Mkuu Nitashukuru Kama UTAWAWEKEA Hapa Ili Watu WANIHUKUMU Kama Nina Chuki Binafsi Na Rais Wa TFF Jamal Malinzi au Nina HOJA Ya Msingi. Ila Kwa Ambaye Hajaipata Hadi Sasa Vuteni Subira Nafanya MKAKATI Niwawekeeni Ile CLIP Nyingine Ya Mchongo Mzima Ulikoanzia Ikianza Na Yule Kiongozi Wa Mashindano Wa TFF Bwana Chacha, Viongozi Wa TFF Mkoa Hadi Yule Jamaa Wa TFF Aliyesema WAZI WAZI Kuwa Alikuwa Ametumwa Na Rais Wa TFF Jamal Malinzi Kwenda Kuzugumza Na Viongozi Wa Timu Tajiri Ya Geita Gold FC Wiki Moja Kabla Ya Mechi Yao Ili Wafanye Vizuri Na Wapande Ligi Kuu. Kuna Mtu Mmoja Ambaye Kwa Sasa Sitamtaja Jina Ambaye Nitamwomba Mheshimiwa Waziri Nape Nnauye Na Rais Dkt. Magufuli Ikiwezekana Wampe TUZO Ya USHUJAA Kwani Huyu Jamaa Japo Ni Mmoja Wa Viongozi Wa TFF Lakini Aliweza Kufanya UDUKUZI Wa Hizi TAARIFA Zote Huku AKIWAREKODI Na Pia Akirekodi Mawasiliano Mengine Bila Hata Ya Hao WAJUMBE Kumshtukia. Niseme Tena Kuwa KWA USHAHIDI ULIOPO RAIS WA TFF JAMAL MALINZI HASTAHILI TENA KUWA RAIS WA TFF NA AWAJIBIKE KABLA YA HIZO SAA 72 NILIZOMPA KWANI MZIGO NILIONAO WA KASHFA ZAKE ZINGINE NI MKUBWA KULIKO HATA HUU WA SASA. Nipo Katika MAPAMBANO Na SITACHOKA!