Sasa ni rasmi Rais wa TFF, Jamal Malinzi amehusika na upangaji matokeo

Sasa ni rasmi Rais wa TFF, Jamal Malinzi amehusika na upangaji matokeo

Hivi hili sakata ni kwanini Takukuru hawajaingia katika uchunguzi? Ama mpaka wapate maelekezo kutoka Ikulu? ama wao wa deal na issue za serikali tu na haya ya vyama vya michezo na mengineyo hayawahusu?
Ni ajabu sana details zote za viashiria vya rushwa vipo lakini hawa jamaa wa Takukuru wapo kimya.
 
Kwani uchaguzi ujao ni lini? Subiri na tayarisha pesa kwa ajili ya mikakati ya uchaguzi huo ili uingie wewe mkuu, maana majungu ni mengi hata ukikaa wewe.

Sina Muda Wa Kujibizana Na FOOLS Ila Kwa Wanaojua NINACHOKIPIGANIA Hapa Watanielewa. Au Huyo Malinzi Ni Babako Hivyo Unaogopa NISIMTUMBUE Zaidi? Sasa Kwa TAARIFA Yako Nina Mengineyo Mengi Zaidi Ya Haya Ila Nasubiria Nione Katika Hiyo 72 Hours ULTIMATUM Ya Kumtaka AJIUZURU Kisha Ndipo Utajua Kuwa Sipo Humu KUFANYA Masihara. Simpingi Malinzi Kama Malinzi Bali Napinga UPUUZI Wake Anavyoendesha SOKA La Tanzania. Na Kuna Breaking News Nyingine Imenifikia Sasa Hivi Unataka Niiweke Hapa ILI Uniheshimu Zaidi? Namsaidia Rais Wangu Dkt. Magufuli Katika Suala Lake Zima La " Anti - Corruption Drive " Katika Nyanja Zote Nchini Tanzania.
 
Nimeipata hiyo clip sehemu na nitaiweka muda si mrefu.

Mkuu Nitashukuru Kama UTAWAWEKEA Hapa Ili Watu WANIHUKUMU Kama Nina Chuki Binafsi Na Rais Wa TFF Jamal Malinzi au Nina HOJA Ya Msingi. Ila Kwa Ambaye Hajaipata Hadi Sasa Vuteni Subira Nafanya MKAKATI Niwawekeeni Ile CLIP Nyingine Ya Mchongo Mzima Ulikoanzia Ikianza Na Yule Kiongozi Wa Mashindano Wa TFF Bwana Chacha, Viongozi Wa TFF Mkoa Hadi Yule Jamaa Wa TFF Aliyesema WAZI WAZI Kuwa Alikuwa Ametumwa Na Rais Wa TFF Jamal Malinzi Kwenda Kuzugumza Na Viongozi Wa Timu Tajiri Ya Geita Gold FC Wiki Moja Kabla Ya Mechi Yao Ili Wafanye Vizuri Na Wapande Ligi Kuu. Kuna Mtu Mmoja Ambaye Kwa Sasa Sitamtaja Jina Ambaye Nitamwomba Mheshimiwa Waziri Nape Nnauye Na Rais Dkt. Magufuli Ikiwezekana Wampe TUZO Ya USHUJAA Kwani Huyu Jamaa Japo Ni Mmoja Wa Viongozi Wa TFF Lakini Aliweza Kufanya UDUKUZI Wa Hizi TAARIFA Zote Huku AKIWAREKODI Na Pia Akirekodi Mawasiliano Mengine Bila Hata Ya Hao WAJUMBE Kumshtukia. Niseme Tena Kuwa KWA USHAHIDI ULIOPO RAIS WA TFF JAMAL MALINZI HASTAHILI TENA KUWA RAIS WA TFF NA AWAJIBIKE KABLA YA HIZO SAA 72 NILIZOMPA KWANI MZIGO NILIONAO WA KASHFA ZAKE ZINGINE NI MKUBWA KULIKO HATA HUU WA SASA. Nipo Katika MAPAMBANO Na SITACHOKA!
 
Aluta Continua!
 
Jamal Malinzi njoo utufafanulie upya.

Nakuhakikishia Mkuu Kuwa HAWEZI KUJA KWANI ANAJUA KUWA KWA MABOMU MENGINE YANAYOMUHUSU NILIYONAYO HATOTHUBUTU KUTIA MGUU HUMU. Tumemvumilia Vya Kutosha Na Sasa TUMEMCHOKA! Na Asisahau KUTUOMBA MSAMAHA WANA MTANDAO WOTE WA JAMII FORUMS KWA KUTUDHIHAKI SIKU ILE AKIWA ANAFANYA PRESS CONFERENCE YAKE.
 
Hatimae Malinzi ameumbuka kunakotukuka. Sports HQ na E sports kupitia Efm hakika ni habari ya mjini.

