamal Malinzi Saa 72 Zijazo AWE AMEJIUZURU URAIS WA TFF Vinginevyo NITAHAMASISHA WADAU WOTE WA MICHEZO TWENDE MBELE ILI ASHUGHULIKIWE LAKINI WAKATI HUO PIA Nitaibua SIRI Zingine Nzito Za Ubingwa Wa Azam Mwaka Juzi Bila Kusahau SAKATA ZIMA La WADHAMINI Wa VPL.
Na Naomba Akiwa Anatafakari Hilo AFANYE UPESI NA HARAKA SANA KUTUOMBA RADHI SISI WANA JF Wote Ambao ALITUDHIHAKI Kuwa Ni WAMBEA NA WAPOTOSHAJI.
Naomba Kuwasilisha ILA Mapambano Bado Yanaendelea Na Nipo TAYARI Kwa Lolote Lakini Naipigania Nchi Yangu Na UPUUZI Huu Anaouendeleza.