Kama HUKUSIKILIZA Leo Sports Headquarters Ya E FM Radio Basi UMEKOSA MENGI Ila SIRI ZOTE Na UHUSIKAJI WA MOJA KWA MOJA WA RAIS JAMAL MALINZI Umejidhihiri Na Hana Sehemu Ya KUJITETEA Zaidi Tu Atusaidie Na ATUPISHE HATUMTAKI Vinginevyo Watu TUTAFUNGA ZAIDI Kisha Wenye MACHUNGU Na Mpira Wao " WACHAFUE KABISA HALI YA HEWA Na KINUKE ".
 
Katika watu wanaoliaribu soka la Tanzania ni huyu rais Wa sasa Wa ttf Na watu wake bila kujiuzuru huyu tusahau kusonga mbele katika soka letu madudu mengi yamefanywa katika uongozi wake akeweka pesa mbele mpira umekuwa Wa kuhonga sasa
 
Rais Wa TFF Alisema Kuwa HAHUSIKI Na SUALA LA KASHFA YA UPANGAJI WA MATOKEO Huku AKIUKASHIFU Kabisa MTANDAO HUU WA JF ( Hasa AKINILENGA MIMI ) Ambaye Nimekuwa NIKIJITAHIDI KUIBUA UTENDAJI WAKE MBOVU AMBAO HATAKI USEMWE.

Wiki Mbili Nyuma Nilimtaka Rais Wa TFF Jamal Malinzi AJIUZURU Kwani Nilikuwa Na UHAKIKA USIO NA UKAKASI WOWOTE Kuwa AMEHUSIKA KWA 100% Na UPANGAJI WA MATOKEO HUKO KIGOMA Katika Mechi Ya Geita Gold FC Dhidi Ya FC Kanembwa Lakini Bado Huyu Huyu Rais Jamal Malinzi Akajitokeza Mbele Ya WAANDISHI WA HABARI NA KURUKA KIMANGA Akisema HAHUSIKI.

Muda Si Mrefu Redio Bora Kabisa Kwa Sasa Inayotangaza Habari Za Michezo Vyema Kabisa Ya E fm IMEWEKA KILA KITU HADHARANI Hivyo KUNISAIDIA Kuhitimisha Kile Ambacho NIMEJITOA KUKISIMAMIA Kwani Nilikuwa Na UHAKIKA Wa Kile Nilichokiweka Hapa.

Katika Hiyo Clip Ambayo Hata Hivyo Sasa Imeshaanza Kusambaa Na Kama Huna Basi Itafute Uisikilize Ili Ujiridhishe Kisha Uone Kama Mimi Ni Mzushi Kama Rais Jamal Malinzi Alivyosema au Yeye Ndiyo MKOSAJI.

Humo Ndani Kumeanza Kusikika Uozo Wa Yule Kiongozi Wa TFF Bwana Chacha Aliyejiuzuru Jana Ambaye Alirekodiwa Bila Kujua Akisikika Akipanga MATOKEO Ya Mechi Hizo Zote Za Tabora Na Kigoma Lakini KUBWA ZAIDI NI PALE KIONGOZI MMOJA WA TFF ALIPOSIKIKA TENA BILA AIBU au UWOGA AKISEMA KUWA AMETMWA NA RAIS WA TFF Jamal Malinzi KWENDA KUSHUGHULIKIA SUALA LA TIMU YA Geita Gold FC KABLA YA WAO KUCHEZA MECHI YAO YA KIGOMA.

Naomba Niishie Hapa Kwani Nikiendelea Kusema Yaliyomo Nitamfanya Huyu Jamal Malinzi Rais Wa TFF Hata Azimie Kwani Ni Rasmi Kuwa AMEVULIWA NGUO Na AMEUMBUKA Mno Na Kwa Mnaotaka KUISIKILIZA Hiyo Clip Ipo Sasa Hewani Na E FM Kila Mara Wanaiweka.

Mwisho NIKIWA KAMA MDAU WA SOKA NA MAENDELEO NAMPA Rais Wa TFF Jamal Malinzi Saa 72 Zijazo AWE AMEJIUZURU URAIS WA TFF Vinginevyo NITAHAMASISHA WADAU WOTE WA MICHEZO TWENDE MBELE ILI ASHUGHULIKIWE LAKINI WAKATI HUO PIA Nitaibua SIRI Zingine Nzito Za Ubingwa Wa Azam Mwaka Juzi Bila Kusahau SAKATA ZIMA La WADHAMINI Wa VPL.

Na Naomba Akiwa Anatafakari Hilo AFANYE UPESI NA HARAKA SANA KUTUOMBA RADHI SISI WANA JF Wote Ambao ALITUDHIHAKI Kuwa Ni WAMBEA NA WAPOTOSHAJI.

Naomba Kuwasilisha ILA Mapambano Bado Yanaendelea Na Nipo TAYARI Kwa Lolote Lakini Naipigania Nchi Yangu Na UPUUZI Huu Anaouendeleza.
Me naona aondoke , binafsi namkumbuka tenga ....huyu malinzi kaja tff kuvaa suti tu.
 
Viongozi wa Polisi Tabora wamesema wanakwenda kukata rufaa lakini pia,Malinzi akae akijua hiyo nafasi ataiona chungu mpaka ataiachia. Jamal Malinzi binafsi namshauri sana kuachia hiyo nafasi mambo yamekuwa mabaya
 
Back
Top Bottom